wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Dirisha linafunguliwa lakini sio kuajiriwa.
Comments reservedHamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
Ukishatuma maombi utasubiria ajira mpaka miguu idumbukie tumboni.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe siyo mhitimu wa ualimu. Tulia wadogo zetu waajiriweUsanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
Wewe siyo mhitimu wa ualimu. Tulia wadogo zetu waajiriwe
Kumtumbua RAS?Hamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
Na anatuvusha kweli wallah.Tundu Lissu ni mipango wa Mungu, inamaana usingerudi wakulima wa pamba wasingelipwa malipo yao, walimu wasingepata ajira. Msishangae madiliko ya kikokotoo yakafuatia.
Lissu tuvushe baba.
Hadanganyiki mtu, unadhani watu ni wajinga. Baada ya uchaguzi si mnawatimua...Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahahaha😆.Mtoa post wewe pamoja na aliyetoa hizo ajira wote ni wangesee,,,,vijana wamemaliza chuo tangu 2015, hawajapata ajira wengine wamekuwa boda boda wengine mama ntilie wengine wanabeti tu, wengine wameshafariki....kumamae zenu acheni kutuchoraa,,,,hiyo miaka mitano yote mlikuwa wapi kutoa ajira, hadi mje mtoe ajira kipindi cha kampeni,,,
hakuna namna itabidi tu tuwainamisheHahahahahaha.
Waongezee lingine mkuu, hawa jamaa wanajaribu kuwahadaa watanzania "wanyonge".
Wajue tu ajira watatoa, mishahara watapandisha, korosho watazilipia, watafanya kila kitu ndani ya mwezi huu mmoja lakini mziki ni ule ule tunawawekea bill ya mafuta ya KY, mwezi October lazima tunawa-Amber Rutty, kuanzia diwani mpaka rais!
Kura 13,000?Usanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
[QUOTE="Navuta bangi, post: 36586018,....kumamae zenu acheni kutuchoraa,,,,hiyo miaka mitano yote mlikuwa wapi kutoa ajira, hadi mje mtoe ajira kipindi cha kampeni,,,
Hamna hajira wala nn..Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Inatia hasira sana mkuu[/QUOTE]Dah kwel mkuu , fanya kuwaongezea jingine bossUmeandika kwa hisia Kali sana
Sasa hawa wa vyama vingine wasingezibwa midomo kwa miaka 5 huoni kama wangeweza kutoa mawazo mengi mbadala na watanzania kupata unafuu wa maisha, kuliko kulimia meno kwa miaka 5??Shukrani nyingi kwa serikali ya awamu ya tano.Shukrani nyingi zaidi kwa mfumo wa vyama vingi na kampeni zinazoendelea.Faida ya kuwa vyama vingi na kushindanisha sera.