Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Ninyi endeleeni kumkodolea macho Masha tu. Nchi hii kubwa sana na ina mambo mengi sana. Hiyo SAGEM haimo kwenye mchakato tena, na wala hawajatuibia chochote. Shida ni nini hasa; ni Masha na ujana wake au UWAZIRI wake? Kwa nini tusizuie haya mapesa yasiende kwenye vitambulisho badala yake yapelekwe kwenye ELIMU na AFYA? Hivi kweli tunavihitaji vitambulisho hivi kwa sasa na katika hali ngumu tuliomo?
 
Anawakilisha jimbo saa ngapi wakati yeye ni sehemu ya serikali? Huu ni ujinga ambao tunaendelea kuufumbia macho. Atalisemeaje jimbo lake wakati anatakiwa kujibu hoja za wabunge? Hili linatia sana doa kwani kuna mganganyiko wa kutisha.

Kwani ubunge unakwisha anapoteuliwa kuwa waziri? Kwani uingereza wanafanyaje? Yeye kama mbunge bado ana wajibu wa kusikiliza hoja za watu wa jimbo lake na kuziwasilisha panapohusika. Yeye vile vile anawajibika kuhakikisha kuwa anatetea maslahi ya jimbo lake. Wabunge wengine nao wanawajibika kumkosoa pale wanapoona kuwa anatumia madaraka yake ya uwaziri vibaya! Sasa kama wanaogopa kufanya hivyo, nani alaumiwe?
 
Last edited:
Masha kama mtu mwingine yeyoye ana haki ya kujitetea dhidi ya tuhuma zilizotolewa juu yake,sasa lipi jipya kwenu?magazeti yaliandika uongo na ndio maana amekanusha tena kwa ushahidi wa passport yake!!tusiwe tunajump kwenye issues tusizojua ukweli uko wapi,Masha is clean whether magazeti ya ipp like it or not!habari ndio hiyo!!!!!!!
 
Mengi anahusika katika moja ya kampuni zinazoshindania hiyo tenda ya vitambulisho, kama mnabisha mtanambia.
 
Mengi kisha onyesha tabia ya kutumia vyombo vyake vya habari kila anapozikosa hizi kazi kubwa kubwa, mfano:

1) Kilimanjaro Hotel, aliikosa akafanya madudu mpaka mwisho akashindwa kubadili matokeo, jee hamkumbuki?

2) Tanganyika Packers, aliikosa akafanya madudu mpaka mwisho akashindwa kubadili matokeo, jee hamkumbuki?

3) EPZ na majumba ya NSSF, aliikosa akafanya madudu mpaka mwisho akashindwa kubadili matokeo, jee hamkumbuki?

Sasa hayo ndio aliyoyakosa na akafanya makeke mengi na vyombo vyake vya habari vikitowa habari za upande mmoja kuhusu hayo. Jee, ni mangapi aliyoweza kushinda kwa hila hizo mbovu?

Na hii ya kumshikia Bango Masha, ni moja katika hila zake mbovu za biashara, anataka apate tuu na akikosa akijiona anataka kukosa basi atacheza rafu za kila aina, moja wapo ni hii. He is what we call a shrewd businessman.
 
Sasa hapa Mengi kafanya nin jamani. Nafikiri hata wewe ni FISADI au unafaidika na ufisadi. Yaani tunakatisha tamaa sana.
 
masha kama mtu mwingine yeyoye ana haki ya kujitetea dhidi ya tuhuma zilizotolewa juu yake,sasa lipi jipya kwenu?magazeti yaliandika uongo na ndio maana amekanusha tena kwa ushahidi wa passport yake!!tusiwe tunajump kwenye issues tusizojua ukweli uko wapi,masha is clean whether magazeti ya ipp like it or not!habari ndio hiyo!!!!!!!

we umejuaje kama magazeti yameandika uongo??
 
a
- Kwa kutumia usahhidi wako wa google mpaka leo bado huko Nigeria hawajafunga mtu

b
huko google hakuna ushahidi wa Masha kukutana na Segam Geneva?

c
Maana kujua ku-search google kunakufanya uwe sayari nyingine mzeee wa usalama bwana sometimes unafurahisha sana!

Kamanda FMES

Hujui kilichotokea kwa wale mawaziri waliokula rushwa Nigeria? umekuwa mvivu kufanya homework!! they were sacked by President Olusegun Obasanjo

Hakuna andiko langu linalosema Masha alikutana na watoa rushwa Geneva, do not put words in my mouth mkulu. Nasoma tu kwenye mtandao na magazeti ya bongo

Stop calling pipo names hunijui mazee kama nisivyokujua wewe....ingawa wewe hujifanya wajua kila mtu hahahaha misfire hiyo, hili la usalama limetoka wapi tena ? leta hoja usikimbilie kwenye vioja na vionjo.
Heheheheheheee...duh mazee na wewe bana....who don't you know? Lol
Eniwei, inawezekana una point...........

Peace

Masanilo
 
Lady Capricorn has reported a post.

Reason:
Could Halisi please verify his information, or provide the source of this information. I would argue that it is incorrect, and harmful to the individual named therein (not that he got the spelling of the name right, which is an indication of verbal hear-say).
Post: Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho
Forum: Jukwaa la Siasa
Assigned Moderators: N/A

Posted by: Halisi
Original Content:
Leo Masha amejaribu kujitetea wakati anahojiwa na TBC1. Hata hivyo amenishangaza pale aliposema kuwa ile barua kwa PM ilikuwa kwa ajili ya kumweleza maendeleo ya uchambuzi wa tenda (Just a note to give him a sort of progress report)???? Je kwa wale walioiona hiyo barua inafanana na progress report? Pia amekanusha kukutana na Segem huko Uswiss na akasema tarehe zilizotajwa hakuwa Geneva bali aliondoka Dar 5 Oktoba 2008. Nani anasema ukweli hapa?? Yapo mengi aliyojaribu kusema lakini jingine la kushangaza ni kuwa Segem imetolewa kwa sababu ilitoa malalamiko kuhusu tenda bila kufuata utaratibu.

Kwa hiyo LM anasema hana kashfa yoyote na hawezi kujiuzulu. Hata hivyo amesema kama kuna ushahidi wa kuonesha kuwa alivunja sheria yuko tayari kuanchia mchuma.

Just. Kupenda kujua, ilikuaje je ni kweli? kwamba,

"Lawrence Masha traveled to Geneva to attend a UN meeting on Refugees.
He boarded Swiss Air from Dar es Salaam. Before he left for Genevea, he requested his business associate, Edan Eyakuza, to call the officials from SAGEM and fix a meeting in Geneva.

"Masha met with two officials led by Chairman and CEO, JeanLin Fournereaux from a Spain Based Company, Sagim, which is one of the bidders in the nation IDs Project for three hours, trying to lay down the strategies of how to win the tender."

"Next day (6th) the minister toured the company’s branch located at Max-Schmidheiny-Strasse 202 CH 9435 Heerbrugg – SWITZERLAND, AS PART OF THE INVITATION OF THE CHAIRMAN.

"The meeting was coordinated by Masha’s close business associate, Edan Eyakuze, from Dar es Salaam. He is the focal point for all communications between Sagim and Mr. Masha"

"The meeting took place on October 5, 2008 from 6pm-8pm(GMT) at, Mandarin Oriental Hotel, Suite No 0306."

"After the meeting, the three officials have a dinner together at the same Hotel. Masha returned in the country on October 11 at 6pm and hard a serious briefing to his business associate, Edan Eyakuze, on his way to home. He was briefing him over the phone, and two key witnesses were around, his personal assistance and a driver.":

Akiwa njiani akitokea Geneva, Katika mazungumzo yake Masha alisikika akisema, “Wamejicommit 5 percent. Nadhani inatosha, kwa sababu wana orodha ya wengine pia. Let’s work hard to ensure kwamba wanashinda kwa maslahi ya nchi yetu na sisi pia. Tukutane nikubrief zaidi. Wakiingia kwenye final stage, wanashinda, labda itokee miujiza."

Na hii hapa: "Their conversations over the phone lasted for about 20 minutes. They then agreed to have a meeting that evening at Regency Park Hotel."
 
Jamaa angehojiwa na Tiddo Muhando ningekuwa na imani hawa jamaa wa clouds nimewasikiliza toka asubuhi hakuna kitu.Wamwige Tiddo jinsi ya kumbana vizuri mtu anapo hojiwa,
 
Your take is wrong! Sijui ulisoma article ipi ambayo walikosea tarehe, mimi nilisoma katika gazeti hilohilo la Nipashe na pia nilimsoma Kubenea walisema alikutana na mwakilishi wa Sangem tarehe 5 Oktoba na jioni! Hiyo tarehe ya kuondoka tunaweza kubishana weee lakini haileti maana. So, the journalists are right. Hoteli waliyokutana na wakilishi wa Sangem SIYO hiteli aliyokuwa anakaa Masha. Ni kama mtu anakaa Movenpick lakini ale dinner na mtu Kempinski. That article was clear. Huyu Masha hajajisafisha lolote!
My Take; another poor attempt kujisafisha and try to redefine the meaning of the word 'is' a la Bill Clinton, but that is just parsing with words. Alikutana na watu wa Sangem na alitembelea kampuni yao, there is no doubt in my mind.... ye angekaa kimya kuliko kujifanya ni mjanja sana... sasa nina uhakika vitu vingine vitafumuka!

Mzee mjumbe hauwawi. mpaka hapo hatujui nani anasema ukweli.

Ila swali ni kuwa kwanini haishitaki gazeti kama ni uongo?

Pia Masha kama mtu yeyote ana haki ya kukutana na mtu yeyote atakaye, huwezi kujua shida ya mtu mpaka umsikilize.
 
Posted by Jamii forums kwenye topic nyingine ya Masha. Mods naomba mziunganishe maana interview imeisha:

--------------------------------------------------------------------------------

Lady Capricorn has reported a post.

Reason:
Quote:
Could Halisi please verify his information, or provide the source of this information. I would argue that it is incorrect, and harmful to the individual named therein (not that he got the spelling of the name right, which is an indication of verbal hear-say).

Post: Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho
Forum: Jukwaa la Siasa
Assigned Moderators: N/A

Posted by: Halisi
Original Content:
Quote:
Quote:
Originally Posted by Dark City
Leo Masha amejaribu kujitetea wakati anahojiwa na TBC1. Hata hivyo amenishangaza pale aliposema kuwa ile barua kwa PM ilikuwa kwa ajili ya kumweleza maendeleo ya uchambuzi wa tenda (Just a note to give him a sort of progress report)???? Je kwa wale walioiona hiyo barua inafanana na progress report? Pia amekanusha kukutana na Segem huko Uswiss na akasema tarehe zilizotajwa hakuwa Geneva bali aliondoka Dar 5 Oktoba 2008. Nani anasema ukweli hapa?? Yapo mengi aliyojaribu kusema lakini jingine la kushangaza ni kuwa Segem imetolewa kwa sababu ilitoa malalamiko kuhusu tenda bila kufuata utaratibu.

Kwa hiyo LM anasema hana kashfa yoyote na hawezi kujiuzulu. Hata hivyo amesema kama kuna ushahidi wa kuonesha kuwa alivunja sheria yuko tayari kuanchia mchuma.

Just. Kupenda kujua, ilikuaje je ni kweli? kwamba,

"Lawrence Masha traveled to Geneva to attend a UN meeting on Refugees.
He boarded Swiss Air from Dar es Salaam. Before he left for Genevea, he requested his business associate, Edan Eyakuza, to call the officials from SAGEM and fix a meeting in Geneva.

"Masha met with two officials led by Chairman and CEO, JeanLin Fournereaux from a Spain Based Company, Sagim, which is one of the bidders in the nation IDs Project for three hours, trying to lay down the strategies of how to win the tender."

"Next day (6th) the minister toured the company's branch located at Max-Schmidheiny-Strasse 202 CH 9435 Heerbrugg – SWITZERLAND, AS PART OF THE INVITATION OF THE CHAIRMAN.

"The meeting was coordinated by Masha's close business associate, Edan Eyakuze, from Dar es Salaam. He is the focal point for all communications between Sagim and Mr. Masha"

"The meeting took place on October 5, 2008 from 6pm-8pm(GMT) at, Mandarin Oriental Hotel, Suite No 0306."

"After the meeting, the three officials have a dinner together at the same Hotel. Masha returned in the country on October 11 at 6pm and hard a serious briefing to his business associate, Edan Eyakuze, on his way to home. He was briefing him over the phone, and two key witnesses were around, his personal assistance and a driver.":

Akiwa njiani akitokea Geneva, Katika mazungumzo yake Masha alisikika akisema, "Wamejicommit 5 percent. Nadhani inatosha, kwa sababu wana orodha ya wengine pia. Let's work hard to ensure kwamba wanashinda kwa maslahi ya nchi yetu na sisi pia. Tukutane nikubrief zaidi. Wakiingia kwenye final stage, wanashinda, labda itokee miujiza."

Na hii hapa: "Their conversations over the phone lasted for about 20 minutes. They then agreed to have a meeting that evening at Regency Park Hotel."
 
TK unafanya kazi ya uwakili IMMA? naona unafanya kila liwezekanalo kumtetea boss wako....achia nature ichukue its course ukweli hatufichika milele bana.....

Mr. Msanilo, nawe unafanya kazi ya Mwandishi wa habari IPP? Naona unafanya kila uwezalo kumtuhumu mtu bila ushahidi. Mwenzio kaweka karata mezani wakati wewe unasubiri nature i take its course. Ndugu mambo siku hizi hayaendi hivyo. Mambo yanaenda kisayansi na teknologia hii ni karne ya 21. Acha kubahatisha.
 
"After the meeting, the three officials have a dinner together at the same Hotel. Masha returned in the country on October 11 at 6pm and hard a serious briefing to his business associate, Edan Eyakuze, on his way to home. He was briefing him over the phone, and two key witnesses were around, his personal assistance and a driver.":

Akiwa njiani akitokea Geneva, Katika mazungumzo yake Masha alisikika akisema, “Wamejicommit 5 percent. Nadhani inatosha, kwa sababu wana orodha ya wengine pia.
Let’s work hard to ensure kwamba wanashinda kwa maslahi ya nchi yetu na sisi pia. Tukutane nikubrief zaidi. Wakiingia kwenye final stage, wanashinda, labda itokee miujiza."

Na hii hapa: "Their conversations over the phone lasted for about 20 minutes. They then agreed to have a meeting that evening at Regency Park Hotel."

Yaani kweli atazungumzia 5 % mbele ya dereva wake kweli? Atakuwa mpuuzi kiasi hicho? I find it hard to believe!
 
huoni kajisajili lini?
...hili la clouds msilitegemee kabisaaaa.....pj au GH hawezi kukubali kutia kitumbua chake mchanga kwa kuuliza maswali ya KiJf JF huku kusaga kamkalia pembeni rafiki yake asiadhirike......msitegemee kitu

Hapa sielewi. Ina maana sisi tuliojisajili hivi karibuni basi hatuna mawazo na busara ya kuchambua mambo sawa na wale waliojisajili zamani? Kama ni hivyo, basi ungewekwa ukomo wa usajili. Lakini sivyo kwani walioanzisha mtandao huu wanatambua kuwa ili maendeleo yapatikane ni lazima kila wakati kuwa na mawazo mapya kutoka kwa watu wapya. Ama sivyo mawazo ya JF yatakuwa yale yale kila siku na mwishowe kuwa mawazo mgando.

Tusiangalie tarehe ya usajili. Tuangalie hoja.
 
Yani ni ujinga mtupu..mi nimeacha kazi yangu naenda kusikiliza maswali mazito kwa bwana Masha jamaa wanauliza maswali kama wanamuuliza mtoto wa shule ya msingi bwana...

Mkuu, ungetusaidia sana kama ungeuliza hayo maswali mazito, iltangazwa tangu jana na wakatoa email na namba ya simu wka ajili ya sms kuwa mwenye maswali ayatume kwa njia hizo
 
Apo juu wapi kwa wapi vya kura na vya uraia ,hivi majambazi wanapiga kura ,faida ya vitambulisho vya Utaifa ni kuweza kutambulika ,hivyo hata mikopo itakuwa rahisi kupewa na fingerprint zitakuwepo kila border ,na ikiwa unatafutwa pale unapovuka border unaweza kujulikana kwa kuchukuliwa finger print zake,ila nililo na wasi wasi isije kuwa hawa jamaa wanafuata mkumbo tu wa hizi ID wakati hawana uwezo wa kutumia faida yake ,kwani border crossing zote zitatakiwa ziwe uptodate,vituo vya polisi vyote viwe uptodate kimtandao ,simu intranet na mambo yanayofanana je Tanzania communication network kipasentaji % imefikia wapi ? Haya ni mambo muhimu unapoamua kuwa na ID maana hata ndani ya gari za polisi mnatakiwa muwe uptodate ,je hayo tunayaweza au tunaiga tembo ? Sio jamaa wanakukamata Kigoma halafu wanakwambia tunangojea jibu toka makao makuu ya uhamiaji au polisi Dsm ,mbona itakuwa kazi .

Mwiba, Ukweli ndio huo huu MRADI ni mkubwa mno kuliko jamaa wanavyokadiria na matokeo yake ni kuwa utageuka kuwa WHITE ELEPHANT, kioja kisicho na maana wala faida. CHONDE CHONDE Mh KIKWETE usije ukasema hukutahadharishwa: PAKA huyo NDANI YA GUNIA usinunue Baba hasa kama wenye PESA ZAO wanamashaka. Hebu nambie hapo DAR hakuna Address systeam inayofahamika, sembuse huko mikoani na vijijini au tutajaza PO BOX Simamisha ZOEZI tutafakari ni aina ipi ya KITAMBULISHO itatufaa Msivae kenge kwa tamaa ya 10% kisha mkapakaza uvundo kwa TAIFA Mh WANANCHI wenzako tumechoshwa na ufisadi usioisha TEGEMEO letu ni WEWE kama yanakushinda USIONE HAYA KUACHIA NGAZI kiungwana kumbuka Mheshimiwa ada ya MJA HUNENWA MUUNGWANA NI KITENDO/VITENDO. twakutakia kila la heri.
 
Jamaa angehojiwa na Tiddo Muhando ningekuwa na imani hawa jamaa wa clouds nimewasikiliza toka asubuhi hakuna kitu.Wamwige Tiddo jinsi ya kumbana vizuri mtu anapo hojiwa,

Unauhakika na Tido kumbana kweli?????
 
Kamanda FMES

Hujui kilichotokea kwa wale mawaziri waliokula rushwa Nigeria? umekuwa mvivu kufanya homework!! they were sacked by President Olusegun Obasanjo
Hakuna andiko langu linalosema Masha alikutana na watoa rushwa Geneva, do not put words in my mouth mkulu. Nasoma tu kwenye mtandao na magazeti ya bongo

- Obasanjo kuwafukuza kazi mawaziri wake haina maana yoyote kwetu Tanzania, kwanza yeye mwenyewe Obasanjo ni corrupt, the ishu hapa ni je Masha alikutana na Sagem Geneva au hapana? Na je Sagem ni kampuni yenye rushwa au hapana? Na je waziri wetu alijua mapema au hakujua?

Stop calling pipo names hunijui mazee kama nisivyokujua wewe....ingawa wewe hujifanya wajua kila mtu hahahaha misfire hiyo, hili la usalama limetoka wapi tena ? leta hoja usikimbilie kwenye vioja na vionjo.

- Swali ni je waziri alikutana na sagem huko Geneva au hapana? Wewe umeleta ushahidi wa google na ukadai kwamba kwa sababu uko hiyo wewe uko sayayri nyingine sasa ninakuuliza hivi serikali yetu itumie huu ushahidi wa google kumfukuza kazi waziri? Huu ushahidi wako wa google hata huko Nigeria umeshindwa kuwa-convict watuhumiwa sasa tutaufanyia nini?

- Ya power-breakfast ndio hayo, limeshindwa bunge letu la taifa sasa nani mwingine tena ataweza? Ninaomba kurudia tena kwamba kenye hili la vitambulisho waziri amelipangua tayari, akishakataa Spika tu ujue basi. Kosa lililofanyika ni papara za kutaka kumpata waziri na makosa, I hope litakuwa fundisho in the future kwamba ishu zingine zinahitaji kuachiwa mpaka zifike mwisho kwanza ndio uwapate wanaoshuka kwenye hili kuna mtu aliyekosea na kuwafanya wahusika washituke mapema, halafu ni lazima tuwe makini na hizi barua za ku-leak, maana in this case zilizkuwa zinalikishwa na wale wale wahusika tena kwa makusudi, matokeo ndio haya hakuna kinachoeleweka, yaani form a suspect to a victim, sasa hiii safisha safisha jina sio yeye anayeifanya ila kuna kikundi behind kinachomuongoza, yaani Kingunge, Almeir na Makamba na the boss ni the man Lowassa, akisaidiana na Nchimbi.

Tanzania tumefikaje huku maana hapa mbele ni giza tupu, hatuwezi kuwashupalia watangazaji wa Clouds hivi tulitegemea wafanye nini maskini wa Mungu wanaojaribu tu kutafuta riziki zao ambacho bunge limeshindwa kukifanya?
 
Back
Top Bottom