Waziri Mkenda: Nitatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi

Atumie tu wataalam toka UK maana fedha zipo za kumwaga ni namna tu ya kuzitumia ndio inatakiwa tupate.
 
Tunapenda kukopa sababu tunajua madeni yatalipwa, na watakaowajibika kuyalipa ni hao watakaokuwepo
Na hicho ndicho kitakachofanya mwewe kunyakua kofia na kilemba cha bi tozo mchana kweupe!!halafu mwewe anaelekea kumvika wa kusini Baada ya wa visiwani kupozi kwa muda!!
 
Back
Top Bottom