Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,935
- 183,370
Ndio ulewe maji shindii?🤣🤣Shindii nampenda mashirima, sema naona aibu tu😁View attachment 3653391
Ngoja nikamwambie.
Ndio ulewe maji shindii?🤣🤣Shindii nampenda mashirima, sema naona aibu tu😁View attachment 3653391
Unyanyapaa kwa wazee sio mzuri.
Mtafute mashirima, wewe sio panga shindii.Nimelewa na nineshavaa pajama nipo kitandani niambie shindii🤔
Mkuu kuhusu nyeto imehinua vijana kiuchumi kwa kiwango kikubwa sana, mimi ni mmoja wapoBwashee nyeto umefanikiwa napiga kwa wivu mkubwa, hapa ni kuhusu uchumi sasa🤣
🤣🤣🤣Tunasubiri hizo ID tano uje kujisifia.
Changamka utapata ulemavu🤣Shindii acha tu
Shindii shika adabu yako🤣🤣Sema shindii una msururu mwanangu😅😅😅
🤣🤣🤣 Kwamba vijana hawataki kutembeza mabeseniWengi humu wanabagua kazi, wanataka kazi ya viyoyozi na za kukaa ofisini, za kutembeza kahawa, vyombo, nguo hawataki.
Watoto gani tena shindii!! Mie nalea tu wajukuu sasa.Shindiii , una mambo mengi wewe , unachelewesha tu watoto wetu kwenda shule ujue
Sasa unaandika haya ili iweje?Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake?
Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja.
Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
Sawa napokea maoni yakoSasa unaandika haya ili iweje?
Huoni ya kuwa unacho kifanya ni sifa zisizo na kichwa wala miguu?
Umeandika kitu kisicho na nyama, na hakuna impact wala funzo mtu anaweza kutoka nalo hapa
Wewe Inshort ni debe tupu tu..