Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Makamba alimaanisha Kafiri kaingia Ikulu, na si yeye? Atakiona cha moto?
Hiyo ni maana yako na akili zako zisizo jiongeza, January angeyajua haya basi kumbuka asingefanya kazi ya kumuingiza Magu Ikulu
 
Hapa issue ni utapeli ....hata kama mkataba wa mkopo ulitaka contractor kutoka China hilo tunalijua sisi na utapeli kama huu ni common sana nchi zetu hizi maana wazungu wanajua huku kila kitu ni rushwa then unapata unachotaka .....hapa tuache kujadili ufala wa huyo Muitaliano wala lafudhi maana wapo watu wa mataifa mengine wenye uraia wa huko .....issue hapa ni maadili ya kiongozi ....kule insta Mwamvita kakiri ile sauti ni yake huku Mange akihaidi kutoa zaidi ushahidi ...hivyo kama kweli sisi wazalendo tusibiri ushahidi zaidi ili tujiridhishe zaidi badala ya kuanza kumtukana Mange.

"The river between.......Things fall apart........No longer at easy"

Huu ni mwanzo wa ndugu yenu kupoteza Dira.......
 
January toka kitambo sn anaonekana mtu wa kupiga ela sn so tuwe nae jino kwa jino
 
Hiyo ni maana yako na akili zako zisizo jiongeza, January angeyajua haya basi kumbuka asingefanya kazi ya kumuingiza Magu Ikulu
Ndo anavyojitapa huko yeye ndo kamuingiza Magu ikulu?

Mbona kijana anapenda makuu hivyo?
 
but mna uhakika na hicho alichosema.muitaliano nae ni lofa fulani tu hivi sioni hata mahali anaweza kutoa hela zote hizo bila kuhakikisha deal.
huyo demu ni chizi na kapagawa na life aliyotegemea US siyo.marafiki zake nao wanamtosa ndo mana anawachana,this is what Tanzanian can do best.
but tumpe siku tu,US si mbali wanaweza kumsafiria hata kwa ungo
Dada yake january makamba amesema huyu aliyekuwa anaongea na muitaliano ni yeye
 
Hiyo ni maana yako na akili zako zisizo jiongeza, January angeyajua haya basi kumbuka asingefanya kazi ya kumuingiza Magu Ikulu

Matusi ya nini mkuu, nenda kachunguze vyanzo vyako, aliposti baada ya kuukosa uwaziri mkuu na halahala apigwe chini jumla jumla. Akasukumiwa kwa makamu wa rais kwenye mambo ya mazingira
 
Acha kumsema mtu vibaya pasina kujua undani au ukweli wa jambo lenyewe kwa maana ukinyanyuka sasa na kuongea jambo ambalo baadae likajulikana sio sahihi utapata mtihani wa kusafisha kauli yako chunga ndimi wewe [emoji104]
Niwe mkweli kutoka rohoni, simuamini jamaa kabisa, hasa kutokana na utendaji kazi wake
 
Huyo dad's mtoa post naye ni mnafiki tu atoe audio yote sio kutupa visekunde tu.
 
Cccccccccm ni ile ile ile ohooo ni ileeeeeeee ileeee
 
but mna uhakika na hicho alichosema.muitaliano nae ni lofa fulani tu hivi sioni hata mahali anaweza kutoa hela zote hizo bila kuhakikisha deal.
huyo demu ni chizi na kapagawa na life aliyotegemea US siyo.marafiki zake nao wanamtosa ndo mana anawachana,this is what Tanzanian can do best.
but tumpe siku tu,US si mbali wanaweza kumsafiria hata kwa ungo

Tukubali Mzungu ni lofa, ila tujue tuna Waziri tapeli la Kimataifa. ....mpaka sasa nchi haiko salama kwa watu kama Makamba kukaa jirani na aIkulu.
 
hapa haujaelewa,mzungu aliambiwa atapewa tender,ila hakupewa which is true,maana kweli bandari tender walipewa wengine,kutokana na hiyo clip mzungu alitowa pesa na kuhakikishiwa kuwa atapewa mradi ,hapo upo?
Mke wa kaisar hapaswi kutuhumiwa. Kutuhumiwa kwake inaonyesha huyu mke wa kaisar ana shida fulani. Haijarishi tuhumu hizo ni dhaifu kiasi ila tunajua kuwa ana tuhuma. Atoke ajisafishe then Mange ashushe ushahid anaodai kuwa anao
 
Ungesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.
Tafuta wataliano wakiongea ki english utajua hizo cilps zime editiwa kuchafua watu.
Na sauti hizo mbili haziendani moja ya huyo njemba ni live na nyengine ni ya audio au simu.
Zaidi njemba he is not mtaliano....
Sauti tu inajulisha hilo ni tapeli fulani la nigeria .
Huu ni uf@la sasa, badala ya kujadili uwezo wa paka kukamata panya eti tunajadili rangi yake. Paka ni paka tu, awe mweusi au mweupe ni paka tu, ishu je ana uwezo wa kipaka?
 
Yani hadi kesho makamba akiwa bado waziri nita conclude hapa sina raisi bali nina movie actor
 
Uyo mwekezaji nao aliingia kichwa kichwa ndo imekula kwake kama ni kweli.
Inaonekana an hela kujenga B'Moyo port si kazi rahisi.
Kumbe nami naweza anza dalalia watu Tz deal bwana kwa kuanzia naanza na Olduvai Goerge.
GHosh kumbe sina jina serikalini itabidi nianze tengeneza jina kwa kweli.
 
[quote uid=353840 name="MAFIE JR" post=15485435]Transparency na Good governance iko wapi tz?? Mpaka muda huu Makamba ametoa neno lolote?? Au kapuuzia hizi habari??/QUOTE]<br />Nare ndu!


Nuusha mbee naare usare
 
mimi naona@Mods kwa saga hili mkaribisheni rasmi mange kama verified user ili episode ikiendelea amwage ubuyu humu-mambo anayo reveal ni game changer na politics za Tanzania could change for good-this opportunity is too good to miss-just imagine press nzima bongo inaiquote JF
 
Back
Top Bottom