Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

Mbege ipo Dar sehemu nyingi tu...
Hata mikoani ipo..
Hata ughaibuni kuna watu wanauza..
images
Sijawahi kuiona aisee! Nitumie kwenye boda
 
Huo uamuzi nilishaufanya mda sana, ukiachana na kufa maana kufa ni hakika, kuna kuaibisha brand😬😬 hii ni noma zaidi!!
Umefanya jambo la busara babu, ila ukitaka kula vitamu vitamu unaniambia tu mjukuu wako nakupa kampani kama ya jana sawa?😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom