Na halikufanyika makusudi, ili waendeleee kuburuzwa buruzwaa tuuu.uta kuta kapolisi muda wote kamefuraaaaa yaaani,ukikagusa kidogo tuu kamelipukaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simbachawene yuko sahihi kabisa. Hata lile zoezi la Magufuli la vyeti feki halikufanyika Polisi.
Laiti lingefanyika basi Polisi wengi wangerudi mtaani kwa kuwa wenyewe ndiyo wanaongoza kwa kuchukua vyeti vya wengine na kuombea mafunzo
Tena simbachawene aanze na kuwalamba makofi kadamnasiiitena ninyi mnatakiwa mdhalilishwe zaidi ya hapo maana mnakubali kutumika vibaya na watawala mbwa nyie
Kama ulijisifia bure bure basi imekula kwako, kama ni kweli waonyeshe hivyo vyeti vyako uondoe mzizi wa fitina.Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Haha hahaWaziri kadhihirisha pasi na Shaka jeshi la Polisi wanaajiriwa mbumbumbu aibu sana.
Nina payment slip ya Baraza la MitihaniKama ulijisifia bure bure basi imekula kwako, kama ni kweli waonyeshe hivyo vyeti vyako uondoe mzizi wa fitina.
Nina payment slip ya Baraza la MitihaniKama ulijisifia bure bure basi imekula kwako, kama ni kweli waonyeshe hivyo vyeti vyako uondoe mzizi wa fitina.
Nina payment slip ya Baraza la Mitihani Ile inaonyeshaga matokeoUmeonesha hivyo vyeti kwa wanao.
Kama umeshindwa, jamaa amebeba kombe bila kucheza ligi.
Ubingwa wa mezani.
Kingai bana, PGO inakupa tabu kuielewaKauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kazi za form four failure ni polisi, ualimu n.k na zamani unesi n.k
Vipi kingai,mahita, goodluck, na jumanne??Isn't generalization?!!
Isn't fallacy?!!
Akitokea Polisi mmoja mjinga haina maana ni wote....ingekuwa hivyo jeshi hilo lingeshafutwa kikatiba.....
Chuki huviza moyo....Kuna Polisi wengi sana ni wema mno na weledi wa kazi zao haswa......
SIEMPRE JMT