Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 814
Ungesikiliza clips tu unajua huyo njemba sio mtaliano...lafdhi yake ya ki Nigeria au South Africa.
Tafuta wataliano wakiongea ki english utajua hizo cilps zime editiwa kuchafua watu.
Na sauti hizo mbili haziendani moja ya huyo njemba ni live na nyengine ni ya audio au simu.
Zaidi njemba he is not mtaliano....
Sauti tu inajulisha hilo ni tapeli fulani la nigeria .
mkuu kuna unalolijua zaidi?
Tafadhali funguka tu nasi tupate kujua kinachoendelea in deep.