Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

January alijua atakua Rais so alijiandaa kitambo ili mitandao isimwanike na alifanikiwa, ila nazan pia kuna bifu kati ya mange na mwamvita. Kuna bosi wangu flan aliniambia mtu akija kumsemea flan cha kwanza chunguza uhusiano wao huyo msemaji na msemewa
Ndio ,ila tushukuru hilo bifu ndo limemtuma amwanike pia,maana wangekuwa friends,hata angepata hizo nyeti habari za rushwa kuhusu Makambas asingewaanika.Thanks to the bifu lao
 
Aweke more evidences na amtaje huyo aliyemwambia kuhusu uchafu wa makamba. Sio kuchafuana bali haki itendeke.
Kama ushahidi umewekwa amtaje ili iwe nini,hayo mambo ndiyo hatuyataki,vyombo vyetu vifanye kazi,mtu anatoa taarifa badala ya wahusika kufanyia kazi munataka mtoa taarifa afanye kazi ya vyombo vya usalama wakati dondoo ametoa.wahusika wanalipwa mshahara kwa kazi gani,mafunzo waliyopata yamewasaidia nini
Kwa mtindo huu,watu hawatoi taarifa.
Zitto akisema kuna mabilioni uswis,wenye vitambi wanataka awaletee ushahidi,badala ya wao kufuatilia.
Je,mtu akitoa taarifa ya ujambazi pia watasema kamlete jambazi?
 
Tatizo la kifanya kazi na watu ndio hili
Ila huyu binti ana maadui wengi ipo siku watampumzisha na isijulikane nani kafanya
 
Kuna vitu kama ni kiongozi makini,allegations nzito kama hizi,zikikugusa tu,huitaji mamlaka ya uteuzi kukuchukulia hatua,ni kukaa pembeni kupisha uchunguzwe wewe na dada yako pamoja na huyo mliyemlia chake. Ndio maana Mwamvita anaona Tanzania hakuna sehemu nzuri ya kuishi kama hotels ambazo amekuwa akibadisha kulala
 
Back
Top Bottom