Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

man
Very damning evidence, kwani ikitokea ya kutokea huyo mzungu si anaweza kupatikana na ku testify kwa kutoa namba ya Mwamvita na January na kama bado anazo hizo recordings.

Sioni kosa la kiutendaji in terms of action taken lakini utata mkubwa unaibuka juu ya maadili what a disappointment ukute yeye mwenyewe ajafaidika moja kwa moja zaidi ya dada yake tu; tunatatizo kubwa sana la kutamani lifestyles zisizoendana na mapato yetu kama jamii.
mange is a good player kwenye sakata la mitandao only few will know her game...baada ya kumchafua hoyce temu kwa mujibu wake kuna mpango uliokuwa unasukwa chinikwachini ili arudishwe na kushitakiwa hapa nchini sasa anachokifanya kwa sasa ni either kutoa siri ambazo pia ni mchezo mchafu kuichafua makambas ili wakimshtaki kuletwa hapa ionekane kama yeye hawezi kurudi nchini ama kurudishwa na serikali kwa kuhofia usalama wake ili marekani impe sapport ya usalama wake kwa kuwa ana watoto wenye uraia wa marekani but mtu mtaalamu anaweza kuunganisha all dots why now????so mange yupo verry smart ktk kucheza game hili na anybody akiwa fool will fall into her trap.
 
Hawa Akina Makamba Ndio waliopanga Mikakati ya Kuiba Ushindi wa Ukawa wa Urais, Tukisema wote Ni Danganya Toto hamwamini, Na Makamba kwa Kikwete Ni sawa na alivyokuwa Nicholas Biwoti na Kamoto kwa Daniel Arap Moi.
 
Yaani kuna mtu mwenye akili timamu anayemuamini huyu mwanamke anayemshauri Wema kutafuta wanae wenye pesa badala ya kumshauri kutafuta pesa zake?

Huyu usikute ana ugomvi au wivu na huyo Mwamvita tu halafu watu wanaingia kichwakichwa

Maana oflate amekuwa mtu wa kutengeneza e-mail na akaunti fake kwenye mitandao na kudanganya watu na hata kutukana watu.

Kiufupi ni Psychiatric huyu haaminiki

Kipindi cha uchaguzi mkuu alkua akitukana watu kwa tuhuma za uongo.Ni mtu wa ovyo ovyo sana
Account yako ya JF imehackiwa? siamini kama ni Ben ninayemfaham wakati najiunga jf!
 
Ingawa mange anaweza kuwa mkweli katika hili lakini bado sioni madhara ya moja kwa moja kwa alichofanya Makamba(kutompa deal muitaliano). Makamba alifanya vyema kutompa deal muitaliano. Ambacho kinamvunjia heshima Makamba hapa ni kitendo cha kujihusisha na deal za pesa akiwa kiongozi serikalini(hii ni kitu mbaya sana). Ni dalili za mtu anayenunulika.
 
halafu kuna wehu wanakaa kitako na kuamini huu upuuzi...
Usichoamini ni nini kama jina la chenge limetokea katika skendo zote uzijuazo na leo ndo think tank wa ccm
 
Hayo yamesemwa katika Mtandao wa Instergram wa Mange Kimambi Fwatilia hapa
 

Attachments

  • IMG-20160305-WA0054.jpg
    IMG-20160305-WA0054.jpg
    95.1 KB · Views: 61
  • IMG-20160305-WA0046.jpg
    IMG-20160305-WA0046.jpg
    123 KB · Views: 57
  • IMG-20160305-WA0045.jpg
    IMG-20160305-WA0045.jpg
    115 KB · Views: 74
Ksma wanawake wanajitoa mhanga na kujilipua kwa mabomu, Mange atashindwaje kutengeneza hii habari?
We unajuaje imetengenezwa kabla hujasikia utetezi wa watuhumiwa dhidi ya shutuma hizi?
 
hapa haujaelewa,mzungu aliambiwa atapewa tender,ila hakupewa which is true,maana kweli bandari tender walipewa wengine,kutokana na hiyo clip mzungu alitowa pesa na kuhakikishiwa kuwa atapewa mradi ,hapo upo?
best hii issue kwa waitaliana huwa hawakopeshi ukila chake nae anachukua roho yko fasta.....ni mafia hao istoshe hawadhulumiwi hela zao cku zote..ngoja tusikie majibu y january
 
man
mange is a good player kwenye sakata la mitandao only few will know her game...baada ya kumchafua hoyce temu kwa mujibu wake kuna mpango uliokuwa unasukwa chinikwachini ili arudishwe na kushitakiwa hapa nchini sasa anachokifanya kwa sasa ni either kutoa siri ambazo pia ni mchezo mchafu kuichafua makambas ili wakimshtaki kuletwa hapa ionekane kama yeye hawezi kurudi nchini ama kurudishwa na serikali kwa kuhofia usalama wake ili marekani impe sapport ya usalama wake kwa kuwa ana watoto wenye uraia wa marekani but mtu mtaalamu anaweza kuunganisha all dots why now????so mange yupo verry smart ktk kucheza game hili na anybody akiwa fool will fall into her trap.
Ukiisikiliza audio vizuri accent ya jamaa is more inclined to a person of south African origins, Italians awana accents hiyo.

Kitu kingine kweli ata mimi nimefikiria mtu anaetaka kuwekeza kwenye tender ya port ambayo ujenzi wake ni $10B awezi kwenda kwa naibu waziri wa sayansi na technology asiye na influence yeyote kwenye kugawa tender he would have done his research on where to lobby and they would have lodged their formal tender bid atakama wanataka upendeleo.

Kilichobaki ni sauti ya Mwamvita ambayo wengi wetu atuijui ni yeye kweli na aliongea nini na nani inawezekana ni setup ya SA huko sasa wanataka kuichafua familia nzima anyways utegemei serikari kuchukua maamuzi bila ya kufanya investigation zao. Au labda kama kwenye mabomu ya baadae kuna sauti ya January maana hiyo inajulikana; usisahau kitu kingine never underestimate mange either maana kasema huu mwanzo tu anataka asikie reaction kabla ajamwaga makombora yake mengine.

Wanawake mtusaidie chicks can go to this length kuchafuana wakiwa na ugomvi aisee kumbe wanawake ni watu hatari.
 
Time will tell...kila kitu huanza na tetesi na waitaliano wana tabia za ku rekodi kila kitu BTW mwamvita na kakaake wana hizi tabia
Umenikumbusha shemeji mzungu wa mgodini alivyotoa pesa ya kampeni uchaguzi wa huyu mbunge kwa mara ya kwanza
 
Waitaliano wote wenye pesa wamepata kimafia sasa huyu bichwa kubwa angekua kweli amekula hizo pesa zao....leo hii ingekua r.i.p mana jamaa hawajui kuremba
 
nchi imevamiwa duu red carpet yanguruwe na mpanda ngaz chini kuna moto sasa naelewa
 
huyu Mange ana mdomo mchafu kama tundu la choo...!ana wivu mbaya sana usiombe ukampita maisha..naona anajidai mwanaharakati sana ili kutimiza ile ndoto yake ya kugombea ubunge 2020..mhh kazi ipo hata kama ni ukweli hayamuhusu na sifa zake za kijinga..
 
Back
Top Bottom