Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,519
- 284,004
umeandika ukweli mzito sana !Wengi walioko ccm wanadhani chama chao kinapendwa sio kweli bali wanajua ndo kichaka cha kufanyia deals zao bila usumbufu ndo maana wahindi wanaipenda sana ccm
umeandika ukweli mzito sana !Wengi walioko ccm wanadhani chama chao kinapendwa sio kweli bali wanajua ndo kichaka cha kufanyia deals zao bila usumbufu ndo maana wahindi wanaipenda sana ccm
Hii issue inaendeshwa kimajungu bila kuzingatia facts. Jaribu kusoma proposal ya mradi wa bandari ya Bagamoyo naamini ipo humu JF. Contractor wa hii bandari ilikua ni sharti atoke China since mkopo wa ujenzi unatoka China.
Over 100bill dollars zinahitajika kwa huu mradi, hizi pesa zinazotajwa hapa sijui 1mil ni pesa ndogo sana kulinganisha na mradi husika. Siwatetei Makamba ila huyu atakua ni mfanyabiashara bogus kuliko wote duniani na bora kaingizwa mjini kwa upopoma wake kama ni kweli.
Kuna taratibu za kufuata kutoa malalamiko au kudai haki yako, sitegemei kampuni iliyotaka tenda ya ujenzi wa bandari iende kupeleka malalamiko yake instagram au kwa socialite fulani mwenye umaarufu kwa mambo ya kipuuuzi ili ayafikishe sehemu husika. Hii ni too low kuamini
Leo wewe unamuona ana akili, alivyokua anamsema Lowasa mkamuona kichaa leo akili kazitoa wapi?Leo mnamuona Mange kichaa!! Alivyokuwa anamtukana Lowasa alikuwa timamu?? Vumilieni MWIBA UNATOLEWA SEHEMU ULIPOIINGILIA
Kwani hujui hilo ni jambo la kawaida mtu kutoa siri za rafiki yake wakigombana au mke na mume kutoleana siri zao wakiachana, lakina haina maana utakua lazima ni uongo, kwasababu hakuuzungumzia kabla.Huyo ana ugomvi wake binafsi na Mwamvita kwanini atoe izo siri baada ya kugombana? Hapa ndipo utajua kama ni majungu vyombo vya usalama awafanyii kazi majungu.
Labda mikoani huko,ila hapa Dar kwa wazaramo waache kucheza kisingeli na vigodoro waanze kuandamana?Nchi imekwishaa sasa! ......
Hivi tutoe wapi roho kama za wamisri wakuu.....
Tunaanza vurugu mtaa kwa mtaa kutoa haya mafisadi......
sawa mkuu .am waiting kwa hamu saanahiyo story ya mange kichaa imejibiwa n mhusika tayari.....mwamvita ameelezea mwanzo mwisho ngoja niitume
Hata saa mbovu Kuna saa inasema ukweli!! La muhimu ni kuachia muda ambae ni fair judge... Ila hata hivyo aliosemwa anatuhuma nyingiiLeo wewe unamuona ana akili, alivyokua anamsema Lowasa mkamuona kichaa leo akili kazitoa wapi?
Haujaona neno "accent"Kitu gani kimeonesha ni Mwafrika? Wewe ni audio forensic expert? Au unataka kutuondosha kwenye hoja?
Mbona alivyokuwa anamtukana Lowassa kipindi cha Kampeni mlikuwa mnamwita Jembe na mpaka zawadi mkamtumia??? Leo amekuwa mbaya tena??Wito wangu kwa moderators ni kuconfirm hii taarifa kama ni kweli na isije ikawa tunajadili uzushi wa Instagram na hatimaye ku-smear jina la JF au kupelekea kutoa sababu kwa TCRA kupiga fine au kufungia .
Kumbukumbu zangu zinaonesha kuwa Mange alishawahi kutoa uzushi au hata kuwananga na kutukana wakuu wa JF na alijadiliwa sana humu....alionekana hana caliber ya kuwa na hoja za kiGT....
Kwa hiyo leo tunapojadili hoja hii ni vyema tukajiongeza kidogo ili tusiangukie kwenye mtego wa kijinga.
Mpaka sasa nasita kuamini juu ya uzushi huu kwa sababu ya historia ya huyu mpiga filimbi!!!
Hapa watu wanapinga utapeli kufanywa na MTU ambaye sasa ni waziri. Mfanyabiashara awe mjinga au vipi sisi hatuangalii hilo Bali uaminifu wa mashaka wa kiongozi.Hii issue inaendeshwa kimajungu bila kuzingatia facts. Jaribu kusoma proposal ya mradi wa bandari ya Bagamoyo naamini ipo humu JF. Contractor wa hii bandari ilikua ni sharti atoke China since mkopo wa ujenzi unatoka China.
Over 100bill dollars zinahitajika kwa huu mradi, hizi pesa zinazotajwa hapa sijui 1mil ni pesa ndogo sana kulinganisha na mradi husika. Siwatetei Makamba ila huyu atakua ni mfanyabiashara bogus kuliko wote duniani na bora kaingizwa mjini kwa upopoma wake kama ni kweli.
Kuna taratibu za kufuata kutoa malalamiko au kudai haki yako, sitegemei kampuni iliyotaka tenda ya ujenzi wa bandari iende kupeleka malalamiko yake instagram au kwa socialite fulani mwenye umaarufu kwa mambo ya kipuuuzi ili ayafikishe sehemu husika. Hii ni too low kuamini
WEE BAVICHA, HUYU DADA SIO MJINGA KAMA NYIE, ANAJUA ZURI NA BAYA! Sio kama nyie vichwa maji! Hata alipompinga Lowassa alikuwa sawa kabisa, na hii ishu yake ya sasa ifuatiliwe na vyombo husika.Duh,kwa mara ya kwanza nimempenda mange kimambi,asanteee