Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,949
- 183,428
Hata mimi sitaki ujitangaze, lete mchango🤣Shindii nina mchango , sema sipendi kujitangaza tu😛
Hata mimi sitaki ujitangaze, lete mchango🤣Shindii nina mchango , sema sipendi kujitangaza tu😛
Wengine walipika urojo na kuuza kwa senti 5 leo hii ni mabilionea, lakini kijana wa chuo wa leo akimaliza, anataka amiliki showroom ya kuuza magariHahahaha acha zako bwashee 😂
Funga milango kabisa.Shindii nipo kwenye kaunta yangu ,chumbani tu, nipo bia ya 5 tu
Hata mimi ni kijana kidogo shindii.Wawapa connection vijana
Link pl3ase kaka mkubwaMchango mimi mi thread zangu mbili
Hits za kufa you oral interview za sekrariet ya Akita na jinsi ya kutumia mitandao ya ki Jamiii kuandaa portifolio utakayoitumia kupata scholarship na Akita international organizations hizo thread zangu ndo naziaminia nyingine nyingine ni mbwembwe changamsha genge na kutaka comments
We nae ni mkongwe aiseeeWengi nimewapa connections za kazi.
Wengi nimewapa vimemo na wakatoboa.
Wengi niliwashauri na wakasogea hatua kadhaa mbele.
Wengi walinitapeli....
Wapo walio nidanganya na kunivuta pesa....
Sema miaka ya 2015 kurudi nyuma Jf ilikua hot 🔥 kinoma.... sikuzile tulikulana kwa heshima na palikua so cool 😎
Ila Jf ilikua na pisi za kwenda alloooo.....😋
Sikuzile tulipendana sana kabla ya huu uvamizi wa Gen-Z
🤣🤣 Kwahiyo huwapi connection wabibi?Shindiii wewe uniliambia ni bibi ujue😅
Kwa id gani?Mno kipndi najiunga 2012 nilimkuta mwamba
😂😂😂😂😂Mimi sijamsaidia mtu yeyote na bahati nzuri sikuja JF kusaidia mtu.
Bwashee naomba kazi babanguuuuWengine walipika urojo na kuuza kwa senti 5 leo hii ni mabilionea, lakini kijana wa chuo wa leo akimaliza, anataka amiliki showroom ya kuuza magari
Unaweza kubeba vyombo vingapi uzunguke navyo mtaani?Bwashee naomba kazi babanguuuu
Siwezi mzee 😂 labda kuchunga mifugoUnaweza kubeba vyombo vingapi uzunguke navyo mtaani?
Unataka uwafanyie nini, hiyo mifugo?Siwezi mzee 😂 labda kuchunga mifugo