Upinzani ni silaha muhimu . Bila chadema msingetangaza hizo ajira.
Wahitimu ni wengi, elfu kumi na tatu hazitoshi, waache utapeliWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahaaaaaa....... 😁Hamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
Bwashee iyo ni rushwa ya kura!Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Akili ndio nini?!
Hizo ajira kwani wameshazitoa....mbona kila nikiingia sioni update yeyote?Hawakidhi mahitaji hata 1/20 ya waalimu wanaosubiri ajira
😁😁😁,kwanin utumie mgongo wa NCCR?Si ujitambulishe tu kama kada wa CCM?Nccr Mageuzi tunaunga mkono mambo kama haya. Sio kupingapinga tu kila kitu.
Ndo waombaji wanapaswa kuapply sasa hvHizo ajira kwani wameshazitoa....mbona kila nikiingia sioni update yeyote?
Hata mm huwa sipendi wasanii!!!CCM wapuuzi sana, yani wamekaa kisanii sanii kwa ujumla ni wezi tuu
Walisema wangeajiri madaktari 2,000 hivi karibuni, mpaka leo hakuna daktari hata mmoja waliyrmwajiri tangu ilipotolewa hiyo kauli.Usanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!