Dahh leo umeamua😆Subiri nilewwee😃
Leo mmeamua😅
Naomba location nimekaa kizembe zembe sana leo
Njoo hapa pembeni ya mshana, unakaaje kizembe😆Naomba location nimekaa kizembe zembe sana leo
Atanitambua kweli jinsi ameshawakaNjoo hapa pembeni ya mshana, unakaaje kizembe😆
Yani hapo ukimpiga kibiriti tu analipuka boom💥 😆Atanitambua kweli jinsi ameshawaka
Anakunywa vikali vitupuYani hapo ukimpiga kibiriti tu analipuka boom💥 😆
Yuko period au?.Nimemuagizia mtoto kitu cha kumyegeshaa alafu hakuna kudumbwikanaaa .. na kila mtu analala chumba chake😅😅🥴
Hiyo Coke ilivyo ya baridi sasa! Halafu kuna bumunda linasema achana na soda!Nini kimesahaulika hapa❓❔ Nini kisikosekane.❗💪🏿❓❕View attachment 3672853