qui qui qui.....kumbe "k" / namposa!
Mimi nakafahamu haka kasichana kanachoitwa mange hana Tofauti Sana na wema Seputu kwenye kusaka mabwana isitoshe hii ishu sio ya kuijadili hapa sisi Kama intellectual wenye kujua wivu wa kike huyu dada sio Mara ya kwanza amekuwa akituhumu watu na kulipwa ujira katika skendo anazopewa na hili jambo amekuwa akilifanya kwa mazoea kutoka kwa watu mbalimbali hapa town Kama anaoushahidi huyu mzungu aende staright kufungua kesi sio kupika hujuma zisizokuwa na msingi!
Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyo Muitaliano aliahidiwa kupewa hiyo tenda ili tu atoe pesa na akatoa hiyo 100M dollars ilihal hiyo tenda walishapewa wengine.Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Upload youtube kaka hawa watu lazima tudili nao. Tumechoka kunyonywampaka sasa mwanadada mange kule mtandao wa insta anapost clip na picha mbalimbali za ushahidi wa jinsi mwanadada mwamvita anavyotafuta watu wenye pesa na kuwaunga na kaka ake watoe hongo wapate dili serikalini. kuna muitaliano anadai usd 1million baada ya kuahidiwa dili la kujenga bandari ya bagamoyo
picha na sauti nashindwa upload
Twende taratibu. Siwatetei I'm just being objective, inawezekana wana Mabaya yao ila kwa hili la bandari liko wazi sanaUsiwafanye watu wajinga kiasi hiko just becoz wazazi wenu wamewapa elimu nzuri kwa kodi zetu mkafikiri maovu yenu yatakuwa kwenye kiza yasionekane, tuwe wakweli Hii ni mara yangapi mwamvita anahusishwa na kutapeli watu vkwa kutumia mahusiano yake na viongozi wakitaifa? kaa kimya tiss on work
Pandisheni youtube so you dont have to upload bits and pieces and no one can take it downKatika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.
Jaribu kupitia..
(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)
![]()
Mkuu reffer dili la malaria no more ndo utatambua huyo jamaa ni mtu wa namna gani au muulize sugu atakuelezaTwende taratibu. Siwatetei I'm just being objective, inawezekana wana Mabaya yao ila kwa hili la bandari liko wazi sana
Mkataba wa kwanza ulisainiwa na maraisa wa Tz na China mwaka 2008 kwamba bandari itajengwa kwa $10bil ndani ya miaka7 sharti Lazima iwe kampuni ya ujenzi itoke China na wataalam wengine kutoka Oman. Mkataba ulikuwa straight forward hapo. Kwa mkataba huu Ni nani anaweza kuingia mkenge wa kutaka kubid tenda ya ujenzi
Tutajie CCM walio wasafiYaani ni hatari kwa kweli,kumbe Makamba ni mla RUshwa,ANGEKUWA RAIS JE?Makamba angeongoza hii nchi kwa remote Mwamvita
Yes...umeongea bila kuyumba.Hili ndio swali ambalo ndugu zetu wanao pigia upatu "ulinzi shirikishi" huwa nawauliza;Kama ushahidi umewekwa amtaje ili iwe nini,hayo mambo ndiyo hatuyataki,vyombo vyetu vifanye kazi,mtu anatoa taarifa badala ya wahusika kufanyia kazi munataka mtoa taarifa afanye kazi ya vyombo vya usalama wakati dondoo ametoa.wahusika wanalipwa mshahara kwa kazi gani,mafunzo waliyopata yamewasaidia nini
Kwa mtindo huu,watu hawatoi taarifa.
Zitto akisema kuna mabilioni uswis,wenye vitambi wanataka awaletee ushahidi,badala ya wao kufuatilia.
Je,mtu akitoa taarifa ya ujambazi pia watasema kamlete jambazi?
Niko nje ya nchi nawajua wazungu vyema na nafanya nao biashara. Tatizo wengi wenu hamjui mradi wa bandari ya Bagamoyo ningewashauri msome kwanza proposal ya mradi hata muhtasari kabla hamjaingia kwenye bandwagon ya huyu anayejiita Mange
Mradi unaohitaji over 100bil USD hauwi discussed over the phone. Hakuna kampuni inayofanya huo ujinga wala transactions zake hazielekezwi kwa mtu binafsi.
Labda niulize hizi sauti zilirekodiwa lini? Binafsi sijazisikiliza nahisi ni some BS tu. Kuna mawili either Makamba walitaka muingiza jamaa mjini sababu ya ujinga wake au hii ishu imepikwa kuwachafua
Mkuu kama wanashindwa kukuelewa achana nao mi nishawaambia hatuzifanyii kazi taarifa za majungu yaani tunazitupa tu kwenye dustbin.Niko nje ya nchi nawajua wazungu vyema na nafanya nao biashara. Tatizo wengi wenu hamjui mradi wa bandari ya Bagamoyo ningewashauri msome kwanza proposal ya mradi hata muhtasari kabla hamjaingia kwenye bandwagon ya huyu anayejiita Mange
Mradi unaohitaji over 100bil USD hauwi discussed over the phone. Hakuna kampuni inayofanya huo ujinga wala transactions zake hazielekezwi kwa mtu binafsi.
Labda niulize hizi sauti zilirekodiwa lini? Binafsi sijazisikiliza nahisi ni some BS tu. Kuna mawili either Makamba walitaka muingiza jamaa mjini sababu ya ujinga wake au hii ishu imepikwa kuwachafua
Kikwete na Rais wa China walisaini mkataba 2008 deal la $10bil za mkopo kwa sharti la contractor atoke China na Oman, Ni mtu mjinga kiasi gani anaweza ingia mkenge kwenye hili.. Kuna kitu hakipo sawa hapa siwatetei wala simkubali January ila kuna kitu hakipo sawa kabla hata ya kuongelea ishu yenyewe.Ha ha ha ha
Hata mm nafanya nao kazi na ninaishi nao, nimesema kutokana na experience. Muhimu ni kuja deal issue ya Makamba na sio nani anaishi wapi. Wabongo tukianza kujielewa na kuacha show off tukashikamana kupinga mafisadi na kujenga nchi tutafika mbali.
Bravoo Mange
Watanzania ni mabingwa wakurukia mambo kishabiki bila hata kujiuliza maswali kidogo,,ivi mtu ukimuuliza nipe uhalisia wa haya mazungumzo kwamba kweli wanaozungumza hapa ni walengwa wa hii habari anaweza kutoa ushahidi? Kuna watu wanaitwa Nyerere mtaani kwakuigiza sauti ya Mwalimu..!sielewi kwa sababu alie recodi hio clip kamtafuta m-Nigeria kurekodi..wataliano hawaongei hivo hata siku moja....
na dunia nzima inaelewa Bagamoyo ni initiative ya chinese goverment alipokuja rais wao hapa...
na hii ni project kubwa ya multi billion ..sio deal ya kununua korosho kuwa unafanya lobying ya kitoto.
hapa tuna zungumzia Companies ndio zinaweza kufanya deal sio mtaliano/mnigeria kujirikodi au mkenya au mbogo....
kampuni hufanya lobbying kwa deal kama hizi sio wahuni wa barabarani...
mbona anashindwa kumtaja jina la huyo sinyore mafia wa Roma ? anatoka kampuni gani? wacheni kuwa akili ndogo kama hivi mnakua down kabisa.
kuna watu wanamuangalia makamba kama next president..hivo wameamua kumpaka matope..na wengine wanafata mkumbo
Hapa ndo utagundua hii habari ina uwalakini mkubwaKama issue hii ni kweli basi huyo Muitaliano atakua bonge moja la fala
Unawezaje ku deal na more than 10b usd kijinga jinga namna hiyo?
Hata historia yake hufatili anakurupuka tu kumwaga mihela wakati deal ilishafikiwa makubaliano toka 2008