Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Hakuna dawa ni baadhi tuu huwa hazipo hata farmacy huwa hakuna dawa zote.Hivi tatizo ni majengo au huduma bora? Hapa nilipo kuna hospitali ya wilaya na ya tarafa lakini ukienda kupata huduma unaambiwa hakuna dawa, unaambiwa dawa kanunuwe pale!
Ushauri wangu ni kwamba ziboresheni kwanza hospitali na vituo vyote vya afya vilivyopo,nikimaanisha madawa nawahudumu wawepo Wa kutosha kabla ya kuongeza vituo vingine!.
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania tutembee kifua mbele kwa kujenga nchi yetu wenyewe. - Taarifa hii imetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Mwigulu Lameck Nchemba "Madelu".
Bwanku M Bwanku
View attachment 1919364
Tatizo ni majengo na huduma japo za awali.Kwamba nisafiri km za kutosha kwenda kitafuta huduma tena kwenye barabara mbovu Kisa huduma ziko mbali .Hivi tatizo ni majengo au huduma bora? Hapa nilipo kuna hospitali ya wilaya na ya tarafa lakini ukienda kupata huduma unaambiwa hakuna dawa, unaambiwa dawa kanunuwe pale!
Ushauri wangu ni kwamba ziboresheni kwanza hospitali na vituo vyote vya afya vilivyopo,nikimaanisha madawa nawahudumu wawepo Wa kutosha kabla ya kuongeza vituo vingine!.
Biashara za Mobile money zinakufa kila kukicha. Ajira zinapotea. Huku Luku huku mafuta. Mafuta yamepandisha na yanaendelea kupandisha gharama za maisha. We will soon collapse kama tusipokuwa makini. Nyie mdanganyeni tu Mama. By the way, tozo zilikuwepo kabla hata ya Mama na vituo vya afya vilijengwa.
Magu aliwahi waambia kwamba ataamini maisha ni magumu siku mafundi nguo wakufunga ofisi,baa bombe hainyweki, wanaume mkiacha kuhonga na harusi au saluni za urembo zikiacha kufanyika.The worst goverment and worst finance minister to have ever found....,Nyie mnamkamua mtz kodi kila mahali(mshahara,petrol,miamala,mazao,luku) afu MNATAKA MAMA MWENYE NYUMBA ASIMWACHIE MZIGO WA TOZO ZA LUKU MPANGAJI?!!?....,Hivi Serikali inaujua ujeuri wa wamama wenye nyumba?!...,Eti msinunue umeme kisa Tozo....,"Atawaambia KAENI GIZANI/ONDOENI KABISA METER"...,Dr Mwigulu unakiaibisha chuo ulichosoma....,Yaani kichwani hufikirii alternatives sources of your budget zaidi BIBI ZETU MASKINI WA VIJIJINI/watz maskini??.....,PhD ya jalalani.
Tatizo lingine ni usHakuna dawa ni baadhi tuu huwa hazipo hata farmacy huwa hakuna dawa zote.
Shule za kata zilianza kwa majengo na huduma kujikongoja lakini as time goes ziliboreka.
Nyingi ya vituo vya afya vitaanza kwa ajili ya wamama wajawazito, watoto na wagonjwa wa nje,baada ya miaka 3 hivi vitaanza kutoa huduma nzuri zaidi maana vitaletewa wataalamu na majengo yataongezeka kwa ajili ya magonjwa mengineyo.
Hata yale madawa kidogo yanapoletwa yanaibiwa, unakuta mhudumu wa kituo fulani cha afya anaduka lake la madawa pembeni,dawa zikija anapeleka kwake, sasa Mpaka hapo tutafika? Tafakari!Tatizo ni majengo na huduma japo za awali.Kwamba nisafiri km za kutosha kwenda kitafuta huduma tena kwenye barabara mbovu Kisa huduma ziko mbali .
Shule za kata zilianzaje? Tunaanza na majengo ya kuweza kutoa japo huduma za awali afu baada ya mda huduma zote zitapatikana.
Hata famasi hakuna dawa zote Mzee,kwani hapo hospital dawa unapewa bure? Si unanunua tena bei kubwa kuliko maduka ya nje,sema nyie wa bima ndio mnalia Lia Sana lakini sisi wa kulipia hatujawahi ona shida maana hatupewi bore hata ingepatikana hospital.
Unaporopoka uwe unakuja na Takwimu vinginevyo nyie ndio huwa mnashitakiwa kwa ile sheria ya mitandao.Biashara za Mobile money zinakufa kila kukicha. Ajira zinapotea. Huku Luku huku mafuta. Mafuta yamepandisha na yanaendelea kupandisha gharama za maisha. We will soon collapse kama tusipokuwa makini. Nyie mdanganyeni tu Mama. By the way, tozo zilikuwepo kabla hata ya Mama na vituo vya afya vilijengwa.
Kwa nini hukutoa taarifa kama ulimuona mwizi? Usipolinda mali yako nani akulindie? Kukaa kimya tuu unashiriki wizi na inaonesha hata ungekuwa wewe ungeiba tuu.Tatizo lingine ni us
Hata yale madawa kidogo yanapoletwa yanaibiwa, unakuta mhudumu wa kituo fulani cha afya anaduka lake la madawa pembeni,dawa zikija anapeleka kwake, sasa Mpaka hapo tutafika? Tafakari!
Wewe au Sukumagang?Mzee tunakomeshwa balaa
Dingi akoWewe au Sukumagang?
Hadi 2030 matusi yote yatakuisha. Piga mwingi mama yetu.Dingi ako
Hahaha BashiteHadi 2030 matusi yote yatakuisha. Piga mwingi mama yetu.
Taratibu lakini tutafikia lengo