Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

Waziri yupo sahihi, kwa jinsi wasivyo fuata sheria na haki za watu, waziri kasema kweli! Jiulize kuvukaje mpaka wa Nchi kufukuzia 30k, kesi kubabikiza, inawasaidia nini? Kukamata watu bila kufuata GPO, hadi kesi zinakuwa ngumu!
 
Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
Polisi ni kampuni ya ulinzi ya serikali
 
Waziri yupo sahihi, kwa jinsi wasivyo fuata sheria na haki za watu, waziri kasema kweli! Jiulize kuvukaje mpaka wa Nchi kufukuzia 30k, kesi kubabikiza, inawasaidia nini? Kukamata watu bila kufuata GPO, hadi kesi zinakuwa ngumu!
Ni mambo ya hovyo kabisa
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Sasa kama umeombwa vyeti na ulipata DIV I ya point 7, si uwaonyeshe kuthibitisha kuwa waziri ni kuongo
 
We jamaa wee ni mwongo...[emoji1787]View attachment 1971613
Huu ufafanuzi una mantiki ila labda mpangilio na maneno yaliyotumika lugha hayapendezi. Kwa kawaida ajira ya awali ya majeshi yote hufuata vigezo vya kuajiri kuruta anayelengwa ama kuja kuwa ofisa mwandamuzi au kuwa mpiganaji au mtendaji wa kawaida. Ajira hii ya pili ndiyo inakuwa na watu wengi katika majeshi yo yote liwe la Tanzania au nchi nyingine.
Suala la akili na busara ni suala la majaliwa. Akili na busara haitokani ni shule pekee yake. Sehemu zote 2 za ajira zinaweza kuwa na watu wenye au wasio na akili wala busara.
Mapungufu ya utendaji hauko polisi tu. Jana kwenye Kituo cha Mwendokasi nilikutana na mchana tiketi amenyoosha mkono kupokea tiketi yangu huko anasoma hadithi kwenye simu yake ya mkononi akaikosa tiketi yangu na alipoipata akaichana kwa mkono mmoja. Ilimchukua dakika 2 na nilikosa bus mbele yangu! Lakini huyu kijana hakuona ana tatizo aliendelea kufurahia kusoma hadithi ya simu yake ya kiganjani!
Kwa hiyo tuelewane hawa wenzetu wanaposahihisha makosi tuwaunge mkono na wanaosahihishwa pia watuelewe wananchi tunavyosumbuka kwa makosa ya wenzao wengi kama siyo yeye binafsi.
 
"Sisi Polisi tunaishukuru sana Serikali ya CCM kwa kututoa jalalani.."

Hata Mama Ndalichako alipotuona hatufai na kutupa IV32 bado wengine mlituona tunafaa ahadi yetu ni kuendelea kuwatumikia kwa moyo mmoja..

Tukutane 2025 kwenye sanduku la kura.
 
Wazir yupo sahih,mbona katoa maelezo mazur tu
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Bro...hakuna sababu ya hasira,chukua kwa ufupi sana mfano huu[emoji116]

Mimi ni dereva wa mashirika wa kusome,nimefanya kazi na NGO's zaidi ya miaka zaidi ya 15

Nilipokua napata hasira za mshahara mdogo au kunekana mimk ni mtu wa chini sana wa kudharaulika nilipatwa na uchungu,nilipokumbuka kua nimejenga nyumba ya kuishi nilianza kukusaya pesa ya kununua gari dogo,na nikafanikiwa...kisha nikaacha kazi na kuingia mtaani kama taxi driver,maisha hayahitaji aibu wala uoga,ule mshahara wa shirika naupata,kinachokosekana ni ile tu kuonekana kwamba mimi ni dereva wa shirika kubwa,haisaidii..swala ni pesa,uhulu wa maisha yako na amani moyoni.

Hakuna boss amewahi kumheshimu wa chini,ni wachache sana.

Chukua maamuzi acha uoga
 
Akwilina alipigwa risasi na mtu ambaye hakutumia akili, wafuasi wa Chadema walikuwa upande mmoja wa barabara, katikati magari yanapita huku polisi waliofyatua risasi wakiwa upande mwingine wa barabara, bila kujali kuwa magari yanapita katikati wakafyatua risasi ambayo iliingia ndani ya daladala na kumuua Akwilina! Hata hivyo wakalazimisha kuwa siyo wao.
 
Uoga ndiyo umetufikisha hapa tulipo
 
Kimsingi ni kazi ya laana tupu
 
Waziri ndio mwongo na mfitinishi anataka watu waamini polisi ni taaluma ya failures
Nampongeza waziri na kumuunga mkono100%
Kwani hamwoni utendaji wa polisi wetu,ni kama watu wasioelimika kabisa kuanzia asiye na cheo mpk Igp. Kitendo cha kubambikia watu kesi ni cha mtu mwenye elimu?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Mkuu mbona mimi naona kama aliwapandisha sana kusema mnalinda benk? Lakini ukweli ni kwamba polis kazi kubwa mnayoifanya ni kupambana na CHADEMA!
Hiyo ayo ukaisomee degree ya kazi gani? Je sio kweli kuwa kila siku na hata kwenye sherehe kubwa kama Uhuru na Muugano polisi huwa wanaonyeshwa hadi kwenye tv zote wakipiga gwaride? Au uliwahi hata siku moja gwaride likipigwa na walimu???
Hiyo Division ya kwako nani alikuzuia usiende A-level na kusomea fai zingine?
Life is how you make it yourself my bro!
 
Back
Top Bottom