Majaliwa amejiona anaweza uongo uongo, basi anakuja na kwenye mambo muhimu ya Umoja wa kitaifa kuongopa ongopa.Waziri Mkuu kama Majaliwa hana Mamlaka yoyote ya kisheria ya kukutana na vyama vya siasa .
Bila shaka Chadema haitahudhuria jambo hilo
Waziri Mkuu siye anayepanga nini vyama vya siasa vifanye na nini visifanye. Hayo yote yameshaainishwa ndani ya Katiba. Aache kujibaraguza na kupotezea watu muda wao. Vyama vinavyojitambua havitatia mguu bali vyama UCHWARA vitakuwepo.
You are becoming a good girl now.Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wetu
Kama ilivyokuwa dili la kuwanunua wale covid 19. Hakuna jema toka kwa Serikali dhalim ya CCMUkiona hivyo ujue kuna hela zinafukuziwa na zimetoka n sharti kabla ya kutoka kwa mabeberu
You are becoming a good girl now.
Ushauri kwa Vyama vya Upinzani KIKAO kiwe na RAIS sio WAZIRI MKUU na pia haya Yafanyike kabla ya KikaoLengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.
Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.
Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.
Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.
Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.
Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?
Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Waziri Mkuu kama Majaliwa hana Mamlaka yoyote ya kisheria ya kukutana na vyama vya siasa .
Bila shaka Chadema haitahudhuria jambo hilo
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.
Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.
Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.
Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.
Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.
Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?
Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Kwani huyo mama Hana mdomo mpaka atumie dalali
Rais Yuko tayari kukutana na vyama vya siasa sio chadema Peke Yao
Ni vituko SanaUnachomoa gurudumu la gari la jirani yako halafu, badala ya kurudisha hilo gurudumu, unamuita azungumze na mdogo au mtoto wako ili “muafaka” wa “tatizo” upatikane!
Bila shaka serikali hii inaamini kwa dhati kabisa kuwa watu inaowangoza ni mazuzu. Ukweli ni kuwa hawataki serious opposition kabisa.
Mapendekezo yangu ni kuwa mkutano huo uwe ni wa maandalizi ya ahadi ya Rais wa jamhuri ya muungano, kukutana na kuzungumza na vyama vya siasa,ila wale walioonyesha kuto aminiwa nawaliochochea mfarakano na sitofahamu kama Siro, na Mtungi walete wawakilishi wasio tiliwa shaka, ila mawaziri wenye dhamana wasikosekane kuwepo.Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji uwepo wa Waziri Mkuu na mawaziri wenye dhamana ili mkutano uwe na tija.
Naona Serikali kupitia Waziri Mkuu wametekeleza hilo ili kuwe na muafaka Kama taifa.
Kwa uwepo wa Waziri Mkuu na Mawaziri wengine wenye dhamana na bila kutaja uwepo wa Sirro.
Nadhani CHADEMA na ACT pia watakuwepo. Na kubwa zaidi mkutano huo umetangazwa na makamu msajili na sio Jaji Mtungi ambaye CHADEMA na ACT hawaoneshi kumuamini.
Swali ninalojiuliza.
Je, kwanini Rais hakutimiza ahadi ya kukutana na kuongea na CHADEMA tokea Aprili 20 aliyoitoa kwa Mbowe.
Kwanini washauri wa Rais hawakutaka kabisa Mbowe na Rais Samia wakutane. Hata Kama Mbowe ni mwongo walikuwa na nafasi ya kushauriana na Rais baada ya kuongea na Mbowe.
Je, mkutano huo utakuwa na nguvu kiasi gani wakati kiongozi mkubwa zaidi wa upinzani yuko Mahabusu kwa kesi isiyodhaminika.
Je, Kuna maafikiano ya haki yanayoweza kupatikana wakati Wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa uanachama bado wako bungeni?
Je, wewe kama Mtanzania unashauri upinzani ukaongelee nini haswa.
Huyu ni muongo muongo hana credibility kabisaLengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.

Mungu anakazi nyingi zaidi ya kuchezewa na hawa wanasiasa!Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wetu