Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Kikwete na Rais wa China walisaini mkataba 2008 deal la $10bil za mkopo kwa sharti la contractor atoke China na Oman, Ni mtu mjinga kiasi gani anaweza ingia mkenge kwenye hili.. Kuna kitu hakipo sawa hapa siwatetei wala simkubali January ila kuna kitu hakipo sawa kabla hata ya kuongelea ishu yenyewe.

Kwenye voice note jamaa anasema alitoa couple hundred thousand ili Mwamvita akamfanyie bid kwa mawaziri. Mwamvita anapewa pesa kama nani? Kama huyu sio mfanyabiashara wa hovyo ever I don't know who is

Leo mna kazi ya kumsafisha Makamba, Mana dada mtu kashakubali huko.

Nasubiri utetezi wako mzee
 
@Regrann from @mangekimambi_ - Okay Jibu tumelisikia. Tulikuja tumejipanga! So what lie is this??? Stay tuned! .
This saga just started! Give me a few days nimalize holiday nirudi Los Angeles then nipresent the evidence in a proper professional way! The blog is coming back up Ili clips ziwe zinacheza full! Plus screan shots za emails! .
.
Ni hivi, soon huyo Mwamvita hatoongea Na media yoyote ile! The evidence will speak for itself! Their personal relationship , yeye na mlalamikaji has nothing to do with the evidence that will be presented out here!! .ni kama evidence niliyoweka Leo, Hivi haya maongezi yanahusiana nini na wao kuwa wapenzi?? Seriously? Listen to these clips again? Wasipoteze lengo! .
.

Again I'm getting the backlash kuwa we were once close friends, I shouldn't do this! Listen guys, kakake aliponiweka ndani mlienda kumkumbusha Mwamvita Kuwa Mange was once your friend Mwambie kakako amtoe Au Mwambie kakako asimsumbue Mange ? Mbona Ndo kwanza walikuwa wananicheka na kutuma Waume zao walete viuno vyao pale Oysterbay wahahakikishe nalala ndani?? mmesahau mume wa Kiki, Yule Maliq alikuwa pale Oysterbay Police anafurahi nimelalala ndani? That time mlisahau kuwakumbusha wasinitese coz we were once friends? Leo nimeletewa issue Yao Ndo mnanikumbusha Mimi eti niache coz they were once my friends???? They were ready to see me go to jail, mngeniCha tu! Uzuri Ni kwamba Mimi siongei chochote wala si tiii chumvi all I will do is present the evidence then tuone serikali yetu itachukua hatua gani! Maana manesi Sasa Hivi wanafukuzwa Kazi Kwa kuuza gloves za Shingi 500, Juzi Waziri Mkuu kamfukuza Dr Kazi Kwa kuchukua rushwa ya laki moja Ili amfanyie mgonjwa Operesheni lets see hawa waliokwapua mabilioni watafanywa nini!
.
.
By the way silipizi kisasi , this is me being a great citizen! Angekuwa Mtu mwingine ningefanya Hivi hivi, but the fact that walishangilia shida zangu has made it easy for me to stand up and make sure Watanzania wanaujua ukweli......mnanijua Jamani hii issue ningeletewa hata Kama ingemuhusu kiongozi gani serikalini ningeilipua tu! It has nothing to do with my past association with them. [HASHTAG]#Regrann[/HASHTAG]
Kazi ipo!! Na hiki ndio kinanifanya nimpende zaidi Mange coz anakomaa tena kwa ushahidi hadi jambo lieleweke. Tusubiri tuone.

Duc in Altum
 
Kuna vitu kama ni kiongozi makini,allegations nzito kama hizi,zikikugusa tu,huitaji mamlaka ya uteuzi kukuchukulia hatua,ni kukaa pembeni kupisha uchunguzwe wewe na dada yako pamoja na huyo mliyemlia chake. Ndio maana Mwamvita anaona Tanzania hakuna sehemu nzuri ya kuishi kama hotels ambazo amekuwa akibadisha kulala


hivi ni yule Mwamvita wa airtel??
 
Kazi ipo!! Na hiki ndio kinanifanya nimpende zaidi Mange coz anakomaa tena kwa ushahidi hadi jambo lieleweke. Tusubiri tuone.

Duc in Altum
mimi aliniuzi kitu kimoja,alikuwa anajua CCM NI MFUMO,nothing will ever change under them yet akawa support-huyu bibie alimtukana Lowassa mpaka basi-I will forgive but never forget
 
Maelezo aliyotoa Mwamvita kujitetea kwenye page yake instagram yanaonyesha kuwa audio ni ya kweli, nashangaa kwann kuna watu humu wanakomaa kusema sio ya kweli. Yeye anajitetea kuwa aliulizwa maswali ya mtego akajichanganya jambo ambalo hata mwanangu wa miaka minne hawez kuamin. Tuwe wapole mambo yatakuwa wazi tu na kuna kila dalili kuwa jambo hili ni la kweli. Mange anatumiwa na watu ambao wapo smart na wana taarifa nyeti kwa kuwa ana ujasiri na hayupo nchini.

Duc in Altum
Mdau heb screen short hiyo kitu yake ya Insta
 
Hapa issue ni utapeli ....hata kama mkataba wa mkopo ulitaka contractor kutoka China hilo tunalijua sisi na utapeli kama huu ni common sana nchi zetu hizi maana wazungu wanajua huku kila kitu ni rushwa then unapata unachotaka .....hapa tuache kujadili ufala wa huyo Muitaliano wala lafudhi maana wapo watu wa mataifa mengine wenye uraia wa huko .....issue hapa ni maadili ya kiongozi ....kule insta Mwamvita kakiri ile sauti ni yake huku Mange akihaidi kutoa zaidi ushahidi ...hivyo kama kweli sisi wazalendo tusibiri ushahidi zaidi ili tujiridhishe zaidi badala ya kuanza kumtukana Mange.
 
mimi aliniuzi kitu kimoja,alikuwa anajua CCM NI MFUMO,nothing will ever change under them yet akawa support-huyu bibie alimtukana Lowassa mpaka basi-I will forgive but never forget
Hata mm aliniudhi sana wakati wa uchaguz na hata kwa ishu ya H Temu . Ila ujue mange ana tabia ya kujaa upepo mazima yani akikomalia jambo anakomalia moja kwa moja( kumbuka yule ni mpare anauza Ngombe ku finance kesi ya kuku) ila pamoja na mapungufu yake anawanyoosha sana nafisadi na wauza unga hasa akipata ushahidi. Na katika hili naamin kuna mtu flan mahali flan ambaye ni smart sana anampa hizo data.

Duc in Altum
 
habari hii iwe ya kweli au uwongo, uyo mange hana cha kupoteza kwa hili,cha muhimu January makamba ajitokeze kutoa maelezo yake naye tumsikie.
Asijitokeze sa hivi, mange atamuharibu, anachotaka yeye wajibu ili ashushe mambo, jamaa nilishawahi kusema anajifanya mjanja sana na ma movie ya hollywood yanamdanganya na vitabu vya intelijensia anadhani yatajificha milele?
 
January huyu anayetajwa kuhaiki matokeo ya tume na kisha kuipa Nyinyiem ushindi? Hii ndoto jamani mbona kama niko macho!!
 
Kuna vitu kama ni kiongozi makini,allegations nzito kama hizi,zikikugusa tu,huitaji mamlaka ya uteuzi kukuchukulia hatua,ni kukaa pembeni kupisha uchunguzwe wewe na dada yako pamoja na huyo mliyemlia chake. Ndio maana Mwamvita anaona Tanzania hakuna sehemu nzuri ya kuishi kama hotels ambazo amekuwa akibadisha kulala
but mna uhakika na hicho alichosema.muitaliano nae ni lofa fulani tu hivi sioni hata mahali anaweza kutoa hela zote hizo bila kuhakikisha deal.
huyo demu ni chizi na kapagawa na life aliyotegemea US siyo.marafiki zake nao wanamtosa ndo mana anawachana,this is what Tanzanian can do best.
but tumpe siku tu,US si mbali wanaweza kumsafiria hata kwa ungo
 
Asijitokeze sa hivi, mange atamuharibu, anachotaka yeye wajibu ili ashushe mambo, jamaa nilishawahi kusema anajifanya mjanja sana na ma movie ya hollywood yanamdanganya na vitabu vya intelijensia anadhani yatajificha milele?
Acha kumsema mtu vibaya pasina kujua undani au ukweli wa jambo lenyewe kwa maana ukinyanyuka sasa na kuongea jambo ambalo baadae likajulikana sio sahihi utapata mtihani wa kusafisha kauli yako chunga ndimi wewe [emoji104]
 
January huyu anayetajwa kuhaiki matokeo ya tume na kisha kuipa Nyinyiem ushindi? Hii ndoto jamani mbona kama niko macho!!
Akili za weekend ebu pumzika na jitathimini tena kauli zako then utajiona bonge la loooooofa kwa kucomment ujinga kama huu usio ufahamu
 
Ni swala la muda tu ila tukumbuke mange ana wivu na kila mwanadada aliyemzidi kipato na ana bifu la sikunyingi Sana na Mwamvita.
Na ndio maana mara baada ya kuipata ishu hii akajiridhisha na kuiweka hewan
 
Back
Top Bottom