Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Dada mmoja anauliza kwa simu kuhusu Masha alivyoongelea kuhusu Albino BBC. Ngoja ajibu.
 
Amejibu swali la Albino. Anasema ni watu wachache au kundi dogo ndo linahusika na mauaji ya albino. Na si tabia ya waTanzania. Maana BBC waliuliza as if ni tatizo la waTanzania.
 
Bado la ID. Nitakupa hapa hapa ninasikiliza. Si unajua asubuhi wateja hamna hapa dukani.
 
Zamani ilikuwa 0784884884 ila sidhani kama inatumika maana inategemea na nani ni mdhamini wa kipindi cha muda huo ndo inatumika.

Jaribu lakini.

Pia kuna wakati namba yao kwa ajili ya sms tu ilikuwa +255 786 000884, sina uhakika kama bado wanaitumia hiyo.
 
Hawajatoa. Wali record watu jana.

Mwanakijiji,

Bongo radio si bado ipo.Achana na mambo ya kisanii..Omba appointment uje umhoji bwana!

I believe in KLH NEWS.Mie niko tayari kusikiliza..Muulizeni je yule kishtobe mpya wa Mengi alikuwa demu wake..Swali flani la kizushi
 
kwanini unassume kuwa sijamuomba mzee? Kuna maswali mengine yanapaswa yaulizwe na watu wengine kama wewe. Kati ya mambo muhimu mawazoni mwangu hilo la kizushi ni la kujidhalilisha mimi mwenyewe.
 
Gerald ndo anambana na swali la Geneva, ameuliza kuwa mpaka chumba kimetajwa alipokutana na viongozi wa SAGEM.

Amekanusha. Na anatoa uthibitisho wa Passport yake kuonyesha tarehe kuwa hakuwa huko hizo tarehe hizo. Anasema ameingia Geneva tarehe 5 na sio tarehe moja.

Anadai alikutana na viongozi wa SAGEM walipokuja kulalamika kwake na sio GENEVA, na sio kampuni ya SAGEM pekee yake ndo walilalamika.

My take:
Waandishi wanatakiwa kuwa makini nadhani wamekosea tarehe tu. Masha kawapiga BAO!
Wamekosea mpaka hotel. Dah! IPP wamepotea. Jamaa yupo FIT!
 
fairplay.. magazeti yaliyoripoti jana yanasema yeye hawajawahi kukutana na hao jamaa katika maisha yake yote.
 
Anadai alikutana na viongozi wa SAGEM walipokuja kulalamika kwake na sio GENEVA, na sio kampuni ya SAGEM pekee yake ndo walilalamika.

unaposema "walipokuja kulalamika kwake" walikuja wapi? nyumbani kwake ofisini, hotelini, akiwa amesimamisha gari?.. anachezea maneno tu.

Back
Top Bottom