Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kwani bwana mkubwa ukipata daraja gani mtihani wako wa kidato cha nne?
 
Ukweli Mchungu. Wazir kasema tunachukua four karibu na zero kwaajili ya kushika silaha. Maana yake wote unaowaona bank ni zero. Na hakuna kupanda mpaka kufa we na zero unapanda unaenda wapi .ndio maana ni watiiifu sana kwakuwa wanahisi wamependelewa ukitolewa hapo unaenda wapi na zero yako
 
Polisi ndio kada inayoongoza kwa kufoji vyeti Tanzania. Hata Zero bila shaka naye ana jina lake halisi
 
Sema majeshi kwa ujumla,wakifuatiwa na manesi wale wanaovaa nguo za bluu sijui kijani.
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Ili waweze kufanya Yale waelekezao bambika huyo, ACHA yule, zuia mkutano huu, muruke yule, nyima dhamani yule, muruke huyu, mwongezee kirungu yule, muruke huyu. Yote hayo yanahitaji akili kubwa. 🤸
 
Simbachawene ni mkweli mpaka basi
 
Kuna wakati ITV hukosa watu wa kuhoji. Nashauri ikifikia hawana mtu wa kuhoji waweke muziki muda wa kipindi uishe. Yaanibmtu ni waziri lakni majibu utadhani ni mwrnyekiti wa chama mtaa.
 
Isn't generalization?!!

Isn't fallacy?!!

Akitokea Polisi mmoja mjinga haina maana ni wote....ingekuwa hivyo jeshi hilo lingeshafutwa kikatiba.....

Chuki huviza moyo....Kuna Polisi wengi sana ni wema mno na weledi wa kazi zao haswa......

SIEMPRE JMT
Ujinga unaofanywa na polisi mmoja mara nyingi kama siyo mara zote hunyamaziwa na jeshi zima la polisi
 
N
Ili waweze kufanya Yale waelekezao bambika huyo, ACHA yule, zuia mkutano huu, muruke yule, nyima dhamani yule, muruke huyu, mwongezee kirungu yule, muruke huyu. Yote hayo yanahitaji akili kubwa. 🤸
I
 
Mtoa mada hizo marks sio zako.Umeamua kujikweza tu.Vitendo vingi vya Polisi juu ya Raia havionyeshi ufaulu. Nguvu nyingi akili kiduchu!!
 
Sasa wananchi wakupige kisa wewe ni.police kuwa police ni.kosa?
 
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.

Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.

Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.

Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.

Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.

Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kilichokupeleka huko ni tamaa yako ya kukimbiza magendo ya elfu 30 sasa unamlaumu nani?

Kwani hukujua kazi ya police ni ulinzi?
Pambana na hali yako sasa ulitaka aseme upolisi ni afsa kitambi meneja wakati ni ulinzi?
 
Kwanza hamtakiwi kulalama, wewe upo mahali ambapo siisahihi, inatakiwa ndio, ndio, ndio.
 
Kilichokupeleka huko ni tamaa yako ya kukimbiza magendo ya elfu 30 sasa unamlaumu nani?

Kwani hukujua kazi ya police ni ulinzi?
Pambana na hali yako sasa ulitaka aseme upolisi ni afsa kitambi meneja wakati ni ulinzi?
Duh
 
Hao jamaa walio 'differentiate constant' ndio maana wakikutana na Kibatala mahakamani Ni mwendo wa kuulizwa tu maana ya PGO.
 
Kilichokupeleka huko ni tamaa yako ya kukimbiza magendo ya elfu 30 sasa unamlaumu nani?

Kwani hukujua kazi ya police ni ulinzi?
Pambana na hali yako sasa ulitaka aseme upolisi ni afsa kitambi meneja wakati ni ulinzi?
Acheni chuki polisi na sisi ni watu, chuki zenu mnasababisha tuwafanyieni ubaya mkifika kituoni
 
Back
Top Bottom