Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,296
- 95,339
Hivyo ndo vyenyewe mamaake!vikali vitupu
Hivyo ndo vyenyewe mamaake!vikali vitupu
Nyama na mademuNini kimesahaulika hapa❓❔ Nini kisikosekane.❗💪🏿❓❕View attachment 3672853
Vumbi liwepo.
Mwamba kakosa hata mchuzi wa ndondo alainishe hiyo breakfast?View attachment 3672867
At this point you can now repent😂
Aah sawa... Bro hakutaka majina ya kina Joji Bushi 😃Jina la mtoto wetu😎
Uzuri wa Jf picha za "booster" hazikosekani haipiti siku 🤣🤣
Tunataka mizimu ya nyumbani😂Aah sawa... Bro hakutaka majina ya kina Joji Bushi 😃
😂😂😂 kinehe 🤣🤣Tunataka mizimu ya nyumbani😂
Si umeona usasa huu...wao wana majina ya Inglish 😂...dogo akikua tumfundishe affidavit ni nini 🤣
Mhola! Umepotea sana mkuu kwema?😂😂😂 kinehe 🤣🤣