Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

afu sasa wakubwa wa JF nao wamefyata mkia......walijaribu kumpa kubwa...akaja na ..oooh tumetoka mbali.....wenyewe wakanywea.....

ndio maana nikionaga watu wanazitwanga keyboard zao kwa kukomaa na ufisadi naishia kucheka na kukamata bilauri ya beer.....

- Unajua it takes a lot mpaka mimi kumdharau bina-adam mwingine, na nikishafikia huwa unakuwa kama haupo, naona kila mahali unajaribu kutafuta attention yangu lakini nilishakudharau mkuu, wewe hapa wananchi wanatafuta solution ya matatizo ya taifa lao, tizama unachochangia kwa taifa, yaani kama vile uko kijiweni!

Mods vipi jamani, si zamani mlikuwa na tabia ya kufuta nonesense kama hizi bila ya kusema kitu vipi mnaachia hawa walevi huku JF? I mean wote hapa tutaishia kuonekana walevi kama huyu kichaa, vipi?
 
- Yaaani waziri wa jamhuri yetu unasema afukuzwe kazi kwa sababu ya huo usahidi wako hapa juu kutoka google, na ni hoja nzito sana unashangaa kwamba kwa nini sielewi!
lol FMES unajilazimisha uwe zumbukuku wakati sio.....nikuulize hapa kila siku mnakata ishu mnaita data......mnazileta katika google...na bado mnaushauri uongozi kuhusu walipotereeza wajirekebishe......ujue kuwa Google ni JF ikiwemo unajua lakini una force kutojua....shame on u!!

Wewe hapo leo ukitaka data online hujui the specific link utafanyaje? u'll googling mkuu....sasa ulitaka shem aje na nini uamini......aibe jarada toka gov ya Nigeria akuletee......usijifanye mjinga....sometime unaboa.....sawa lau mshikaji wako lakini angalia pa kuteteeka....praak
 
Wewe hapo leo ukitaka data online hujui the specific link utafanyaje? u'll googling mkuu....sasa ulitaka shem aje na nini uamini......aibe jarada toka gov ya Nigeria akuletee......usijifanye mjinga....sometime unaboa.....sawa lau mshikaji wako lakini angalia pa kuteteeka....praak....
 
lol FMES unajilazimisha uwe zumbukuku wakati sio

- Wewe ndiye zumbukuku tena hamnazo, maana ya powerbreakfast yamnekushidna sasa unajaribu kuugeuza huu mjadala kuwa FMEs, sasa huo ndio uzumbukuku wa binti maharage pale Buguruni kwa malapa!

.....nikuulize hapa kila siku mnakata ishu mnaita data......mnazileta katika google...na bado mnaushauri uongozi kuhusu walipotereeza wajirekebishe......ujue kuwa Google ni JF ikiwemo unajua lakini una force kutojua....shame on u!!

- Shame on you kwa sababu sisi JF huwa tunaweka vitu vya uhakika ambavyo vilimfanya rais wetu kulia sana kwenye hotuba zake, Richimonduli isingewezekana kama sio sisi hapa JF, lakini tofauti na hizi habari za Nigeria sisi JF tulikuwa na ukweli, sasa huwezi okota nonesense google ukitegemea kwamba kwa sababu na JF tupo google basio utakua ni ushahidi uliokamilika, hizo habair za nigeria hata walioziandika wanasema wkamba bado hazim-convict kiongozi yoyote wa serikali, sasa sisi Tanzania tutazifanyia nini hizo nonesense? Halafu unasema eti zinafanana na habari zetu JF? Acha hiyo mkuu!

Wewe hapo leo ukitaka data online hujui the specific link utafanyaje? u'll googling mkuu....sasa ulitaka shem aje na nini uamini......aibe jarada toka gov ya Nigeria akuletee......usijifanye mjinga....sometime unaboa.....sawa lau mshikaji wako lakini angalia pa kuteteeka....praak

- Nilijua toka jana kwamba ya power-breakfast yatakaposhindwa yatatoke haya sasa ya kujaribu kutafuta mchawi mwingine, lakini wrong number mkuu siku zote unalia ninakuboa lakini huwa unapoteza muda wako kujibu hoja zangu, mimi nilifikiri mtu akikuboa unaachana naye, vipi unataka na mimi niwe bendera kama wewe, flani akisema ruka na mimi niruke kama wewe?

Hapana mkuu, nianzisoma facts halafu ninaamua on my own kulingana na facts nilizozisoma, makosa mengi sana yamefanyika katika hii ishu ya Masha na vitambulisho, watu wamerukia kabla treni haijafika, mwanzoni vigogo wengi walidhani ni a home run, vikaja vikwazo vya sheria ndipo hii ishu ilipokwama, kisiasa ilikuwa sawa sawa, lakini kisheria hapana, na nilikuwa wa kwanza kukuambia kwamba ishus hii imekwisha kwa sababu ya ishu za kisheria, sasa ukitaka kuigeuza kuwa FMES,

Nimesema mara nyingi sana wkamba katika hivi vita na mafisadi kutakuwa na kushindwa na kushinda, ndio maana mafisadi wakishinda huwa ninakubali na kusonga mbele, hili tayari wameshinda sasa ni kusubiri the next battle, lakini unaweza kunilaumu mimi kama unataka, ila huu ushahidi wa google wa Nigeria, so far very shallow kuweza kumbana nao waziri wetu.

thanxs!
 
- Wewe ndiye zumbukuku tena hamnazo, maana ya powerbreakfast yamnekushidna sasa unajaribu kuugeuza huu mjadala kuwa FMEs, sasa huo ndio uzumbukuku wa binti maharage pale Buguruni kwa malapa!
kabla ya yoote niliandika hivi......jana
huoni kajisajili lini?
...hili la clouds msilitegemee kabisaaaa.....pj au GH hawezi kukubali kutia kitumbua chake mchanga kwa kuuliza maswali ya KiJf JF huku kusaga kamkalia pembeni rafiki yake asiadhirike......msitegemee kitu
mengine siwezi kukujibu nipo jukwaa la mapenzi.......
JF management vipi......kwangu mambo sio kabisa naona mmenikaba.....toeni hizo nanihii ni submit repy kwa uzuri
 
mengine siwezi kukujibu nipo jukwaa la mapenzi.......
JF management vipi......kwangu mambo sio kabisa naona mmenikaba.....toeni hizo nanihii ni submit repy kwa uzuri

- Kama kawaida yako hakuna lolote la maana kwa taifa.
 
Chonde chonde ndugu zangu wana JF, tujitahidi kuondoa lugha ya matusi. Kuna hatari ya kupotza maana ya uchangiaji kwa Taifa letu
 
- Unajua ndio maana siku zote ninakuwa na heshima sana na watu kama Halisi, maana hawa ni wachache sana humu JF wenye uchungu na taifa na wanalala macho kupigania kutuhabarisha, halafu wengine wamo tu humu kuleta ulevi ulevi,

Mkulu Halisi heshima mbele sana mkuu, tupo pamoja na ninaomba uelewe kuna tunaoheshimu sana bidii zako za kutuhabarisha na msimamo wako on kupinga ufisadi ninaujua vizuri sana na ubarikiwe mkuu.

Respect!
 
- Unajua it takes a lot mpaka mimi kumdharau bina-adam mwingine, na nikishafikia huwa unakuwa kama haupo, naona kila mahali unajaribu kutafuta attention yangu lakini nilishakudharau mkuu, wewe hapa wananchi wanatafuta solution ya matatizo ya taifa lao, tizama unachochangia kwa taifa, yaani kama vile uko kijiweni!

Mods vipi jamani, si zamani mlikuwa na tabia ya kufuta nonesense kama hizi bila ya kusema kitu vipi mnaachia hawa walevi huku JF? I mean wote hapa tutaishia kuonekana walevi kama huyu kichaa, vipi?
mkuu wewe nidharau tu mie sina noma after all sikujui na sihitaji kukufahamu,sina muda.........yaani wewe mtu akipingana na hoja zako basi unaita nonesense......hao mods wafute unafikiri nitapiga filimbi saaana basi......

.......hata ukiniita kichaa siumizi kichwa najua huna hoja umebaki na viroja......haya niambie si unajua kila mtu humu.....maana ukiishiwa unaanza nakujua nakujua......wewe suala la masha unauma na kupuliza uzalendo unakushinda alafu siku nyingine mje kupinga mafisadi........
 
Trekta kwanza Vitambulisho visubiri

John Bwire Februari 18, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo

BAADA ya miaka mingi ya danadana kuhusu uanzishwaji wa Vitambulisho vya Taifa, hatimaye Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kwamba kampuni sita zimepita kwenye mchujo wa awali wa wazabuni wanaopendekezwa kutengeneza vitambulisho hivyo. Mradi huo unatarajiwa kugharimu takribani Sh. bilioni 222.

Tunafahamu hii ni habari njema, kwa wakati huu, kwa kuzingatia kuwa mradi huo umekuwa kwenye kauli zaidi kuliko vitendo, ukitawaliwa na utata, kificho na danadana nyingi, tena kwa muda mrefu mno. Tunasema ni habari njema kwa wakati huu, kwa sababu mchakato wa kuzichuja kampuni hizo sita zilizoingia kwenye kinyang’anyiro cha mradi huo, bado unaweza kuchukua muda mrefu na kuingiwa na danadana nyingine zaidi.

Lakini pia, kwa mtazamo wetu, kwa kuzingatia matakwa ya nchi hivi sasa, tunaona suala la Vitambulisho si kipaumbele cha maendeleo kwa sasa. Tulipaswa kuangalia matakwa ya sasa ya wananchi, na mazingira tuliyomo, ya mtikisiko wa uchumi duniani na upungufu wa chakula kutokana na baadhi ya vyakula kutumika kama nishati.

Kwa maana hiyo, kwa maoni yetu kwa kuangalia mahitaji ya sasa ya nchi, mradi wa Vitambulisho vya Taifa unaweza kuwekwa pembeni, na wala tusidhurike, ili hizo Sh. bilioni zaidi ya 200 zitumike, kwa mfano, kununulia matrekta yatakayoongeza kasi ya kilimo nchini yakituzalishia chakula na fedha ili tukiwa na shibe na tuna ‘vijisenti’ katika mifuko yetu hapo tuulizane nani ni nani.

Kwa nini tunasema haya leo? Kwa miaka mingi, tangu wazo la kwanza la kuwa mradi huu lilipoota, hakuna kitu kilichofanyika, badala yake watu wamekuwa wakikodoa macho kutaka kuona nani atafaidi nini kutokana na mradi huu, na Mungu bariki, kwa miaka yote hakuna Mtanzania aliyeteseka kwa kuwa hana kitambulisho; na hiyo ni pamoja na ukweli kwamba huo ndio wakati ambao nchi hii ilijaa watu: wakimbizi kwa malaki, ambao sasa wamerudi makwao.

Bila Vitambulisho vya Taifa, nchi imeendelea na mambo yake kama kawaida ikizama katika matatizo yetu makubwa lakini ya kawaida: njaa, afya, elimu, miundombinu, na mengineyo.

Sisi tulidhani sasa wakati umefika wa kuachana na mradi huu, pamoja na umuhimu wake wote, walau kwa muda, ili tuelekeze nguvu zetu katika mambo kipaumbele.

Sasa tunakabiliwa na njaa, tena katika mikoa ambayo huko nyuma ilikuwa ni aibu kuitaja kuwa ina njaa, badala ya Vitambulisho fedha hizi zitumike kwenye zana na pembejeo za kilimo, ziboresha elimu yetu ambayo imepanuliwa bila vifaa na miundombinu ya kutosha, ziboreshe huduma za afya, ujenzi wa barabara na usambazaji wa nishati.

Hatuwezi tukajitokeza hadharani leo hii, mbele ya ulimwengu, tukiwa vifua mbele, tukadai kuwa Vitambulisho vya Taifa ni bora zaidi kuliko matrekta na pembejeo kwa wakulima, au hata maabara, vitabu na walimu kwenye shule zetu. Kwa hakika, tukiwa na mawazo hayo tutashangaza watu.

Wakati mwingine dhana nzima ya Vitambulisho hakika inaghilibu akili. Hebu fikiria vitambulisho hivyo vitatumia teknolojia ya kisasa, hii maana yake ni kwamba vitahitaji umeme au mitambo inayoendeshwa kwa umeme.

Lakini sehemu kubwa ya jamii yetu ipo vijijini, ambako umeme bado ni kitendawili kikubwa, ni huko pia kwenye zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania wote, wanaotegemea kilimo, hata kama bado ni kilimo duni. Kitambulisho kinachotumia teknolojia hiyo kitatumikaje na kitamsaidia nini mkulima huyu ambaye haoti kupata umeme leo wala kesho?

Inatosha kuwa wazi kwamba sasa tuangalie mambo ya kipaumbele kwa maendeleo na faida ya jamii pana. Inawezekana Vitambulisho vya Taifa vilikuwa kipaumbele nyakati fulani siku zilizopita. Kwa leo, ukichanganya na anguko la uchumi duniani kote, hakika kununua vitambulisho ni kati ya matumizi yasiyokuwa ya lazima. Si kipaumbele cha maendeleo. Tunasubiri kuona huyo Mtanzania atakayenunua kitambulisho sampuli hii, ilihali kwake hakuacha mchango wa meza.
 
mkuu wewe nidharau tu mie sina noma after all sikujui na sihitaji kukufahamu,sina muda.........yaani wewe mtu akipingana na hoja zako basi unaita nonesense......hao mods wafute unafikiri nitapiga filimbi saaana basi......

.......hata ukiniita kichaa siumizi kichwa najua huna hoja umebaki na viroja......haya niambie si unajua kila mtu humu.....maana ukiishiwa unaanza nakujua nakujua......wewe suala la masha unauma na kupuliza uzalendo unakushinda alafu siku nyingine mje kupinga mafisadi........

- Look here kijana ninamjua Masha na karibu viongozi wote wa serikali na sijawahi kuficha hapa it what it is wewe ni wewe, mimi ni mimi siwezi kukusaidia kwa hilo, uzalendo wangu hauwezi kupimwa na wewe na mimi siwezi kupima uzalendo kwa sababu huwezi kunisaidia anything, mimi sina ubia na mtu hapa forum I am what I am siji hapa kujikomba kwa mtu kama wewe, sasa hivi wamekutupa unatapa tapa, ninayemjua ninamjua nisiyemjua simjui, wewe sikjui na wala huwezi kunisaidia anything kwenye maisha yangu ninaowajua wananitosha mkuu, huna hoja ndio tabia yako kuna wakatyi walikuwa wanakutumia kutukana watu hapa sasa wamekutupa ndio hivi unatapa tapa,

- Jaribu kuandika hoja za kulisaidia taifa lako, ninajua kwua kuna wakati walikuwa wanakutumia kunitukana sasa wamekutupa ndugu yangu naona unajaribu kujisogeza tena kwao hawakutaki tena walishamaliza kukutumia si unaona ulikuwa hujui, mimi siwezi kukusaidia kitu, naomba nikumabie hivi mimi siji hapa kutafuta sifa na wewe au hao ex-wakubwa zako waliokutupa sasa, hapana mimi ni own man ninafikiri na kuchambua kwa uwezo wangu bila kusubiri kuamuliwa na wengine ili kupata sifa za kijinga hapa JF, sio tabia yangu mkuu ni kweli ninawafahamu sana tena viongozi wengi na watengenza habari wa taifa kwa sababu I grew up with most of them, sasa ukitaka kunichukia wka hilo ni sawa kabisa, lakini uzalendo wangu hauwezi kupimwa na kuamuliwa na wewe kichaa na mlevi melvi si uemsema wmenyewe kwua unandika huku umeshika beer,

Power-brekafst imekwisha na imetokea kama nilivyotabiri jana, sasa nilitegemea uwe na heshima wkamba dnani ya hii fourm kuna watu kama mimi tunaowajua karibu watu wote muhimu wa taifa na tunaweza kukupa heads up mapema badala ya kusubiri suprise, unajua kwa nini nipo hapa JF ni kwa sababu kuna wananchi wengi sana wana-appreciate mchango wangu hapa, sasa mku jaribu kulisaidia taifa lako kwa sababu mimi siwezi kukusaidia anything, jamaa wamekukatia kwa sababu hueleweki na huna hoja ila ulevi ulevi.

- Ninauma na kupuliza kwa sababu sitaki kukubali kwamba ushahidi wa google unatakiwa kumtoa Masha uwaziri, ndio standard mnazotaka kuziweka hapa JF, jamaa wamekutup[a mku hata unishambulie vipi hawakuhitaji tena, sasa amua either kuendelea kuwa na ulevi ulevi humu, au kutoa hoja za kulisaidia taifa lako, FMEs siwezi kukusaidia anything mkuu ndio kwanza ninajitayarisha kuingia kwenye majukwaa ya ubunge kusaidia wabunge wangu.

thanxs!
 
Last edited by a moderator:
Asante BAK kwa kuileta hii, suala la vipaumbele limekua tatizo sana kwenye jamii yetu na sababu kubwa ni kwasababu hatuna dira!hatujui tutafiakje tunapotaka kwenda na hivyo kujikuta tunajaribu jaribu tu mambo! Hata hapa JF tunajadili kashfa za rushwa kwenye dhabuni ya vitambulisho kabla hata hatujajadiliki kama tunavihitaji na vitatusaidiaje at the first place! pengine ndivyo tulivyo!!!!
 
This sounds lucrative and very feasible project at the time
 
SERIKALI,GOTHAM NI VITUKO VITUPU
--IDARAYA USALAMA WA TAIFA YAMKANA GOTHAM,YAONYA
--WIZARA YA MAMBO YA NDANI YAMKUMBATIA YAMPA TENDA
--CHILLIGATI AHUSIKA NA UFISADI WA VITAMBULISHO
--GOTHAM,HAPANA ALIYEPELEKAALIKUWA NI MUNGAI
---SOPHIA SIMBA ADUWAA ATI,ASEMA NI MAMBO YA KIKUBWA

Serikali aitakiwi kuwana vituko lakiniwakati mwingineinaweza fanya hivyo,
mojaya vituko vya serikali ni hiki kinachomhusukampuniya GOTHAM INTERN
ambayolicha ya serikali yenyewe kupitia idara ya usalama kumtoajack stehengotham kwenye gazeti na kuonya wananchi wake serikali hiyohiyo nawakati huohuo imekuwaikiendelea namazungumzo na mtu huyo kumpatia kazi inayohusu usalama wa taifa
katika tangazolake julai 14/2004 idara ya usaalama kwenye gazetilakila siku la serikali dailynews ukurasa wa tatu ikiwatahadharisha watanzania dhidi ya huyu mtu GOTHAM, Kwamba hana uhusianowowote na usalamawa taifa
na idara hiyo aijawahi kufanya kazi na mtu kamahuyo,wakatihuo waziri wa mabo ya ndani alikuwa mh balozi omar mapuri,
haikuweza kufahamika dhumuni la tangazo hilo maana hata mkuu wa usalama wakati huo aliktaa kuliongelea,habari zaidi zinasemamtu awezikutolewa kwenye gazeti kamaa atumii jina lake kwa manufa ya umma
,hata hivyo katika hali isiyokuwa ya kaida sheria ya manunuzi 2004 gotham iner ilipewa kazi ya kuwa mshauri wa mradi wa vitambulisho na ilihusikakuufnyia uchunguzi yakinifu,bilakushindanishwa na kampuni yoyote, dokezo la kampuni hiyo kupelekewa kuwa mshauri lilipelekwa kwenye baraza la mawaziri 2006lakiikatikahali isiyokuwa ya kawaida ambayo ni vigumu kujua nia yake gotham anajaribu kuiambia rai kwamba aliepelekani joseph mungai aliekuwa waziri wammambo ya ndani,,,wakatiakilazimisha watu waamini hicyo chilligati amethibitisha ni kweli yeye alipeleka kwenye baraza la mawaziri gothamiwemshauri wamradi wavitambulisho
 
chiligati alipofatwa ambae sasani waziri wa ardhi alisema ingwa anakirialipeleka swala hilo amesema hawezi kulizungumzia maana si waziri husika,,nathibitisha ni kweli nilipeleka lakini siwezi kuongelea chochotesababu kubwa nilifanya hivyo kuokoa huummradi uliodorora miaka kumi,,alipoulizwa kamaaliifanyiauchunguzi kabla ya kupelekwa kwenye baraza alisemaawezikuongelea na yeye alikula kiapocha baraza lamawaziri kutota siri ya baraza lamawaziri,,pia alilaumu swalalamradi kupelekw bungeni.ninyi waaandishi wahabarimnauua huumradi tumechokakukaa bila kitambulisho,,habari zilizothibitishwa zinasemamungai alishawahi kusimamisha zoezi hili nakumwaandikia gothamajitoe katika uchafu huukitu kilichomuudhi gothamna ndiomaana analazimisha mungai ndi aliepelekakwa nia ya kumchafua,,katika moja ya vilelezotulivyo navyo mungai aliwahi kuandika barua ya kusitisha maramoja zoezi hili na kuamua lianze upya,...kuzingatia kanuni na utaratibu wa zabuni uwe wazi.....niletewe utaratibu wa mapungufu yaliyomo katika ministerial tender board,,yalioashiriwa kuundwa inter ministerial board.....habari zaidizinasemakatikamakampuni yalealioamrisha mungai yafutwe nakutangazwa upya zipo baadhi ya kampuni ambazo zipompaka sasa na mh waziri masha anajaribu kuzingangania
waziri mungai alikataa kushirikishwa nimeamuakupumzika,,,gothamamwenyewe alipoulizwahilo kwanini serikali wamemkanakwenye media alijibu ni vema mkawauliza waliolitoa

USHAURI

SERIKALI IMEONEKANA KUNAMCHEZOMCHAFUMKUBWA ULIANZAKUTUMIKAKWENYE HUUMRADIKAMAWATANZANIA TUNAOMBA USIMAMISHWE .....KUONDOAMALALAMIKO HAKI ITENDEKE
 
Jamani kila sehemu wanaiba wapi awaibi hawa watu mungu wangu iokoe tanzania
 
Hii CHANGA LA MACHO, naona kampeni SAFISHA MASHA zinatuletea HISTORIA ili kuhalalisha mambo ya ajabunajabu. Hata kama MUNGAI, CHILIGATI, GOTHAM, ALI AMEIR wangekuwa wezi na wako rumande, haihalalishi UCHAFU wa sasa ndani ya mradi wa VITAMBULISHO..... Mwizi wa zamani, wa saa na wa kesho wote wezi tu. Huu mradi ni kwa maslahi ya wachache
 
Si SAGEM pekee, na nisingependa kuandika kireeeefu...

Kuna clues chache naweza kuwapa hapa.

Masha asidhani anaweza kudai flani anamchukia kama anavyoelekea kufanya na kutu-fool watanzania.

Najua wapo ambao watapingana nami lakini namwacha Masha aendelee kidogo kisha tutaleta nyeti zake hapa.

Hawa kina Lowassa na Rostam wanaompa kiburi wanamdanganya na yeye kama mwanasheria mchezo wanaotaka kuufanya ati kuitia hasara serikali yetu ni mbaya sana na nadhani ni wakati wa Rais kuamka, sipatikani kwa kuwapa undani wa issue hii kwa undani lakini kama serikali yetu imeshtuka iangalie kwa mapana sehemu hizi:

Kwenda kwa Masha huko Dubai ni kushughulikia deal lake na jamaa wa Giesecke & Devrient Fze ambapo baadae akaenda Uswiss ambapo ana jamaa yake ambaye najua ni hatari SANA ajulikanaye kama Philippe Jaccard.

Serikali pia itume watu wake (wanaoaminika) wajaribu kuufuatilia ushirika baina ya Masha, Rostam, Lowassa na Jaccard.

Mbaya zaidi kampuni nyingine ya IRIS Corporation Berhad ya Malaysia ina deal na Masha kwa karibu. Kuna ndugu wa karibu anayefanya kazi na kampuni hiyo na Masha ha-deal nao directly.

Nilichofanya ni kutoa clue tu, kazi kwa wenye uwezo wa kufuatilia clue hizi.
I was right!
 
Originally Posted by Invisible

Masha kamwaga ugali hebu nawe umwage mboga - sema usiogope sema 😉
 
Kuna wale MARUBENI...Si hao pia walikuwa kwenye EPA ambako kina Maranda, kama sikosei, walikuwa wanawafuatilia madeni yao?
 
Back
Top Bottom