Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,464
- 5,176
- Thread starter
- #81
Degree ya kulenga ugoko wa Mbowe
Mkuu mbona mimi naona kama aliwapandisha sana kusema mnalinda benk? Lakini ukweli ni kwamba polis kazi kubwa mnayoifanya ni kupambana na CHADEMA!
Hiyo ayo ukaisomee degree ya kazi gani? Je sio kweli kuwa kila siku na hata kwenye sherehe kubwa kama Uhuru na Muugano polisi huwa wanaonyeshwa hadi kwenye tv zote wakipiga gwaride? Au uliwahi hata siku moja gwaride likipigwa na walimu???
Hiyo Division ya kwako nani alikuzuia usiende A-level na kusomea fai zingine?
Life is how you make it yourself my bro!