Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Sauti siyo ya Mtaliano bali ni mtu toka Middle East yaweza kuwa Misri, Myahudi, Mjordani, Mirani, Mpalestina au Mlebanoni. Mtaliano nimekataa kutokana na Accent yake.
Unakataa wakati mwanvita Makamba amekubali hiyo ishu ni kweli sema anadai wao ndio walitaka kutapeliwa. So acha kabisa kutetea kitu usichokijua.
 
Huu ni uzao wa serikali ya kubebana stright outa serikali ya majipu
 
Mchunguzeni huyo Dada mpenda wazungu naona alikosa njemba ya kizungu kampuni ya mtandao maarufu nchini hi yo chuki take ikaishia kwa Mwamvita akidhani kuwa ndio kachukua nafasi yake. Kama ana ushahidi aulete physically nchini ache kutumia matapeli Wa kimataifa kuchafua viongozi. Hutu mdada alimvalianjuga Mwaka sasa kaumbuka anatafuta jingine kuwachanganya wa TZ waishio TZ
 
Kwani hakuna wazungu wazawa wa Afrika wenye Afrikan accent? Tuangalieni kule South kuna wazungu wanaongea English with accent ya Xhosa na Shona
Rudi kanisome tena mkuu,
Ni wapi nimesema ni mzungu?!
 
Unakataa wakati mwanvita Makamba amekubali hiyo ishu ni kweli sema anadai wao ndio walitaka kutapeliwa. So acha kabisa kutetea kitu usichokijua.
Sijatetea na wala mimi hao akina Makamba hawanihusu na siasa kwangu mbali mbali. I have no issue nao ila nimesikiliza clip accent ile ni ya middle east. Sababu mimi nimekaa huko na vile vile nimekaa Italia ambao wenyewe english yao ni ya kuotea tofauti na huyu yupo fast. Labda yeye huyo mtu ni tapeli alijifanya mtaliano. After all wewe unafikiri wataweza kuwakamata?
 
Wawakamate wasiwakamate kwangu mimi ni ukweli ujulikane asisingiziwe mtu wala asifichiwe mtu madhambi yake. Mimi namjua fika Makamba baba yake alishamfunga jela miaka ya nyuma kaulize Morogoro story yake utachoka ni mhuni anaepiga dili zake kwa akili tele.
 
Hiyo muitaliano kama ni mtu honesty kwa nini alitoa rushwa kama ni kweli?
Mimi sizungumzii kuhusu katoa au hajatoa au kuna mtu kapokea au hajapokea, ila wewe unaonekana si mfanyabiashara na huelewi chochote kuhusu biashara.
 
Hawa makambas no wonder mange aliwahi kusema huyu binti wa voda alimfanyia figisu mumewe mzungu aliyekuwa dg wa sgs tz kuondolewa nchini na uhamiaji.
Hili ni kweli kabisa na lile ghorofa nafikiri liko mbezi beach alijenga huyo mzungu kisha akafanyiwa fitina akatimuliwa nchini inasemekana alipigwa PI
 
My dear i am have dated an Italian man for years and honestly the man recorded in the audio clips doesn't sound Italian at all. Ukimsikiliza vizuri he has a strong African accent although he's really trying to fake the Italian accent ila anajisahau. Hizi audio clips hazina mashiko kabisa.
Tumekuelewa Kim! kwamba na wewe umewahi kumeza mtwangio wa kitaliano!!! ungeandika kwa kiswahilicungeeleweka vizuri zaidi.
 
Kama kuna mtu alitaka tenda ya ujenzi bandari ya bagamoyo kwa kufanya dili na Makamba tena kupitia simu huyo mtu ni mpuuuzi na anastahili kuibiwa. Hapo Makambas walitumia fursa. Hakuna mfanya biashara anaweza kuwa reckless kiasi hicho

Makamba akaupe tenda kama nani? Kuweka down payment ya 100mil USD kwa bandari ambayo itajengwa kwa over billion $$- kuna kitu hakipo sawa hapa. Bagamoyo port ipo wazi kwamba itajengwa na wachina tena kwa mkopo sasa hawa waitalinao ni wajinga kiasi gani kutojua kitu kama hicho kabla ya kuweka bid ya kutaka tenda halafu pesa mnawapa watu binafsi mtu na kaka yake!! Acha waibiwe kwa ujinga wao

Inawezejana walianza kujadiliana face to face, ila baada ya kuona mambo hayaeleweki ndio kaanza ku record. Maongezi ya wazungu sio face to face kila siku, kwa sababu ya umbali na wana kitu kinaitwa trust. Meetings na interviews nyingi now ni via skip or on the phone.
Mzungu hafanyi deals kwa kuzunguka zunguka ku waste time, labda siku ya ku sign mkataba.

Kawa hujawaduli wazungu; unatakiwa uwe umeishi nao ndio utawalewa, na conclude kwa kusema yote yanawezekana.
 
Huyo Mzungu aitwe aweke ushahidi mezani na mhusika atumbuliwe jipu, that's all.
 
Wale si mliwatia ndani au?? Mimi sijui walipo na huko walipo itakuwa walishalipwa au makubaliano yao yalishafikiwa..

Nyie maskini ya Mungu mpaka mnaombewa pesa majukwaani teh teh teh teh
Nilihisi wewe ni mmoja wao umetoroka gerezani!
 
Nilihisi wewe ni mmoja wao umetoroka gerezani!
Msome kada mwenzako ambaye sio njaa njaa hapo juu ya post yako...

Humu wala nchi tunawajua na nyie waunda kikundi cha watu 46 tunawajua..

Tafuta kazi ya msingi ufanye kijana, sasa huyo boss wako akitumbuliwa mtalipwa na nani??
 
Inawezejana walianza kujadiliana face to face, ila baada ya kuona mambo hayaeleweki ndio kaanza ku record. Maongezi ya wazungu sio face to face kila siku, kwa sababu ya umbali na wana kitu kinaitwa trust. Meetings na interviews nyingi now ni via skip or on the phone.
Mzungu hafanyi deals kwa kuzunguka zunguka ku waste time, labda siku ya ku sign mkataba.

Kawa hujawaduli wazungu; unatakiwa uwe umeishi nao ndio utawalewa, na conclude kwa kusema yote yanawezekana.
Niko nje ya nchi nawajua wazungu vyema na nafanya nao biashara. Tatizo wengi wenu hamjui mradi wa bandari ya Bagamoyo ningewashauri msome kwanza proposal ya mradi hata muhtasari kabla hamjaingia kwenye bandwagon ya huyu anayejiita Mange

Mradi unaohitaji over 100bil USD hauwi discussed over the phone. Hakuna kampuni inayofanya huo ujinga wala transactions zake hazielekezwi kwa mtu binafsi.

Labda niulize hizi sauti zilirekodiwa lini? Binafsi sijazisikiliza nahisi ni some BS tu. Kuna mawili either Makamba walitaka muingiza jamaa mjini sababu ya ujinga wake au hii ishu imepikwa kuwachafua
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
NIUKWELI USIO FICHIKA Tiss kupitia makachero wake shupavu tena wenye uzalendo wa taifa hili wali mulika michezo ya ajabu ambayo inafanywa na hawa vijana wa makamba nijambo ambalo sio lakushangaza wakati Fulani waliwahi kuweka liks ya email ambazo kwa wakati iule mwamvi alikuwa akijifanya anajuwana sana na JK jambo lile lilikuwa la siri na ndio ikaja sharia za mitandao kali kumziba mdomo mtu asijuwe mambo ya kiza ktk famil ya kamba ninacho shanga how Magufuli alimchukuwa huyu kijana kuwa mmoja wa watu ndani ya baraza wakati ni mtu hatari sana ktk usalama wa nchi. Ndipo pale tunasema tusipo kuwa makini ipo siku tutapigana vita wenyewe kwa wenyewe Makamba sould step down to save the nation interest or ccm wajitafakari kama wanaweza kuiongoza tz
 
Hili swala liangaliwe kiundani kuna ukweli na hili ni moja ya yaliyobumburuka hatuwezi jua washapiga madili mangapi Mazafaka Makambaz
 
Siku tukiweka tofauti zetu za Kisiasa naamini kwa asilimia 100 tutafika katika ile nchi ya ahadi, nchi ya ASALI na Maziwa!

Tuache kumjadili Mange tujaribu kutafuta ukweli, ni nani mwenye akili timamu hasiyefahamu mbinu kuu ya wanasiasa duniani kote ni "divide & abuse (not rule)?! Kama Mange a nao ushahidi zaidi aweke na kama bana Makamba anasingiziwa basi akanushe kwa ushahidi otherwise wote wakiacha hii issue hanging we all know the outcome kwa wale wenzetu wameza kila kitu hata bila kuchambua!
 
Aweke more evidences na amtaje huyo aliyemwambia kuhusu uchafu wa makamba. Sio kuchafuana bali haki itendeke.
Amtaje ili iweje? Ushapewa mpaka voice note bado unataka uthibitisho gani hapo? waTZ ndio maana tunaibiwa. Makamba anaonekana ni mpiga dili na mtu mwenye tamaa ya madaraka hyo haina ubishi
 
Niko nje ya nchi nawajua wazungu vyema na nafanya nao biashara. Tatizo wengi wenu hamjui mradi wa bandari ya Bagamoyo ningewashauri msome kwanza proposal ya mradi hata muhtasari kabla hamjaingia kwenye bandwagon ya huyu anayejiita Mange

Mradi unaohitaji over 100bil USD hauwi discussed over the phone. Hakuna kampuni inayofanya huo ujinga wala transactions zake hazielekezwi kwa mtu binafsi.

Labda niulize hizi sauti zilirekodiwa lini? Binafsi sijazisikiliza nahisi ni some BS tu. Kuna mawili either Makamba walitaka muingiza jamaa mjini sababu ya ujinga wake au hii ishu imepikwa kuwachafua

Usiwafanye watu wajinga kiasi hiko just becoz wazazi wenu wamewapa elimu nzuri kwa kodi zetu mkafikiri maovu yenu yatakuwa kwenye kiza yasionekane, tuwe wakweli Hii ni mara yangapi mwamvita anahusishwa na kutapeli watu vkwa kutumia mahusiano yake na viongozi wakitaifa? kaa kimya tiss on work
 
Back
Top Bottom