.....
......ha ha ha ha ngoja nisogeze ulanzi baridiiii
Hiyo siyo corruption ni TAKRIMA....Hakuna Corruption bongo hasa Kwa wanaojiita waheshimiwa sana.Ulofa tuache ndio maana tunaendelea kuwa maskini. Just because main contractor is China doesnt mean all tenders are handled by the Chinese. Simenti Chuma kokoto mchanga usafirishaji nk hizi zote ni tender za mabilioni unless wachina wataleta kokoto kutoka China. Na kama ni kweli huyu Mwitaliano alitoa hongo kwa kina Makamba kupata contract thats corruption.
Umeona maana deal la kura hilo liko nje njeThubutuuu, atamwaga Mboga.
Mbona wanajulikana siku nyingi???Naona leo kimya hana hamu na KimambiMakamba ni hazina kubwa CCM ila anataka kuharibu sasa
January kahojiwa kasema alimuomba dada yake amchangie katika mfuko wa Bumbuli ndo akachukua hela kwa huyo mtu.... Iko instagram kwa mange plus voice clip
Voice clip kwenye page yake
Msafi Ni Magufuli peke yakeKatika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.
Jaribu kupitia..
(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)
![]()
Hilo la ugomvi sio issue hapa cha muhimu ni habari hizi ni za kweli? Na kama ni kweli je ndani ya CCM kuna msafi?January alijua atakua Rais so alijiandaa kitambo ili mitandao isimwanike na alifanikiwa, ila nazan pia kuna bifu kati ya mange na mwamvita. Kuna bosi wangu flan aliniambia mtu akija kumsemea flan cha kwanza chunguza uhusiano wao huyo msemaji na msemewa
1.Aliyeshindwa kutoa ufafanuzi juu ya fedha Tshs. Billion 262 zilivyotumika katika Wizara ya Ujenzi alikuwa nani vile?Msafi Ni Magufuli peke yake
"Ndani ya CCM hakuna msafi" Sophia Simba....Hilo la ugomvi sio issue hapa cha muhimu ni habari hizi ni za kweli? Na kama ni kweli je ndani ya CCM kuna msafi?
Mange kimambi alipewa life ban jf miaka mitano iliyopita ........mimi naona@Mods kwa saga hili mkaribisheni rasmi mange kama verified user ili episode ikiendelea amwage ubuyu humu-mambo anayo reveal ni game changer na politics za Tanzania could change for good-this opportunity is too good to miss-just imagine press nzima bongo inaiquote JF