Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Kila nikikumbuka simulizi za mababu zetu walivyoteswa na wakoloni nampongeza sana Makamba kumpiga muitaliano 100k USD. Hakuna haja ya kusikitika wakati mzungu hajapewa mradi. Pia tuwe wazalendo kwa kuacha kuwa upande wa mzungu
 
Mange kimambi alipewa life ban jf miaka mitano iliyopita ........
Life ban ndio nini bana,saa ingine unatengua maamuzi ukiangalia what is at stake-unajua hii scoop ingetokea maulaya huyu mange,ma editor wangekuwa wanamgombania kama mpira wa kona-angeibuka millionare tatizo hapa kwetu akina Shigongo nao waganga njaa
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
Audio ya January Makamba akijikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Sauti siyo ya Mtaliano bali ni mtu toka Middle East yaweza kuwa Misri, Myahudi, Mjordani, Mirani, Mpalestina au Mlebanoni. Mtaliano nimekataa kutokana na Accent yake.
Hujui lafudhi za kitaliano wewe...
 
!
!
Huyu Mange Kimambi huyu inawezakana sio mtu wa kawaida. Ngoja niagize bisi zaidi kwani picha halijaanza nshadata, picha halijaanza nshachanganyikiwa
Rais Magufuli ana kazi kubwa mno mno, kama J. Makamba ni fisadi hivyo, mbona alikuwa anawashambulia sana Lowassa(ambaye hana kosa) namna ile!!!!!!!!! Rais tumbua hili jibu kabla halijawa saratani!!!!
 
Aisee hyu alisema serikali ya awam ya nne ilikuwa ya kuleana so inabidi Magu afanye alichokimaanisha huyu maikregani kipara
 
Twende taratibu. Siwatetei I'm just being objective, inawezekana wana Mabaya yao ila kwa hili la bandari liko wazi sana

Mkataba wa kwanza ulisainiwa na maraisa wa Tz na China mwaka 2008 kwamba bandari itajengwa kwa $10bil ndani ya miaka7 sharti Lazima iwe kampuni ya ujenzi itoke China na wataalam wengine kutoka Oman. Mkataba ulikuwa straight forward hapo. Kwa mkataba huu Ni nani anaweza kuingia mkenge wa kutaka kubid tenda ya ujenzi

Hivi kweli hiyo ndo kuwa objective? Hapa tunajadili kwa sababu muhusika ni public figure. Ni mtu anayehisiwa kuingia kwenye utapeli. Utapeli. Hatuhitaji kujua uelewa wa aliye tapeliwa na haina maana kwamba kila asiyeelewa atapeliwe. Hapa tunataka kuelewa kwa nini waziri ajihusishe na upuuzi kama huu.

Next time atabaka watoto wa mitaani halafu tuone ni sawa tu kwa kuwa tu watoto wamegoma kuishi majumbani kwao. No!
 
January kahojiwa kasema alimuomba dada yake amchangie katika mfuko wa Bumbuli ndo akachukua hela kwa huyo mtu.... Iko instagram kwa mange plus voice clip

Imebidi iwe hivyo kwani hawajui Mange anainformation gani zaidi, hili dili likiisha itabidi Makamba snr amuombe radhi Lowassa kwa kumuita fisadi.
 
Hivi kweli hiyo ndo kuwa objective? Hapa tunajadili kwa sababu muhusika ni public figure. Ni mtu anayehisiwa kuingia kwenye utapeli. Utapeli. Hatuhitaji kujua uelewa wa aliye tapeliwa na haina maana kwamba kila asiyeelewa atapeliwe. Hapa tunataka kuelewa kwa nini waziri ajihusishe na upuuzi kama huu.

Next time atabaka watoto wa mitaani halafu tuone ni sawa tu kwa kuwa tu watoto wamegoma kuishi majumbani kwao. No!
Kuna kiwango cha kumuonea mtu huruma ila sio kwa ishu kama hii. Mtu mwenye potential ya kujenga bandari kama anavyodai tunategemea awe na uelewa usio tia Shaka kwenye biashara. Hawa ndiyo watu wanaotapeliwa kwa kuuziwa daraja nayeye anakubali binafsi siwezi muonea huruma mtu kama huyo.

Nategemea Makamba atatoa utetezi wake kadri atavyozidi kuwekwa wazi au kuchafuliwa kama ni ishu ya kupikwa
 
Hilo la ugomvi sio issue hapa cha muhimu ni habari hizi ni za kweli? Na kama ni kweli je ndani ya CCM kuna msafi?
"Ndani ya CCM hakuna msafi" Sophia Simba....

Huyu mama alimnyamazisha hata Malecela pale alipofichulia siri kuwa aliwahi hongwa million 200 na fisadi la Rada Jeetu Patel
 
Nategemea Makamba atatoa utetezi wake kadri atavyozidi kuwekwa wazi au kuchafuliwa kama ni ishu ya kupikwa

Mkuu naomba unisaidie majibu ya maswali haya kwa niaba ya January
1. Ni Lini January Makamba alijua uhusiano wa dada yake na Muitaliano?
2. Je January anaweza kueleza uhusiano wa muitaliano na dada yake ulikuwa ni uhusiano wa namna gani? Na ulianza lini?
3. Je January mwenyewe ameshawahi kuonana na Muitaliano?
4. Je January amewahi kuongea kwenye simu na huyo Muitaliano?
5. Muitaliano kwenye clip anasema kuwa kila alipoomba kuonana na January, Mh. January alimtumia Mzungu fun Meseji, sasa Je January katika kumbukumbu zake anakumbuka kuwahi kumtumia meseji zozote mzungu?
6. Kama jibu ndio alimtumia meseji mzungu wa kiitaliano alikuwa anamtumia meseji za kusema nini?
7. Ni lini January alijua kuwa huyu Muitaliano si mtu safi, Ni tapeli, hana wasifu wa kuwa karibu na waziri?
8. Je ni kweli kwamba January alipokea pesa kutoka kwa Muitaliano kwa ajili ya Bumbuli Development Corporation (BDC)
9. Kama ni kweli Muitaliano alichangia Mfuko wa Bumbuli Je, Huyu bwana alichangia hali January akijua kuwa huyu Muitaliano si safi na akapokea hizo pesa??
10. Je January anadhani ni sahihi kwa waziri kuwa na mahusiano ya karibu, au kufahamiana, au kufanya biashara, au kupokea mchango, au zawadi au kuwasiliano na mtu ambaye ni Tapeli na anayetumia madawa ya kulevya na anadaiwa madeni lukuki mpaka ameshindwa kutoka nchini?

Ingekuwa awamu iliyopita ningekuwa na mashaka kuw amambo yafuatayo yatafanyika.

a. TCRA wataamlishwa kufuta data zote za mawasiliano ya simu ya January na Huyo muitaliano kama yalikuwepo
b. Polisi wataamuliwa kwenda kumkamata muitaliano na kumuweka ndani kasha kumfungulia charge za makosa ya kuishi nchini kinyume cha sheria, makosa ya mitandao, madeni na hata matumizi ya madawa ya kulevya

Sijui Serikali ya Awamu ya 5 Serikali ya Magu itabehave vipi kwenye hili.
 
Kama ushahidi umewekwa amtaje ili iwe nini,hayo mambo ndiyo hatuyataki,vyombo vyetu vifanye kazi,mtu anatoa taarifa badala ya wahusika kufanyia kazi munataka mtoa taarifa afanye kazi ya vyombo vya usalama wakati dondoo ametoa.wahusika wanalipwa mshahara kwa kazi gani,mafunzo waliyopata yamewasaidia nini
Kwa mtindo huu,watu hawatoi taarifa.
Zitto akisema kuna mabilioni uswis,wenye vitambi wanataka awaletee ushahidi,badala ya wao kufuatilia.
Je,mtu akitoa taarifa ya ujambazi pia watasema kamlete jambazi?


"Mtu akitoa taarifa ya jambazi mtasema amlete jambazi" umemjibu vema sana hyo punguani.
 
KAA MBALI NA MANGE. Hoyce hope umetulia, ukimchokonoa kichinichini atakuja na bomu la B52
 
hapa hakuna cha kushangaa, ndio maana alikuwa anaitolea macho sana SHERIA YA MITANDAO ili vitu vya kufikirisha kama hivi sisi wa ikangabilili porini huku tusijue.

Magu katoa Rai kila raia afumue uozo wowote anaouona. sasa huyu dada haijalishi yuko sahihi au anadanganya kafanya nafasi yake.
 
Back
Top Bottom