Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana...
Mtajuana wenyewe sisi haituhusu
 
Acheni chuki polisi na sisi ni watu, chuki zenu mnasababisha tuwafanyieni ubaya mkifika kituoni
Amuwezi kuacha sababu ya elimu wengi mliyo nayo,! Ninapenda polisi wenye elimu kwa kuwa kuna muda wanahitajika kutafakari na kuwa na utu, wasio na elimu muda wote dili tu!
 
Kwa hiyo majeshi yote wanaocheza magwaridi ya heshima mbele ya viongozi ni wajinga?
Swadakta-kwa mujibu wa Simbachawene kama utakuwa unaongelea polisi tu maana hata yeye kazungumzia hao. Usihamishe magoli.
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana..

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Achana na maneno ya kwenye majukwaa ya ki-Siasa. Kwani wewe hapo kama una degree yako, maneno yake yamekunyang'anya dgree yako?
 
1. Wewe sio polisi
2. Hujapata one ya 7
3. Wewe ni muongo
4. Rudia namba 3
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Ulivamia fani isiyo yako. Achia ngazi mara Moja.
 
Kazi za form four failure ni polisi, ualimu n.k na zamani unesi n.k
 
Waziri yupo sahihi viumbe hawa ni failure na hii inadhihirishwa na matendo yao...wanatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Kwanini sasa polisi wasi waajir vijana wenye elimu ya digree ili Wawa wapelelez kuliko kuchikua Division 3 ndiyo wakaja kuwa wapelelez
 
Tatzo wenye degree wakaid sana..na ndo waanzisha migomo
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Umeonesha hivyo vyeti kwa wanao.

Kama umeshindwa, jamaa amebeba kombe bila kucheza ligi.

Ubingwa wa mezani.
 
Back
Top Bottom