Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

Kwanza tujue huyu mwandishi wa kitabu hiki aliliolewa na kuzaa watoto au alizaa watoto na masela akaachiwa alee mwenyewe? Tujue pia anaamini na kuabudu dini gani isiyotambua umuhimu wa ndoa? Au kwao wanawake hutunza waume zao? Na je anasemaje kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume hufanyikaje?
 
Kwanza tujue huyu mwandishi wa kitabu hiki aliliolewa na kuzaa watoto au alizaa watoto na masela akaachiwa alee mwenyewe? Tujue pia anaamini na kuabudu dini gani isiyotambua umuhimu wa ndoa? Au kwao wanawake hutunza waume zao? Na je anasemaje kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume hufanyikaje?
Kwanza ulizia ni raia wa nchi gani.
Jibu: Germany
Pili ulizia utamaduni wa kuheshimu ndoa na kuheshimu wanawake upoje huko nchini kwao?
 
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'

Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote.
Yeyote anaye jaribu kuelezea jinsi mwanaume anavyo tumiwa Kama mtumwa na mwanamke anapata upinzani mkubwa.

Anaelezea zaidi chombo chochote Cha habari au gazeti likijaribu kuweka makala kuelezea mateso hayo ya wanaume linapata upinzani na kukosa fursa ya kutangaza au kufanya biashara sababu wanawake ndiyo sehemu kubwa ya masoko ya biashara mbalimbali.

Sijui Kama ipo sahihi kisheria naambatanisha kitabu husika.
Mods mnaweza kufuta Kama Kuna mgogoro wa hati miliki (copy right)
Kwa msingi huu huwezi kuepuka kuwa manipulated.

Kwa sababu hata kuzaliwa kwako hujachagua umejikuta umezaliwa kwa raha za watu wengine tu.
 
Kazungumzia sex ,kuwa mwanaume ili afanye ngono hutegemea saikolojia yake , Ila ikitokea mwanmke akamwambia kuwa sijafika -orgasm basi huyo mwanume atakuwa stressful Sana na kuwaza Sana.

Ila kasema swala la mwanamke kufika orgasm au kieleleni huwa n yeye mwenyewe mwanamke anaweza kufika tu alitegemei performance ya mwanaume . the same mwanaume kufika kileleni hakutegemei performance ya mwanamke


Ila linapokuja swala la kufika kieleleni lawama hutupiwa wanaume kitu ambacho sio kweli

Ndo unakuta MTU anahangaika kupaka mkongo
 
Back
Top Bottom