Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,957
- 146,236
- Sasa akisema kwamba yeye hakujua kwamba hii kampuni imewahi kuhusika mna rushwa huko nyuma, na kwamba angejua mapema asingeikubali then what? Sasa hapa unahamisha soo kwa ubalozi wetu Abija wkamba wao ndio hawakumtaarifu waziri au serikali yetu kwamba ile kampuni ina utata, lakini kama kuna usahidi waziri alifahamishwa mapema lakini hakusikia then kweli, lakini waziri tayari ameshaenda kupata barua toka ubalozi wa Nigeria, kwmaba sagem wako safi sasa mkuu huoni kwamba hapo kuna a weak ishu hata kabla ya kumuuliza?
- Knowing all the facts za hii kesi sasa hivi ni kwamba kumefanyika papara katika kuifuatilia hii ishu, as the results wahusika walishituka mapema na kuanza ku-cover their backs, barua za siri zilizokuwa zina-leak walikuwa ni wao in the control we lost this one, tena big time kwa sababu the bigger ishu tayari ameshaipangua, sasa eti hii ya Sagem kuwa na historia ya rushwa ndio itambana, hapana I am not that naive kuamini hayo ya sagem na rushwa kuwa ni ishu.
FMES,
Hiyo si issue kwa sababu Tanzania watu hawafuatilii vitu tu na hatuna high standards na zero tolerance.
Ama sivyo watu wangem-Tom Daschle tu. In law and public service, ignorance is no defense, unatakiwa kujua.kama unamtetea mtu unatakiwa kumjua kwamba ni safi, kama anakuja kuonekana ananuka rushwa, watu wakisema kakupa rushwa ndiyo maana unamtetea kuwabishia inakuwa kazi.
Kama nilivyosema mwanzao, rushwa siyo tu isitendeke, bali pia ionekane kutotendeka.Sasa hapa Waziri hata kama rushwa haikutendeka anawapa watu sababu kufikiri kwamba imetendeka.