Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,467
- 5,182
- Thread starter
- #41
Usiombee yakukuteSasa wananchi wakupige kisa wewe ni.police kuwa police ni.kosa?
Usiombee yakukuteSasa wananchi wakupige kisa wewe ni.police kuwa police ni.kosa?
Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Hata ukiwa na degree tano kwenye upolisi unatakiwabujue kazi yako bado ni ulinzi tu hata iweje ipo siku utasimama kulinda watu.Acheni chuki polisi na sisi ni watu, chuki zenu mnasababisha tuwafanyieni ubaya mkifika kituoni
Waziri kaongea ukweli tupu, kazi yenu haina tofauti na kampuni za ulinziKauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Ni kama kampuni fulani ya ulinziHta
Hata ukiwa na degree tano kwenye upolisi unatakiwabujue kazi yako bado ni ulinzi tu hata iweje ipo siku utasimama kulinda watu.
Kama ni msomaji wa mitandao alichokisema Waziri ndicho kimekuwa kikisemwa miaka na wananchi, msimuonee Waziri.Waziri ndio mwongo na mfitinishi anataka watu waamini polisi ni taaluma ya failures
Tunafanya kwa weledi ila hatutakiwi kuijua JPO na wengi tumeisikia kwenye sakata la Kingai, Mahita na magaidiHivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
Sisi tunalinda Mali, raia na usalama kwa ujumlaHta
Hata ukiwa na degree tano kwenye upolisi unatakiwabujue kazi yako bado ni ulinzi tu hata iweje ipo siku utasimama kulinda watu.
Mara nyingi polisi hulazimisha kushinda kesi kwa hisani ya jaji, turejee vifungo vya akina Sugu Mbeya na Akina Mbowe Dar ambao wote mwisho walisafishwa na mahakama kuwa hawakua na hatia ya kuhalalisha vifungo! Adhabu za namna hiyo ziko nyingi sana kwa wapinzani.Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
Kampuni za ulinzi hazilindi usalama wa raiaWaziri kaongea ukweli tupu, kazi yenu haina tofauti na kampuni za ulinzi
Kwa kuongezea ukiwa police timamu mwenye ufaulu huwezi kumkamata mtanzania kwa kosa la kufanya jogging. Waziri wenu yuko sahihi sana.Yuko sahihi, hakuna Polisi mwenye kujielewa aliyesoma akaelimika akakubali maagizo ya kuchukua kura fake na kuweka kwenye ballot box, huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wanaokuwa wamemtuma tu.
Facts zipo nyingi sana zinazothibitisha kuwa Polisi hawana ajili, sio kweli kuwa kila order ni ya kutekeleza, only in Tanzania.
Zinalinda na zenyewe mali na raiaKampuni za ulinzi hazilindi usalama wa raia
Waziri kasema kweli tupuKwa kuongezea ukiwa police timamu mwenye ufaulu huwezi kumkamata mtanzania kwa kosa la kufanya jogging. Waziri wenu yuko sahihi sana.
Hahahahaaa nimecheka sana ila kweli aiseeeKwa kuongezea ukiwa police timamu mwenye ufaulu huwezi kumkamata mtanzania kwa kosa la kufanya jogging. Waziri wenu yuko sahihi sana.
Ni wadhaifu snPolice mmoja juzi kapigwa na walinzi migambo Hadi kulia ivi mafunzo yenu huwa mnayatoa wapi
Waziri kaamua kuweka kweliKama ni msomaji wa mitandao alichokisema Waziri ndicho kimekuwa kikisemwa miaka na wananchi, msimuonee Waziri.