Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'

Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote.
Yeyote anaye jaribu kuelezea jinsi mwanaume anavyo tumiwa Kama mtumwa na mwanamke anapata upinzani mkubwa.

Anaelezea zaidi chombo chochote Cha habari au gazeti likijaribu kuweka makala kuelezea mateso hayo ya wanaume linapata upinzani na kukosa fursa ya kutangaza au kufanya biashara sababu wanawake ndiyo sehemu kubwa ya masoko ya biashara mbalimbali.

Sijui Kama ipo sahihi kisheria naambatanisha kitabu husika.
Mods mnaweza kufuta Kama Kuna mgogoro wa hati miliki (copy right)
Yote kwa yote ndoa ni muhimu mno na haiepukiki.

Kikubwa kuoa mwanamke sahihi.

Tatizo asilimia kubwa huwa tunakosea kuoa na ndio tunageneralize ndoa hazifai.

Mwenyewe yashanikuta kwenye ndoa ila jibu langu ni kwamba mimi ndio nimekosea ila siwezi kugeneralize kuwa KATAA NDOA.
 
Kuna mwenzio mkewe sahizi anakandwa na kibwana mdogo cha mtaa wakati yeye (mumewe) yupo mkoani kusaka faranga
 
Duh ni maumivu jamaa huyo mwanamke aogopi mwambie mume wake.
Wanawake noma sana, Jamaa kamjengea Mwanamke nyumba alafu Mwanamke anaingiza wanaume wengine ndani, hapa nilipo Muda huu kuna Mwanamke kaingiza Mwanaume ndani wakati mumewe yupo kwenye mishe mishe za kusaka faranga Muda huu na analala nae mpaka asubuhi
H
 
Warekodi tupige pesa 😀😀
 
Kazungumzia sex ,kuwa mwanaume ili afanye ngono hutegemea saikolojia yake , Ila ikitokea mwanmke akamwambia kuwa sijafika -orgasm basi huyo mwanume atakuwa stressful Sana na kuwaza Sana.

Ila kasema swala la mwanamke kufika orgasm au kieleleni huwa n yeye mwenyewe mwanamke anaweza kufika tu alitegemei performance ya mwanaume . the same mwanaume kufika kileleni hakutegemei performance ya mwanamke

Ila linapokuja swala la kufika kieleleni lawama hutupiwa wanaume kitu ambacho sio kweli

Ndo unakuta MTU anahangaika kupaka mkongo 😁😁 kumeza Viagra ujinga mtupu
Kauwa
 
Yote kwa yote ndoa ni muhimu mno na haiepukiki.

Kikubwa kuoa mwanamke sahihi.

Tatizo asilimia kubwa huwa tunakosea kuoa na ndio tunageneralize ndoa hazifai.

Mwenyewe yashanikuta kwenye ndoa ila jibu langu ni kwamba mimi ndio nimekosea ila siwezi kugeneralize kuwa KATAA NDOA.
Mwanamke sahihi ni relative concept.
Sijui unanielewa hiyo kauli?
 
Huku huyu mama kaanguka sana maandishi. Wengine ni Chinweizu The Anatomy of Female Power, kitabu kingine cha Villar ni the Myth of male power
Kaka mkubwa Kiranga vijana wanazidi kutuletea machapisho tutafakari zaidi kisha kila msomaji na tathimini yake aoe au asioe.
 
Back
Top Bottom