Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
 
Mkuu inawezekana unajua sana. HEBU TUAMBIE UKWELI.
 
wewe acha hizo,huyo mzungu kaliwa hela zake,sio kwwamba hiyo tender alipata ila aliambiwa angepata so akatowa rushwa kwa March,hapo upo?
 
Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Huyo muitaliano alijua hayo?? Ye kaambiwa kaka angu mtu mkubwa ukitaka unapata akaamini!! Kumbe kakutana na mapapaa msofee!! Ukimuongela Mange kumbuka hata saa mbovu husema ukweli mara mbili ktk saa 24
 
Kuna voice notes za jamaa na mwamvita eti alitaka dili la bandari ya Bagamoyo!! Bwahahaaa haaa!! Sasa kipara makrega ana tofauti gani na kina papaa msofe??
Kiukweli tofauti hakuna, wote ni vipara
 
Muitaliano ni tapeli by nature. Akitapeliwa sio issue. Angalau Inaleta mwanga wa wasaidizi wa JPM. Assuming kwamba ni kweli.
 
Mange huwa hakurupuki, anakuja na maushahidi yote, mtu ukimchokoza huyu dada jipange, japo kuna kichwapanzi looh anatukana Mange kama fuse imekata kichwani kwake..
 
Hivi huyo mange huwa anapata wapi nyepesi nyepesi kama hizo?
Ni kama ilivyokuwa kwa Mtikila RIP na Liberty desk jamaa walikuwa na information za serikali nyingi duniani na kila kinachotokea hivyo walikuwa wanamtafuta chizi mmoja(a daring n fearless person) na kummwagia habari naye kuzirusha kama zilivyo
Hapa hii ishu kimange Katupiwa kwakuwa inaonekana tayari ana jina kwenye mitandao hivyo ni rahisi mno habari kufika zilikokusudiwa
 
Back
Top Bottom