funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,119
- 31,640
Punguza mhemuko wewe....ina maana Makamba kamzidi ufisadi yule mgombea wenu wa urais??Mwanachama wa kundi la wapuuzi 46... Ndio maana umekimbia hapa kutetea mwanaume mwenzako..
Wala nchi nyuzi kama hizi hautawaona... Hawa akina Barbarosa ndio wanakula nchi, na kamwe kwenye thread za kuteteana kama hizi huwezi kuwakuta.. Nyie mburula mnaotumwa kwa ujira hapa leo mtakesha kutetea..