Umenikosea sana kaka!!
Jamani unajua kutesa watu mate yananitoka🤤Simo 🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿View attachment 3674419View attachment 3674420
Mtamu huyo babuu! Ukowapi nikupeleke chimbo moja matata😎Ni heri nizame uvinza, sio kula huyo mdudu.
We haya tu😀Location loading...!
Hapa kupanga ni kuchagua
Ni heri nizame uvinza, sio kula huyo mdudu.
Nipo live😁Huyo utakuta ameshazima kitambo tu!😅
Utakula wewe mimi nitakula mbuzi, na sitakuchum hata kidogo!Mtamu huyo babuu! Ukowapi nikupeleke chimbo moja matata😎
Kwamba unashangaa kuzama au nini?Tobaaaaa
Safi ntajipaka na mafuta yake ili usiniguse kabisa😎Utakula wewe mimi nitakula mbuzi, na sitakuchum hata kidogo!
Kwa kweli utakuwa umemaiza kila kitu.Safi ntajipaka na mafuta yake ili usiniguse kabisa😎
Hapana kaka, tulipofikia tuchague dhambi😬😬Bro ukipenda boga!?