Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 103
Thread hijack??
Oh no,kwangu mimi ingekuwa sahihi kama wangeandika vitambulisho vya TAIFA na sio vitambulisho vya URAIA.
Thread hijack??
Oh no,kwangu mimi ingekuwa sahihi kama wangeandika vitambulisho vya TAIFA na sio vitambulisho vya URAIA.
Sober
Am sure we need National IDs. but when we will start using our proffesionals in our country? Wanatakiwa wafanye kazi ya ku-prove we always judge them wrong! Hatutaendelea kuabudu na kuamini kuwa vyote vilivyobora ni lazima vitoke ama vitengenezwe na watu wa nje.
Mfano
Wakati wa mkutano wa Sullivan pale arusha, tulikuwa na wataalamu wetu pale na walitengeneza Ids za chap chap na ni bora tu.
Mkuu BUBU katika hoja za leo niligusia kuwa imefika mahali pa Watanzania kuonekana WAJINGA na WAJINGA NDIO WALIWAO. hebu mtu alete JUSTIFICATION kutoka bilioni 95 mpaka bilioni 222. Kuna WIZI wa mchana hapa nadhani ni bora tudai hili ZOEZI ZIMA LA VITAMBULISHO lismamishwe mara moja. nina hakika mahali fulani BLA BLAA ya faida ya hivyo vitambulisho itakuwa imezungumzwa au kuelezewa nafikiri kuna haja ya kusita na kufikiria tena.

Am sure we need National IDs. Its also true that cheap sometimes is expensive! but when we will start using our proffesionals in our country? Wanatakiwa wafanye kazi ya ku-prove we always judge them wrong! Hatutaendelea kuabudu na kuamini kuwa vyote vilivyobora ni lazima vitoke ama vitengenezwe na watu wa nje.
Mfano
Wakati wa mkutano wa Sullivan pale arusha, tulikuwa na wataalamu wetu pale na walitengeneza Ids za chap chap na ni bora tu. Tunachotakiwa hapa ni Chibogoyo atueleze namna anavyotaka kutengeneza hizo IDs ili ziendane na technogy ya sasa. Its time we start using our people now!
Vitambulisho: Mpigachapa wa Serikali angechapa kwa Sh95bn badala ya Sh222bn: Government Printer apewe hii zabuni kwa Sh95bn alizo-quote katika tender yake. Hata kama itakuwa ni lazima baadaye aongezewe fedha zaidi, Tanzania tutakuwa tumeweka misingi ya kuendelea kuchapisha vitambulisho hapa nchini bila kutumia tena fedha za kigeni. Serikali isaidie hata kuleta mitambo stahili ikiwa ni lazima.
Inavyoeleweka ni kwamba tukishaanza kutoa vitambulisho vya uraia, kama taifa, zoezi hilo litaendelea kila wakati Watanzania raia wanavyozaliwa na kukua kuhitaji vitambulisho. Kwa sasa siyo tu tutaokoa matumizi ya fedha za kigeni katika malipo kwa wachapishaji, bali ajira itaongezeka na watu wetu watapata uzoefu. Hayo ndiyo maendeleo ya kiuchumi thabiti.
Wale wanaotaka vitambulisho vya "high quality" au "state of the art" , lazima tuwe na confidence kwamba watu wetu wanaweza pia, bora tu wapate mtaalam atakayekuja na huo mtambo kuonyesha. Hata hivyo mimi binafsi naamini vitambulisho vya Uraia siyo hati (documents) zinazoweza kughushiwa kwa wingi na kuleta madhara kwa umma. Najua katika kutoa vitambulisho kutakuwa na Afisa wa Serikali atakayesaini kila kitambulisho, pamoja na kutia muhuri wake.
Kwa hiyo ningeshauri kwa dhati kabisa kwamba Rais Jakaya Kikwete atupilie mbali zabuni zote za kigeni zilizopokelewa, na zabuni ya uchapishaji wa vitambulisho vya uraia apewe Mpigachapa wa Serikali. Uamuzi kama huo utaondoa utata wa ufisadi na kuharakisha utoaji wa hati hizi muhimu kwa utambulisho wa uraia wetu.
Kilasara (JF Member)
Ni kweli its about time, Tanzania ijengwe na Watanzania wenyewe. Hii ndio pill iliotumiwa na 'The Emerging Economies' kuzitoa katika lindi la umasikini mpaka kuwa mataifa ya neema yenye proper industrialization.Sober
Am sure we need National IDs. Its also true that cheap sometimes is expensive! but when we will start using our proffesionals in our country? Wanatakiwa wafanye kazi ya ku-prove we always judge them wrong! Hatutaendelea kuabudu na kuamini kuwa vyote vilivyobora ni lazima vitoke ama vitengenezwe na watu wa nje.
Mfano
Wakati wa mkutano wa Sullivan pale arusha, tulikuwa na wataalamu wetu pale na walitengeneza Ids za chap chap na ni bora tu. Tunachotakiwa hapa ni Chibogoyo atueleze namna anavyotaka kutengeneza hizo IDs ili ziendane na technogy ya sasa. Its time we start using our people now!
Ni kweli unayosema lakini Je tenda hiyo akipewa mpigachapa wa serikali kazi itakuwa na ubora? ikiwa vitabu vya sheria tu ( Law reports za kuanzia 1983 kama sikosei) zilichapwa south na matokeo yake vinauzwa kwa dola,ndio iwe vitambulisho? Lakini jambo kubwa hapa ni ufisadi,kila kazi inajengewa asilimia kumi,ndio maana tumekuwa watumwa wa akili
.........Pengine kabla ya ku-jump kuwa Mchapaji mkuu wa serikali anaweza kufanya kazi au lah.....tujiulize hizi Billioni 222 zinatoka wapi........je ni solely Government money from its own source of income au ni Mkopo toka vyombo vya fedha vya kimataifa........
Mwanaluguma kaka DONDA ndio hio la 10% limekuwa DONDA NDUGU sasa dawa nini?? KITAMBULISHO hiki kinatakiwa kiwe na hadhi kiasi gani? pia kiwe na data za muhusika kiasi gani? Ukumbuke tunaposafiri nje tayari tuna Paspoti ambayo pia inaweza kutumika kama ID. Waingereza wanatumia Paspoti(localy) Na hivi sasa wana mzozo mkali kuhusu hizo smart cards juu ya GHARAMA na DATA kiasi gani ziingie. Jamaa wanatuburuza na inaelekea tunaburuzika!!!!
Nikweli jamaa wanatuburuza na tunaburuzika kikweli kweli. Issue ya National I.D imepata msukumo mpya baada ya 9/11.Jamaa wanatuburuza na inaelekea tunaburuzika!!!!
Sometimes its good to be serious, waheshimiwa wetu included!
...... Give me a break! I'm sorry to say but waheshimiwa hao na mpigapicha wa serikali have no clue to what they are insinuating, period!