nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Wanaomchukia huyu binti hawajawai kumsoma...
Mi sjawai kumchukia kwani msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu...
I love this girl
Hata mnazo ita kukashifu watu anakuwa anaongea ukweli...ila wengi hamuwezi tofautisha ukweli na kashfa
Huyu binti alikuwa ni mtu wa Ikulu sana Enzi za JK...
Nilishamtilia mashaka...
Unakuta anaongozana na wazungu wake