Wenzangu hali si hali nimekwama

Wenzangu hali si hali nimekwama

Efeso 6:10-18 SUV

[10] Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. [11] Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. [12] Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. [13] Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. [14] Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, [15] na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; [16] zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. [17] Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; [18] kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
 
Aliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
Unakielewa anachokis3ma. Au ndio nyie mliookoka mkasahau kama haya mambo yapo?
 
Unaweza ukawa una major sychotic disorder!!
Izo ni delusions na my best guess ni Schizophrenia!’
Nb !
Hii ni guess tu!.kwa sababu haujafunguka vizuri.
 
UNajua sikukatalii ila.kama.unaweza kunisadia nikawa na imani kali yakundoa hii kitu kweli nitakushukuru sana tu
Nakupenda sana,una majibu ya busara kuliko wasoma comments...
Mpenzi,hayo mambo ni ya kiroho yakatae kiroho...kitu kinachokuumiza afu hakionekani hicho hakijakaa kimwili hivyo kikemee kiroho...namaanisha nguvu ya Imani...utapona...
Naomba Mwenyezi Mungu akuponye mpenzi,uwe mzima dada🙏
 
Jini mahaba??
HUPATI mtoto? Umefungwa.?
Unaota ndoto mbaya? Mimba zinatoka.?
Ukipata mwanaume WA kukuoa anakufa,?

Lipia Kati ya hivyo? Au nimekosea
 
itakuwa ulichokoza
maana kwa kitu cha kutupiwa na ulivyo hangaika ungesha pata ufumbuzi

ama waganga unao enda hawajui namna ya kukitoa

kuna wakati unaweza tupiwa jini, ulienda kwa mganga linajiweka pembeni na mganga anajua amelitoa ukitoka mazingira hayo linarudi

ko mganga lazima awe fundi kweli kweli kujua linapo jificha ndio anatega likienda linanaswa
 
Ila kua makini hapa matepl wengi, kuna mmoja nilimpataga hapahapa nikamfuata Hadi tanga, akavunja vinazi na kuandika makombe feki, badae nakuja kugundua NI tapeli
 
itakuwa ulichokoza
maana kwa kitu cha kutupiwa na ulivyo hangaika ungesha pata ufumbuzi

ama waganga unao enda hawajui namna ya kukitoa

kuna wakati unaweza tupiwa jini, ulienda kwa mganga linajiweka pembeni na mganga anajua amelitoa ukitoka mazingira hayo linarudi

ko mganga lazima awe fundi kweli kweli kujua linapo jificha ndio anatega likienda linanaswa
Duh aisee sasa hapo anafanyaje, nilishasikia hii, ukienda kwaa mganga linakaa pembeni, ukirud home linakuvaa
 
Back
Top Bottom