Maisha Leo
Member
- Oct 30, 2014
- 69
- 55
Mkuu, mbona unatumia nguvu nyingi kutuaminisha kwamba wewe pekee ndo unatumia akili kuchambua kama hii habari ni ya kweli au si ya kweli?Na wewe kwa akili yako bila kiriba unafikiri huyo anae ongea ni mzungu ? Tena mtaliano ? Tumia akili kidogo kufikiri