Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,035
- 14,977
Kitimoto rosti nusu na ugali, huwa najitahidi mara moja moja wikiendi nipige, napenda sana kitimoto
Siwezi kukupinga mjukuu😬Umefanya jambo la busara babu, ila ukitaka kula vitamu vitamu unaniambia tu mjukuu wako nakupa kamapani kama ya jana sawa?😁
Kutamanishana tu!Kitimoto rosti nusu na ugali, huwa najitahidi mara moja moja wikiendi nipige, napenda sana kitimoto
Usijaribu😎Siwezi kukupinga mjukuu😬
😄😄..Kutamanishana tu!
Nilikuwa na fantasy, ila nimeahirisha maana inahitaji nguvu za ziada!Usijaribu😎
Tulia hivyohivyo mzee!Nilikuwa na fantasy, ila nimeahirisha maana inahitaji nguvu za ziada!
Utamu wa kitimoto na utamu wa k unatoa %ngapiKwamba unashangaa kuzama au nini?
Sijawahi hiyo kitimoto so sijui, nachojua K ni tam.Utamu wa kitimoto na utamu wa k unatoa %ngapi
Kitimoto rosti nusu na ugali, huwa najitahidi mara moja moja wikiendi nipige, napenda sana kitimoto
Furaha ya mwanadamu ni kula bwana...vyuku vyuku vyuku hapo nikipata na ndizi choma plus sparkiling water aisee nikitoka hapo nakamilisha na bao moja la hamu kwenye mbususu ya mrembo nachapa usingizi
changamsha genge si wajua jf hapa 😅😅Yuko period au?.
Pombe sio Bia