Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Backfired....Mbona alivyokuwa anamtukana Lowassa kipindi cha Kampeni mlikuwa mnamwita Jembe na mpaka zawadi mkamtumia??? Leo amekuwa mbaya tena??
Hahahahahahaaa
Backfired....Mbona alivyokuwa anamtukana Lowassa kipindi cha Kampeni mlikuwa mnamwita Jembe na mpaka zawadi mkamtumia??? Leo amekuwa mbaya tena??
Ila wafanye Vyote Pesa ya mtaliano huwa hailiki kirahisi yani watainya hiyo mtaliano hatapeliwiKuna vitu kama ni kiongozi makini,allegations nzito kama hizi,zikikugusa tu,huitaji mamlaka ya uteuzi kukuchukulia hatua,ni kukaa pembeni kupisha uchunguzwe wewe na dada yako pamoja na huyo mliyemlia chake. Ndio maana Mwamvita anaona Tanzania hakuna sehemu nzuri ya kuishi kama hotels ambazo amekuwa akibadisha kulala
Wewe unadhani kina Ustadhi Juma na Musoma, papaa msofe, chief kiumbe nk wanaishi vipi mjini?Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Don't judge the messenger judge the messageKikubwa ninachoshindwa kuelewa kwenye hili ni inakuaje watu waliokua wakimtukana Mange wakimuita hana akili, wakimtukana kila aina ya tusi chini ya jua hili leo wanamuona kua ni mtu jasiri anaetetea nchi na mwenye upendo wa dhati? Miezi michahe mlikua mkimtukana kwa vile tu alikua akiandika ubaya wa upande wao, lakini leo kwa vile anaandika mabaya ya upande mwingine, mabaya ya mtu wasiye mpenda, mtu wanayeona anawanyima riziki basi watamsifu Mange kwa mapambi na shangwe za kila aina. Nadhani wewe unaeshabikia wakati ulikua ukimdharau upimwe akili, usimuamini muongo hata akisema ukweli.
Hahahahaa ujue hadi nimecheka tu.WEE BAVICHA, HUYU DADA SIO MJINGA KAMA NYIE, ANAJUA ZURI NA BAYA! Sio kama nyie vichwa maji! Hata alipompinga Lowassa alikuwa sawa kabisa, na hii ishu yake ya sasa ifuatiliwe na vyombo husika.
Wapi niliwahi kumuita jembe???Mbona alivyokuwa anamtukana Lowassa kipindi cha Kampeni mlikuwa mnamwita Jembe na mpaka zawadi mkamtumia??? Leo amekuwa mbaya tena??
Mkuu , kinachokufanya useme kwamba huu ni uongo kutoka kwa dada Kimambi ni nini? Ni kwamba kwasababu unawafahamu January na Mwamvita vizuri au ni kwasababu dada Kimambi amewahi wadharirisha wengine huku kwenye mitandao ? Kwanini usiache nafasi ya January na dada yake watoke kupinga kwamba sio kweli na hizo voice notes sio sauti ya dada wa January kwa maslahi ya taifa? Tujifunze kuwa na objective views kwenye mada zinazogusa maslahi ya taifaUongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Mkuu, wabongo wengi wanapenda umbea, hawafikirii wala hawachuji, wanameza hivyo hivyo.Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
HAINA TATIZO, Kurock ON THE SIDELINE!I will happily enter my grave as long as he rocks on the sideline.Hahahahaa ujue hadi nimecheka tu.
Lowassa ataendelea 'kurock' akili mwako hadi siku unaingia kaburini.
Mkuu hizo Clip zimetolewa Instagram na Instagram urefu wa video au sound clip unayoruhusiwa kuweka maximum ni sekunde 15 tu.. Ndio maana huyu binti kaikata kata hivo... Cha msingi ni kumuomba huyu dada kuliko kuendelea kutema hizi dondo kule Instagram ambako kuna watoto wa shule wasioelewa chochote aje hapa JF apewe special thread ashushe mauchafu yote pamoja na hizo e-mail kazi ibaki kwa wasafishaji kusafisha uchafu...Hauwezi kujudge kwa clips za kukata kata. Hatuwekee mtiririko mzima hapa JF ndio tuweze kujudge.
Hii hauwezi kujua alikuwa anaongelea hayo katika mazingira gani. Kwa mfano, mimi naweza kuongelea umuhimu wa kujenga Bagamoyo Port mtu anaweza kuchukua sehemu ambayo nimesema "Bagamoyo Port" akatengeneza maneno yake ya ufisadi akaunganisha na sehemu yangu niliyosema Bagamoyo Port.
Sijasema kwamba hizi clips sio za kweli bali tunaitaji mtiririko.
Hawa vichaa tena walikuwa wanamsifia sana.. yeye ndiye alianzisha EL kajinyea na wao wakashikia bango sana.. Leo imegeuka kwao wanaanza kulia..Backfired....
Hahahahahahaaa
Baelezeee tatooooo!kWA NIGERIA UMENOWA,HAWANA LAFUDHI YA HIVYO.hUYO NI MUITALIANO KABISA?YAP SAUTI NYINGINE NI SIMU NI KWELI KABISA?MAANA WALIKUWA WANAWASILIANA KWA SIMU NA MZUNGU NDO AKAREKODI
Mkuu, hadi wewe? Tangu lini umeanza kushambulia mtu badala ya kuongelea haja anayoileta?Yaani kuna mtu mwenye akili timamu anayemuamini huyu mwanamke anayemshauri Wema kutafuta wanae wenye pesa badala ya kumshauri kutafuta pesa zake?
Huyu usikute ana ugomvi au wivu na huyo Mwamvita tu halafu watu wanaingia kichwakichwa
Maana oflate amekuwa mtu wa kutengeneza e-mail na akaunti fake kwenye mitandao na kudanganya watu na hata kutukana watu.
Kiufupi ni Psychiatric huyu haaminiki
Kipindi cha uchaguzi mkuu alkua akitukana watu kwa tuhuma za uongo.Ni mtu wa ovyo ovyo sana
Hivi unaweza kwenda kushtaki umedhulumiwa bangi?? Kwa hiyo kumbe mlilipa kutukana wagombea wa Ukawa?? Kipindi hicho mlimuita jembe!! Ukifuga hayawani usipomlisha iko siku atakula mwanao!! Mlitengeneza mahayawani vumilieniMimi nakafahamu haka kasichana kanachoitwa mange hana Tofauti Sana na wema Seputu kwenye kusaka mabwana isitoshe hii ishu sio ya kuijadili hapa sisi Kama intellectual wenye kujua wivu wa kike huyu dada sio Mara ya kwanza amekuwa akituhumu watu na kulipwa ujira katika skendo anazopewa na hili jambo amekuwa akilifanya kwa mazoea kutoka kwa watu mbalimbali hapa town Kama anaoushahidi huyu mzungu aende staright kufungua kesi sio kupika hujuma zisizokuwa na msingi!
That's my kaka....katika ubora wako uliotukuka kabisa.Mkuu hizo Clip zimetolewa Instagram na Instagram urefu wa video au sound clip unayoruhusiwa kuweka maximum ni sekunde 15 tu.. Ndio maana huyu binti kaikata kata hivo... Cha msingi ni kumuomba huyu dada kuliko kuendelea kutema hizi dondo kule Instagram ambako kuna watoto wa shule wasioelewa chochote aje hapa JF apewe special thread ashushe mauchafu yote pamoja na hizo e-mail kazi ibaki kwa wasafishaji kusafisha uchafu...
Mpaka sasa nimeshapata vijana 17 kati ya wale 46...