Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,101
- 64,070
Jumapili nataka nika-osheoshe macho katika mji wa Shinyanga, inawezekana nikapata bahati ata ya kuokota almasi, kwa sababu mkoa huo unasifika sana kwa hayo madini.
Ili nisiboreke, nitataka nipate kampani ya mtoto mmoja mzuri sana atakayenitembeza hapa na pale; malipo yake ni nyama choma na vinywaji mbalimbali.
Kwa wale mnaojua machimbo mazuri, ya kuosha macho naombeni mnijuze.
Mimi ni mtu wa kula vaibu, nikiwa bado niko hai; mbinguni ni hukumu tu.
Nipeni machimbo ya weekend.