Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Mimi kichwa maji? Ndio kikoje hiko na mpua wako mkubwa huo kama waHaji Manara

Leta aya inayowataka muwaombee wafu kama sio shirki hiyo ni nini
Mkuu , hakuna aya yeyote ISSABIN MARIAM [YESU] aliposema tuswalie marehemu, baada ya kifo ni hukumu, haya mambo tumeletewa tu juzi juzi na wachawi waliojivika majoho na kukaa viti vya mbele mahekaluni
 
Ukiona anatajwa hapo ujue huo sio ushirikina, na je unajua anatajwa kivipi ?
Mohammad mnamtaja kila adhana nimekaa na baadhi ya watu wa madhehebu ya al-bait (sijui kama nimepatia inavyoandikwa) ni kwamba mnamuombea rehema kwa Mungu wenu.
Na pia mnamuomba afikishe sala zenu kama unabisha niambie ni lini umefanya sala bila kumtaja Muhammad yoyote ile?

Wapi Uislamu umesema marehemu akifa tunatakiwa kumwambia atuombee ?
Mimi sijui ila nimehudhuria misiba ya marehemu wengi wasio Wakristo mnapofanya ile swala yenu ni lazima mnamuombea kheri hili si jambo la ajabu la ajabu ni ninyi kumtaka huyo marehemu awaombee nimeshuhudia.

Kumuombea mtu salama na amani ni Upagani ? Habari hizi amekwambia nani ?
Sizungumzii kumuombea usalama na amani nazungumzia kumuombea Muhammad na marehemu wengine wawaombee kwa Mungu wenu Abdool.

Pili, hapo hatumuombei mtume Muhammad tu pekee, tunawaombea wao na kizazi cha nabii Ibrahimu. Huo ni utaratibu tu katika sala na ni jambo la wajibu.
Mnawaombeaji wafu ikiwa wamepoteza kumbukumbu?
Muhubiri 9:4-5

Namna ya kumswalia mtume kupo katika matamshi haya :

"Ee Allaah! Mswalie Muhammad, Na JamaaWa Muhammad, Kama Ulivyomswalia [Ibraahiym Na Juu Ya],Jamaa Zake Ibraahiym, Hakika Wewe Ni Mwenye Kusifika Mtukufu. Ewe Allaah! Mbariki Muhammad Na Jamaa Zake Muhammad Kama Ulivyombariki [Ibraahiym Na Juu Ya] , Jamaa Zake Ibraahiym, Hakika Wewe Ni Mwenye Kusifika Mtukufu."

Huko sasa ndio kumswali mtume.
Maajabu ya ulimbo haya.
Sasa huyo allah huwa anamswalia Muhammad kwa nani?
 
Ulitaka tukimuombea dua na kumsalia Mtume Muhammad tukutaje wewe?
Huyo alikuwa mtume au mgonjwa wa akili?
Hafikii hata nusu theluthi ya mambo makuu na ya ajabu aliyoyafanya Nabii Elia
 
Ndugu Muhammadi s. w. a ni mtu takatifu kama nyinyi mnavyomtaja yesu katika pembe nne zenu za msalaba
Alipata order wapi ya kuua wayahudi wa kabila la banu quraidha wapatao 800-900?

twende kwenye point Mtume Muhammadi yeye ndie aliyepewa nafasi ya kuutangaza dini uwislamu duniani kwa mamlaka ya m/mungu kwa kupitia malaika wake jibri hivyo kwa kazi kubwa aliyofanya na majaribu mengi shida nyingi hivyo m/mungu akampa nafasi kwenye ibada nae atajwe kama mtu takatifu aliyejitolea maisha yake kuutangaza uwislamu hivyo akuna makosa kumtaja kwenye ibada
Swali langu kuu bado haujalijibu ndugu kwanini katika sala zenu msipomtaja hazifiki mbingu hiyo muijuayo ninyi?
Sisi kwetu maombi yote tunaomba kupitia Kristo kwa sababu yeye ni mwokozi na yeye ni njia hakuna yeyote atakayeurithi ufalme wa mbingu bila yeye.
 
Huyo alikuwa mtume au mgonjwa wa akili?
Hafikii hata nusu theluthi ya mambo makuu na ya ajabu aliyoyafanya Nabii Elia
Qur'an.

Hatufarikishi baina ya mitume.

Wala sijasoma popote kuwa mitume walitumwa duniani kushindana.
 
Unaniandikia upupu mimi unadhani naishi Mars sijui mnayoyafanya?
Nitajie ni adhana gani Ibrahim huwa mnamtaja, na kwanini huwa mnamuombea marehemu Muhammad?

Miskiti mingi tu marehemu wao akifa eidha alikuwa ulamaa au sheikh basi wataomba awaombee kwa yule Mungu wa makkah ambaye soon atapata corona
Kuna Mambo mengi katika Sala,Adhana ni wito tu kwa waislam kwenda kusali.

Sala ya kiislam haikamiliki bila SHAHADA,katika SHAHADA ndiio waislam wanamaliza Sala kwa kumuombea Dua Ibrahim na Muhammad,

"Alahu masali alaa saidina Muhammad wala alihi Saidna Muhammad Kama BARAKATA IBRAHIM wala alihi IBRAHIM......."

Usikurupuke soma uislam uufahamu ndio uje kuandika uharo hapa
 
umekuja vizuri , wanao mzika ndio wanamuombea dua marehemu, sasa je " Issa bin Mariam ametuagiza ama kutuelekeza kuombea marehemu? hii siyo ibada ya wafu?'
Haijaharamishwa kwa Kiislam kwenda makahurini kuwaombea unaowapenda,unaowajua na usiowajua,Kama ikitokea bila ya kupanga

Laini ni HARAMU kwa Muislam KUPANGA siku maalumu kwa ajili ya kwenda kuwaombea Dua makahurini kwa waliotutangulia

Kwani kufanya hivyo inakuwa tayari umeshaleta dhana ya kuwa unachokifanya ni IBADA
 
ASante kwa hiimisho zuri kwamba kwenye uislamu KUNA IBADA YA WAFU, ila ifanye bila kupanga tofauti na wenzetu wakatoliki wanapanga kabisa siku ya kwenda huko
 
Allah amjalie kauli thabit Inshallah Na awe miongoni mwa watakao ionja na kuifurahia Pepo, ameen.

Amiin Inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha unafiki wewe katika dini yetu hakuna kitu kama hicho. Maiti kesha kufa yake yashamuishia hatotokeza muslam akenda kaburini kumumba maiti kitu au jambo, huyo sio muslam kamili.. Au Labda nyinyi mnafanya hivyo.? Wa Kumuomba allah basi.
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASante kwa hiimisho zuri kwamba kwenye uislamu KUNA IBADA YA WAFU, ila ifanye bila kupanga tofauti na wenzetu wakatoliki wanapanga kabisa siku ya kwenda huko
IBADA!!?sijui Kama umesoma vizuri nilichoandika au umaamua tu kujibu kwa ushabiki..

DUA na IBADA ni mambo mawili tafauti katika uislam..na ndio maana haitakiwi ipangwe siku maalumu kwenda makuhuri kuwaombea waliokufa,ili kuepuka isije ikawa IBADA

Acha kujifanya mwehu.
 
Kwahiyo wewe unauelewa uislamu kuliko mimi niliyekulia Singida, na nimesoma madrasa na kila kitu nakijua?
Wewe endelea na dua zako za kuombea marehemuila sisi waislam safi ibada za marehemu hazipo na nitapinga kwa nguvu zote, msituletee hapa ushenzi eti dua na sala
 
Nafikiri Katika kitabu Cha Quran ambacho kinawaongoza Waislam,

Je Kuna Aya yoyote Inayosema mwanamke haruuusiwi kwenda mazioni?

Kwa Waislam kutembele makahuri na kuomba Dua kwa waliotangulia ni juia moja ya kukumbuka kifo..

Uislam dini ya busara na hekima,binafsi sioni ubaya wowote kutembelea Makaburi
 
wala hakuna shida kutembelea kaburi lakini SI KUMUOMBEA MTU ALIYEKUFA NA KUSUBIRI HUKUMU, hii tabia ndio inawapa kiburi madikteta wa AFRIKA, wanaua watu, wanavnja mikono wanawake , wanaweka watu kwenye viroba alafu baadae wakifa WANAFANYIWA SALA huku wakiamini wanakwenda mbinguni
 
Na pia mnamuomba afikishe sala zenu

Nilitak nisikujibu lakini, nikasema ngoja nimalelize kazi yangu.

Hili umeliona kwenye mafundisho ya mtume au umewaona waislamu wakifanya ?
Mimi sijui ila nimehudhuria misiba ya marehemu wengi wasio Wakristo mnapofanya ile swala yenu ni lazima mnamuombea kheri hili si jambo la ajabu la ajabu ni ninyi kumtaka huyo marehemu awaombee nimeshuhudia.
Sasa kama hujui kwanini unaongelea jambo ambalo huna elimu nalo ? Huogopi kusema UONGO na uata DHAMBI za uzushi ?

Sasa uulize uambiwe Uislamu unasemaje kuhusu hilo sio unashangazwa kisha unatoa hukumu na tuhuma kwa Uislamu, hakuna sehemu yoyote katika uislamu iliyo fundisha kuomba dua kupitia Maiti.
Sizungumzii kumuombea usalama na amani nazungumzia kumuombea Muhammad na marehemu wengine wawaombee kwa Mungu wenu Abdool.
Hili ushakiri hulijui, sasa unarudia rudia ili iweje ? Hayo ni katika matendo ya uzushi yanayofanywa na waislamu ila mtume hajayafundisha kwahiyo si jambo la DINI hilo.
Sasa huyo allah huwa anamswalia Muhammad kwa nani?
Hili limesaelezewa humu zaidi ya mara tano, lakini mnajidai hamuelewi.
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Katika Uislamu hakuna kuwaomba wafu wakuombee kwa Mwenyezi Mungu wacha upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokiona humu kuna mashia na wagalatia wakishirikiana katika kuupinga uislam
 
Sio kweli Dini ya uislamu kwa mafundisho sahihi hakuna kitu kama hicho hao ni maajili, mtu aliyekufa sisi waislamu ndio tunawajibu wa kumuombea dua hadi tunamzika na baada ya kumzika. Ukikuta mtu anamuomba marehemu amuombee huyo ni jaahili mkubwa
Huyo uliyemquote ndio hakusikia au kuelewa kilichokuwa kinaombwa na hao waumini aliowasikia.
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Hiyo swala ya magharibi mlikuwa mnaiswalia kijiweni au wapi?
Usifanye muislamu kumbe Kristian...
 
Back
Top Bottom