Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,725
- 2,606
mpaka sasa mwanadada mange kule mtandao wa insta anapost clip na picha mbalimbali za ushahidi wa jinsi mwanadada mwamvita anavyotafuta watu wenye pesa na kuwaunga na kaka ake watoe hongo wapate dili serikalini. kuna muitaliano anadai usd 1million baada ya kuahidiwa dili la kujenga bandari ya bagamoyo
picha na sauti nashindwa upload
Bandari nyingine tena mbona mchina alishakabiziwa bado wanatafuta tenda?