Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

b36fd3f5-9a87-4709-bbed-d23d3f20ead2.jpeg
 
Mkimaliza tu msisahau kesho alfajiri kabisa ni kuamka, kama mna watoto waandaeni waende shule, mkimaliza ni kujiandaa kwenda kwa kaburu.

Hakuna marefu yasiyo na ncha...dadeq
 
Kwani si tumekubaliana niko nijiani au? Mimi weekend inaisha j3 asubuhi😎
 
Kipindi flani tulienda vacay somewhere, pipo zilikula bata hatari, na vile tulikuwa pair ilikuwa hatari zaidi.

Nakumbuka siku ya kurudi kuna watu walitaka kulia, walitamani lile bata liendelee ila ukweli ni kuwa hakuna marefu yasiyo na mwisho😬😬

Binafsi nilichoka maana kula papa for the whole weekend siwezi😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom