Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
3,327
7,599
Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii

Vijana wengi wamekata tamaa ku apply ajira zinazktangazwa na kuziona kama kiini macho tu kwa umma maaana kiukweli serikali wana watu wao waliowapa hela au ndugu zao na masalia ya nafasi hizo ndo hupewa watoto wa masikini kama fungulia dog

Nafasi za kazi tu za muda za sensa zilijaa Rushwa na upendeleo wa wazi lakini hatukuwaona TAKUKURU kukamata wala Rushwa ambao ni Watendaji wa kata
Sasa kuna hizi nafasi za kuandika wapiga kura mdogo wangu kapeleka barua yupo Mwanza akaombwa laki 1 kama rushwa la sivyo asijisumbue,
Sasa kama barua zinatumwa kwa afsa tume ya uchaguzi inakuwaje mtenda wa kata awe na meno ya kujilia marushwa hivi

Ajira za TAMISEMI zinanuka rushwa mbaya
Watoto wa maskini wamezikosa kisa hawana rushwa na connection huko TAMISEMI
Siku hizi watu wana report vituo vya kazi bila dirisha la maombi na usahili kufunguliwa hasa udaktari na ualimu

Kwa mtindo huu serikali mnakatisha tamaa vijana na wazazi wa vijana hao na wanakosa imani na serikali yao.
Watu wana miaka 10 mtaaniwanachukua wa mwaka jana na wote wana sifa sawa kama sio rushwa ni nini?

TAKUKURU na uongozi wa tume huru ya uchaguzi fika ILEMELA MWANZA mjionee rushwa inavoliwa

Hizi ajira za muda zingewalenga vijana waliohitimu vyuoni wasiokuwa na Ajira japo hako kahela kawape mtaji wa kuuzia vitumbua
Kuliko kuwapa walimu wenye kazi na mshahara wao
 
Umejaa hisia nq hadithi za kusadikika, we jiongeze uweze kushindana kwenye soko la ajira. Mfumo wa ajira umeboreshwa sn acheni ku-generalize na kupotosha umma
 
Don't Afraid to compete in labor market.

Rushwa
Connection
Kujuana

Haya mambo yalikuepo since way back

Kwahiyo mkuu usiogope kuomba wala kushindana.

Mimi Nina connection kubwa kubwa Ila nikiona fursa huwa naanza kwa kumuomba Mungu na kutumia efforts

Nilichijifunza hata hawa tunaowategemea na wao wanatutegemea kwahiyo tusiweke matumani Sana kwa watu bali tujiboreshe ili tuwe bidhaa inayomvutia mteja na kununulika.
 
N

Nimekuelewa sana mkuu
 
Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii

Vijana wengi wamekata tamaa ku apply ajira zinazktangazwa na kuziona kama kiini macho tu kwa umma maaana kiukweli serikali wana watu wao waliowapa hela au ndugu zao na masalia ya nafasi hizo ndo hupewa watoto wa masikini kama fungulia dog

Nafasi za kazi tu za muda za sensa zilijaa Rushwa na upendeleo wa wazi lakini hatukuwaona TAKUKURU kukamata wala Rushwa ambao ni Watendaji wa kata
Sasa kuna hizi nafasi za kuandika wapiga kura mdogo wangu kapeleka barua yupo Mwanza akaombwa laki 1 kama rushwa la sivyo asijisumbue,
Sasa kama barua zinatumwa kwa afsa tume ya uchaguzi inakuwaje mtenda wa kata awe na meno ya kujilia marushwa hivi

Ajira za TAMISEMI zinanuka rushwa mbaya
Watoto wa maskini wamezikosa kisa hawana rushwa na connection huko TAMISEMI
Siku hizi watu wana report vituo vya kazi bila dirisha la maombi na usahili kufunguliwa hasa udaktari na ualimu

Kwa mtindo huu serikali mnakatisha tamaa vijana na wazazi wa vijana hao na wanakosa imani na serikali yao.
Watu wana miaka 10 mtaaniwanachukua wa mwaka jana na wote wana sifa sawa kama sio rushwa ni nini?

TAKUKURU na uongozi wa tume huru ya uchaguzi fika ILEMELA MWANZA mjionee rushwa inavoliwa

Hizi ajira za muda zingewalenga vijana waliohitimu vyuoni wasiokuwa na Ajira japo hako kahela kawape mtaji wa kuuzia vitumbua
Kuliko kuwapa walimu wenye kazi na mshahara wao
Walimu wanaaminika zaidi ndio wanaoisaidia ccm kuiba kura.
 
Rushwa Kila mahali sijuh tutafika tuendako dAh
 
Back
Top Bottom