Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hs

Hakuna rangi CCM mtaacha ona mwaka huu!!! Ndo mnaanza kukumbuka shuka asubuhi sio??? Watanzania hawadanganyiki kamwe!!!

Na hii ndo hoja kuu ya Lissu!! Uhuru, haki na Maendeleo ya Watu!!
Ajira ndo maendeleo hasa ya watu!!! Si mlikuwa mnasema madaraja???? Haya sasa mmefika wapi na madaraja???

Na lazima tuwafundishe adabu CCM mwaka huu!!! Hatudanganyiki!!
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!

Bwahaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ninaposikia chama chakavu kinacheza ngoma ya cdm. Hapo utasikia wiki ijayo ccm inaagiza wananchi wote kuwa na bima ya afya kuanzia tarehe 15 septemba. Lisu kamata hapo hapo, chama la wazee limeshatepeta.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!
Nccr Mageuzi tunaunga mkono mambo kama haya. Sio kupingapinga tu kila kitu.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!
Hamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
 
Wawarudishe na mishahara ya miezi miwili waliyochukua ya walio tia Nia kugombea ccm. Hali sio shwari msijidanganye
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.

Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.

Maendeleo hayana vyama!
Kitabu Cha mahudhurio kazini kinaondokaje ofisini kinakwenda kwenye mikutano ya siasa?
 
Mtoa post wewe pamoja na aliyetoa hizo ajira wote ni wangesee,,,,vijana wamemaliza chuo tangu 2015, hawajapata ajira wengine wamekuwa boda boda wengine mama ntilie wengine wanabeti tu, wengine wameshafariki....kumamae zenu acheni kutuchoraa,,,,hiyo miaka mitano yote mlikuwa wapi kutoa ajira, hadi mje mtoe ajira kipindi cha kampeni,,,
 
Back
Top Bottom