Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Baadhi ni:

1. Kusimamia sera ya wizara ili kuhakikisha kuwa inaendana na sera ya serikali iliyopo madarakani.

2. Kuwakilisha jimbo lake la ubunge.

Anawakilisha jimbo saa ngapi wakati yeye ni sehemu ya serikali? Huu ni ujinga ambao tunaendelea kuufumbia macho. Atalisemeaje jimbo lake wakati anatakiwa kujibu hoja za wabunge? Hili linatia sana doa kwani kuna mganganyiko wa kutisha.
 
Is this true?

Yeah! na maswali mengine anauliza yeye Gerald. Mpaka sasa jamaa yupo FIT!

Anaulizwa kama kampuni yake imehusishwa na hii tender. Anasema hapana. waliitetea kampuni iliyoshinda zamani ambayo haimo kwenye hii tender. Na walishinda kesi.

Kati ya kampuni 54 ilizoomba hiyo tenda IMMA advocates haina uhusiano nazo.

Wanasoma Sms na emails
 
Hao wengine wanapiga kila siku ndio maana wanaijua namba. Huwa hawatoi namba kila siku ya kipindi.
acha fix mkuu.....namba kila siku zinatolewa.......hii inaonyesha kipindi kimerekodiwa......kila wakati wanatoa namba watu wapige......
 
acha fix mkuu.....namba kila siku zinatolewa.......hii inaonyesha kipindi kimerekodiwa......kila wakati wanatoa namba watu wapige......

Majungu hayo, angalia usiyaunguza au ukayaepua mapema ukakosa ukoko.
 
Last edited by a moderator:
Anasema hana ugomvi na Mengi. Ila labda kama Mengi kama anaugomvi yeye hana ugomvi naye.
Naona wamemaliza ni hayo tu wakuu ya maana.

Wamemaliza wanasema maswali ni mengi ila hawana muda labda siku nyingine.

Wadau mnasemaje? Kuna wateja hapa dukani ngoja niwahudumie.

Alamsiki!
 
Anasema hana ugomvi na Mengi. Ila labda kama Mengi kama anaugomvi yeye hana ugomvi naye.
Naona wamemaliza ni hayo tu wakuu ya maana.

Wamemaliza wanasema maswali ni mengi ila hawana muda labda siku nyingine.

Wadau mnasemaje? Kuna wateja hapa dukani ngoja niwahudumie.

Alamsiki!

Asante mkuu,we endelea tu kuhudumia wateja...LAU keshachaaafuka mwili mzima hata afanye nnini ni vigumu kujisafisha,anapoteza muda wake tu bure jamani...Halafu hivi vyombo vyetu vya habari ndo bure kabisa kuanzia magazeti,TV,redio nk...maana vimekuwa kama ndo mouthpiece za mafisadi na wavurundaji,mfano kama LAU yeye akiharibu tu anakimbilia TBC1 Jambo Tanzania...inakera mno jamani...Sasa Masha kaitwa Clouds kabwabwaja tu maneno machache kaondoka bila hata kutoa nafasi kwa watu kuuliza maswali ya msingi...noma kweli...safari bado ni ndefu mnoooooooooooooo
 
My take:
Waandishi wanatakiwa kuwa makini nadhani wamekosea tarehe tu. Masha kawapiga BAO!
Wamekosea mpaka hotel. Dah! IPP wamepotea. Jamaa yupo FIT!

Kukosea tarehe na jina la hoteli hakutoshi kuiondoa hoja ya iwapo alikutana nao na nini kilizungumzwa. Amesema hajakutana na SAGEM pekee, ila na makampuni mengine pia yalilalamika. Akaulizwa ni kwa nini sasa hukutaja makampuni mengine ila SAGEM tu? Yeye anadai eti SaGEM aliitaja kama mfano tu !!
 
Hunijui sikujui; hivyo jiweke vizuri kijana angalia nguo uliyovaa hapo ina doa na ukachane nywele.
tehe tehe tehe JF siku hizi ina hamnazo kibao.....imebidi nicheke tu......nimekusoma mkuu
 
Hapa kwetu mtu akisemwa anakimbilia waandishi wa habari ambao nao wanapenda hela wanarusha tu habari bila kuchuja. Inabidi tuangalie sana hizi siasa za sasa zinatupeleka pabaya.
 
Yani ni ujinga mtupu..mi nimeacha kazi yangu naenda kusikiliza maswali mazito kwa bwana Masha jamaa wanauliza maswali kama wanamuuliza mtoto wa shule ya msingi bwana...hamna kipya jamaa ni kama kajielezea tu na kujitetea......yani kulikua hamna hata haja ya kina Gerald kuuliza maswali wangekua wanasema tu aelezee au ajitetetee kuhusu maswala yenye utata ya Viatambulisho na Maalbino....natamani Mwanakijiji ndio angekua studio anauliza maswali......wameshaharibu siku yangu wajinga hawa......Kweli nimeyaamini maneno ya FMES.....
 
- Kwa kutumia usahhidi wako wa google mpaka leo bado huko Nigeria hawajafunga mtu, sasa wewe unasema utumike bongo, vipi hakuna ushahidi kwamba alikutana na Sagem huko Geneva, maana ukiweza kuthibitisha hilo basi kesi itakwisha na yeye mwenyewe waziri amesema atakayethibitisha hilo basi itakua mwisho wake,

- sasa wewe bingwa wa search engine vipi huko google hakuna ushahidi wa Masha kukutana na Segam Geneva, maana naona ushahidi mwingine wote against waziri unaoa tayari toka search egnine kutokana na wewe kua sayari nyingine, sasa vipi ukiuweka hapa mkuu tukaacha kuandikia mate? Maana kujua ku-search google kunakufanya uwe sayari nyingine mzeee wa usalama bwana sometimes unafurahisha sana!

Maneno ya Mwalimu yalikuwa kama ifuatavyo wakati anamtupa nje EL kwenye kinyang'anyiro cha urais 1995, "Mke wa Herode si kwamba hatakiwi kuhusika na matendo machafu, bali hatakiwi hata kutuhumiwa". Hilo tu lilitosha kumtupa jamaa nje ya kinyang'anyiro. Je waziri kutuhumiwa tena kashfa nzito hivi ni halali?
 
Mwanakijiji Twende chembaz kidogo kwenye PM.

Ukitangulia wewe kwenda chembaz mwenzio aki refresh page yeyote ile ataambiwa "You have received a Private Message from FairPlayer"

Na sisi hatutajua kwamba mmeitana chembaz.

Inaitwa private message etiquette. That's abecedarian.
 
Gerald ndo anambana na swali la Geneva, ameuliza kuwa mpaka chumba kimetajwa alipokutana na viongozi wa SAGEM.

Amekanusha. Na anatoa uthibitisho wa Passport yake kuonyesha tarehe kuwa hakuwa huko hizo tarehe hizo. Anasema ameingia Geneva tarehe 5 na sio tarehe moja.

Anadai alikutana na viongozi wa SAGEM walipokuja kulalamika kwake na sio GENEVA, na sio kampuni ya SAGEM pekee yake ndo walilalamika.


My take:
Waandishi wanatakiwa kuwa makini nadhani wamekosea tarehe tu. Masha kawapiga BAO!
Wamekosea mpaka hotel. Dah! IPP wamepotea. Jamaa yupo FIT!


Your take is wrong! Sijui ulisoma article ipi ambayo walikosea tarehe, mimi nilisoma katika gazeti hilohilo la Nipashe na pia nilimsoma Kubenea walisema alikutana na mwakilishi wa Sangem tarehe 5 Oktoba na jioni! Hiyo tarehe ya kuondoka tunaweza kubishana weee lakini haileti maana. So, the journalists are right. Hoteli waliyokutana na wakilishi wa Sangem SIYO hiteli aliyokuwa anakaa Masha. Ni kama mtu anakaa Movenpick lakini ale dinner na mtu Kempinski. That article was clear. Huyu Masha hajajisafisha lolote!
My Take; another poor attempt kujisafisha and try to redefine the meaning of the word 'is' a la Bill Clinton, but that is just parsing with words. Alikutana na watu wa Sangem na alitembelea kampuni yao, there is no doubt in my mind.... ye angekaa kimya kuliko kujifanya ni mjanja sana... sasa nina uhakika vitu vingine vitafumuka!
 
Kulingana na utetezi wa Masha, na maswali yanayozidi kujitokeza, inawezekana Masha amesahau kuwa UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU!
 
NIGERIA'S OBASANJO SACKS MINISTER OVER ALLEGED BRIBES FROM FRENCH FIRM


ABUJA, Dec 4 (AFP) Nigerian President Olusegun Obasanjo on Thursday sacked a cabinet minister for allegedly taking bribes from a French firm, in a bid to show his anti corruption credentials on the eve of a Commonwealth summit.

Obasanjo announced the dismissal of Labour Minister Hussaini Akwanga after Nigeria's anti graft agency named him as one of seven serving and former officials under investigation for receiving colossal sums from the firm.

It's distressing to me that this type of scandal could occur in the life of this administration in spite of all the efforts we've been making to stamp out corruption in public service, the president said in a letter to Akwanga.

On Friday, Obasanjo will host the opening of the Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) in Abuja, and the announcement was seen as a deliberate attempt to highlight his renewed anti graft crusade.

Nigeria has a woeful reputation for public sector graft, and is anchored to the bottom rungs of global watchdog Transparency International's corruption perception index.

Obasanjo failed to make any impact on the problem during his first term in office but since his re election in April his administration has set about the task with renewed vigour, and he is keen to win international recognition.

Akwanga was permanent secretary at the interior ministry during the first term, when he is alleged to have been one of seven officials to have received kick backs on a 214 million dollar national identity card contract.

As you are a member of the cabinet in the current administration, the report constitutes a serious embarrassment to government and a dent in your image as minister, Obasanjo said, ordering Akwanga to relinquish his duties.

Mike Sowe, a spokesman for the Independent Corrupt Practices Commission (ICPC), said investigators had identified a French agent of the firm, SAGEM S.A., who had sent bribes to the officials through a Nigerian intermediary.

Those under investigation also include two former interior ministers Michael Afolabi and Mahmud Shata a former state governor and the current permanent secretary in the interior ministry.

An ICPC statement said that the officials are alleged to have collected colossal sums in local and foreign money.

Six of the officials live in Nigeria, and have been arrested, questioned and released pending further investigation, it said.

An eighth Nigerian, the former director of Department of National Civic Registration, Christopher Agidim, has been detained in Britain.

Efforts are being made to repatriate him to Nigeria to assist the commission in its investigations, the statement said.

SAGEM, a French electronics and communications giant, was awarded a huge 214 million dollar contract in 2001 to revive a long standing plan to issue ID cards to the 126 million inhabitants of Africa's most populous nation.

It was however discovered that SAGEM agents in Nigeria including Regional Area Manager Identification Systems Mr Jean Pierre Delarue, a Frenchman, and Mr Niyi Adelagun organised and executed a scheme through which bribes were distributed to these top government officials, Sowe's statement said.

All the arrested officials have made useful statements to the commission, while accounts of most of the suspects in United Kingdom are being investigated, it said.

Adelagun, the alleged go between, had been a business partner of SAGEM, the statement said.

On Thursday, Queen Elizabeth II of Britain, who is visiting Nigeria for the Commonwealth summit, commended Nigeria's return to elected rule and urged it to move forward with plans for economic and political reform.

Receive Email Updates

Enter your email address:

Related Articles
# Immunity Cause and Corruption - Tribune Editorial
# Public corruption galore - by Dapo Fafowora
# Soludo and Imoke: Testing Yar'adua's Anti-Corruption Credentials
# Accountant-General Lists Points of Corruption in Government

Recent Commentary
# Labour Party vs. Ondo State People (1)
# Would somebody wake Muammar Gadhafi up please? (2)
# The Marriage of Art and Peace in Nigeria:... (1)
# Policy Institute Seeks FG's Action on Commodity... (1)
# U.S-Based Nigerian Priest Sacked For Being... (35)
# Tata Nano - world's cheapest new car is... (11)
# Aliko Dangote, Nigeria's First Billionaire... (34)
# Pittsburgh win unprecedented sixth Super Bowl (1)
# Former Nigeria international Jay Jay Okocha... (35)
# Singapore set to hang 21-year-old Nigerian (23)
More»

Popular Articles
ArticlesMedia Selections

# U.S-Based Nigerian Priest Sacked For Being Materialistic
# A Black British Pemier is Hallucinatory Disorder
# Rescuing Nigeria from the Maggot Syndrome - Sola Adeyeye
# Going Through the Immigration Process to Bring Your Nigerian Husband to America (Part II)
# The Isopadec One-Year Anniversary
# Racist Europe and Black Identity
# Ayodeji Omotade vs. British Airways - by Reuben Abati
# Mugabe-Defending The Spirit of Africa's Courage
# Alleged sex scandal: Moji Obasanjo speaks, Denies All
# Adams Oshiomhole Declared Edo State Governor
# Over hundred Africans evicted during violent BA deportation
# Tribunal Declares Oshiomhole Winner of Guber Election in Edo State over Osunbo
# Aliko Dangote, Nigeria's First Billionaire - Forbes.com
# Tata Nano - world's cheapest new car is unveiled in India
# Welfare deal for Nigeria's poor
# Louis Farrakhan Interviewed by Mike Wallace on Nigeria
# Home-made helicopters hit northern Nigeria
# Etteh: House of Reps boils
 
Nimemsikiliza kwa makini, Clouds wamejitahidi kuliko TBC. Tatizo hatuna waandishi makini wa kubanana na Masha, jamaa wa Clouds jokes nyingi na sikujua Power Breakfast is this serious, but thanks something is better than nothing.
Masha amekiri jamaa wa Sagem amekutana nao ila sio ile siku wala sio ile hotel, mwandishi makini alitakiwa kumdaka hapo hapo, wamekutana lini na wapi.
Pia amekiri malalamiko ni ya mdomo na makampuni manne, eti Sagem ni mfano tuu, mtangazaji alitakiwa amuulize hayo mengine matatu ni yapi na ya wapi. Baada ya jibu angeuliza kwa nini Sangem, ni vigezo gani ametumia kuitolea mfano hiyo Sagem na sio nyingine yoyote, ili hali Sagem ni ya Uswisi na yeye alikuwa huko?.
Masha alidai amewaelekeza walete malalamiko kwa maandishi, kwanini asingeyasubiri hayo malalamiko ndipo aitolee mfano?.
Huo ni udhibitisho malalamiko yalitolewa over dinner.
Pia issue yake na Mengi, swali la kwanza lilikuwa jee wewe ndiye huyo waziri kijana?.
Baada ya kutoa siku 7 kwa Mengi kuwasilisha ushahidi vinginevyo angechukuliwa hatua, mbona Mengi amekaidi bila kuchukuliwa hatua zozote?.
Kitendo cha waziri kutoa maagizo na kupuuzwa hakutafsiriwa kama udhaifu kwake binafsi?, na ukimya wa serikali sio tafsiri kuwa madai hayo ni kweli?.
All and all siku yake Masha itafika, na isipofika, yeye ndiye next 2015!.
 
Back
Top Bottom