Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,710
- 868,042
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗