Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Hakuna ibada ya wafu, na sisi waislam hatumuombei dua Mtume wetu kipenzi tu bali kila muislam, hatuabudu watu wala wafu ila uislam ni dini ya kutakiana kheir, waislam tunaamini kuna mambo mengi kwa mja akifa hadi kufikia siku ya kufufuliwa (kiama) hivyo wewe huna huelewa wa aina yoyote zaidi ya kuropoka maana umeona huna hoja unadandia mambo mengine. Ingelikuwa sisi twawaomba wafu watuombee hiyo ndio ibada ya wafu ila sisi wazima tunawaombea wafu hiyo inakuaje ibada ya wafu. Baki na uelewa wako mbovu hadi ujahili utakapokutoka
Acha ujinga WEWE ,

Mtume unamtakia kheri na rehema , kwa kumswalia wakati ni maiti

Acha kupoteza muda wako
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hakuna ibada ya wafu, na sisi waislam hatumuombei dua Mtume wetu kipenzi tu bali kila muislam, hatuabudu watu wala wafu ila uislam ni dini ya kutakiana kheir, waislam tunaamini kuna mambo mengi kwa mja akifa hadi kufikia siku ya kufufuliwa (kiama) hivyo wewe huna huelewa wa aina yoyote zaidi ya kuropoka maana umeona huna hoja unadandia mambo mengine. Ingelikuwa sisi twawaomba wafu watuombee hiyo ndio ibada ya wafu ila sisi wazima tunawaombea wafu hiyo inakuaje ibada ya wafu. Baki na uelewa wako mbovu hadi ujahili utakapokutoka
Jahili ni yule anayemuombea MSAMAHA,REHEMA NA BARAKA marehemu na maiti ,

Ulipokuwa mzima ,umekula bata ,umeua watu, umezini, umebaka

Leo umekufa ,unataka uswaliwe Rehema ,msamaha na BARAKA

Huo ni uchizi ,

SWALI KABLA HUJASWALIWA SHEIKH

acha kumswalia Muhammad , atabeba mzigo wake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huo sio uislamu..hayo wameanza wao..uislamu unakataza hata kuomba kupitia mtume Muhammad (saw).
Hicho wanachofanya ni uzushi na sio katika uislamu.
Kama kuna mkristo mmoja anawakanyagisha watu mafuta,hio haidefine mwenendo wa ukristo wakiristo wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wale wapemba na bharkhashia na dua walizofanya jana kwa shehe nyundo hawakuwa waislamu wenzetu? walikuwa wasabato?

Na wale wanaowapa mafuta wenzao tunatambua ni wakristu wakengeufu, lakini ni wakristu wasio omba kwa jina la Yesu bali kwa imani ya maji, wakati biblia inasema JINA LITUPASALO KUOMBA NI JINA LAYESU.
 
Kwani Muhammad huwanamuombea na kumswalia rehema ,ni mzima au maiti?

Achen double standard

Mnaswalia rehema Muhammad ilihali ni marehemu

Hizo ni ibada za Wafu kutoka Roman catholic

Waislamu huwa lazima mumswalie Muhammad. , usibishe
Kumsalia mtume ni amri kutoka kwa Muumba rejea Kurani 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Sasa usifananishe mtume na watu wengine.
Na kwa faida yako naomba kajifunze nini maana ya sala, dua na maombi ili upate kuelimika.
 
Pia eti waislamu wanamswalia Muhammad mtu aliyekufa ,

Eti wanamswalia rehema , alikuwa wapi kujiombea akiwa hai ? Hizi ni ibada za wafu kutoka KATOLIKI
Nimeshangaa sana na inabidi Shehe mkuu na mufti leo wajitokeze hadharani kukemea hizi ibada za sanamu, pia wakristo wakemee wenzao wanao abudu sanamu, si ukristo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kumsalia mtume ni amri kutoka kwa Muumba rejea Kurani 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Sasa usifananishe mtume na watu wengine.
Na kwa faida yako naomba kajifunze nini maana ya sala, dua na maombi ili upate kuelimika.
Ndio maana hiyo Quran haimaniki

Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine

Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili

Allah anajichanganya sana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimeshangaa sana na inabidi Shehe mkuu na mufti leo wajitokeze hadharani kukemea hizi ibada za sanamu, pia wakristo wakemee wenzao wanao abudu sanamu, si ukristo
Bila kupepesa hizo ni IBADA ZA WAFU

Zimeanzia Babeli, zikaja hadi roman catholic zikafika had kwenye Uislamu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kumsalia mtume ni amri kutoka kwa Muumba rejea Kurani 33:56 Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Sasa usifananishe mtume na watu wengine.
Na kwa faida yako naomba kajifunze nini maana ya sala, dua na maombi ili upate kuelimika.
Muhammad ana tofauti gani na wewe ,?

Muhammad kafa na kaoza kama wengine wanaokufa

Wengine wakiombewa Rehema ,msamaha na baraka wakiwa wamekufa mnasema huo ni Ujahili na ukafiri

Ila Muhammad amekufa na madhambi na kaoza, mnasema aswaliwe rehema ,na mnakana sio Ibada za Wafu

Basi mtuambie Muhammad yupo wapi akiwa hai ,maana huwezi kunishawishi nimuombee Rehema marehemu Muhammad ila marehemu Mwingine kuombewa rehema na msamaha ni ukafiri
 
Wewe mbona huelewek? Mara unasema Muhammadi pekee mara unasema wengine? Sisi waislam kuwaombea maiti wetu dua ni katika sehemu ya dini, Mtume Muhammadi yeye dua yake ya kumuombea ni special kwasababu yeye ni kiongozi kwahiyo kila muumin kumuombea ni wajibu na amri. Maiti wetu wengine tunawaombea dua tena nzuri tu. Makafiri hawawaombea marehemu bali wanawaomba hao marehemu. Kuomba kwetu waislam ni kila kitu na tunamuomba Allah peke ake bila kupitia kwa mtu mwingine. Tukiwa hai tunajiombea wenywe kwa kufanya ibada tofauti kama sala, zaka, funga, swadaka, haji etc...tukifa matendo yetu yanakatika na ni juu ya Allah kumpa baraka na rehma mja aliyefariki...sisi wajibu wetu ni kumuomba Allah ampe baraka zake na rehma zake marehumu wa kiislam.
 
Uislam ulikuja kukataza ushirikina miongoni mwa huo ushirikina ni ibada za kuwaomba viumbe ama walio hai au waliokufa, Qur an takriban yote imekuja kukataza shirki. Usipotoshe watu, hata wanaojiita waislam wakifa washirikina bila ya kuomba mshamaha watakaa motoni milele, sawa na washirikina wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtume mwamedi mnapomuombea hua mnaomba asamehewe ushirikina alioufanya lini na upi mkuu?
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Muongo bhana waislamu awawezi kufikia ujinga huo wa kiwango cha corona duniani
 
Wewe mbona huelewek? Mara unasema Muhammadi pekee mara unasema wengine? Sisi waislam kuwaombea maiti wetu dua ni katika sehemu ya dini, Mtume Muhammadi yeye dua yake ya kumuombea ni special kwasababu yeye ni kiongozi kwahiyo kila muumin kumuombea ni wajibu na amri. Maiti wetu wengine tunawaombea dua tena nzuri tu. Makafiri hawawaombea marehemu bali wanawaomba hao marehemu. Kuomba kwetu waislam ni kila kitu na tunamuomba Allah peke ake bila kupitia kwa mtu mwingine. Tukiwa hai tunajiombea wenywe kwa kufanya ibada tofauti kama sala, zaka, funga, swadaka, haji etc...tukifa matendo yetu yanakatika na ni juu ya Allah kumpa baraka na rehma mja aliyefariki...sisi wajibu wetu ni kumuomba Allah ampe baraka zake na rehma zake marehumu wa kiislam.
Akuna dua special katika uwislamu acha uwongo na kuwadanganya wezio kama ujui dini ni bora ukae kimya maana nawe utakufuru
dua zote ni sawa kumuombea marehemu kwa M/mungu ampate wepesi kaburi na akhera
Na mwezio kumuhita kafiri hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa kuwadanganya wezio kama hivi
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Acha kuulinganisha uislam na ukafiri kaka unakosea saana kabisa !!soma Quran surat-ul kafiruun utaelewa uislam nini na ukafiri pia ni nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama imekataza ushirikina kwanini kwenye swala yoyote ni lazima mumtaje Muhammad na bila kumtaja sala yenu haifiki mbingu sijui ni ya ngapi?

Swali la pili, kwanini kila mnapomtaja mnamuombea huo sio upagani?
Swali la mwisho kwanini marehemu muislamu akifa mnamtaka awaombee kwa mungu wenu?
Ndugu Muhammadi s. w. a ni mtu takatifu kama nyinyi mnavyomtaja yesu katika pembe nne zenu za msalaba twende kwenye point Mtume Muhammadi yeye ndie aliyepewa nafasi ya kuutangaza dini uwislamu duniani kwa mamlaka ya m/mungu kwa kupitia malaika wake jibri hivyo kwa kazi kubwa aliyofanya na majaribu mengi shida nyingi hivyo m/mungu akampa nafasi kwenye ibada nae atajwe kama mtu takatifu aliyejitolea maisha yake kuutangaza uwislamu hivyo akuna makosa kumtaja kwenye ibada
 
ONA UNAVYOJIABISHA ,NA HUO NDIO UTAHIRA WENYEWE

UNAMUOMBEA MAREHEMU MSAMAHA , BARAKA NA REHEMA

Huo ni uchizi mkubwa sana

Basi kwa staili hiyo hakuna haja ya kumcha Mungu, maana ukifa unaombewa Msamaha ,rehema na Baraka

Na hizo ndio IBADA ZA WAFU

SALI KABLA HUJASWALIWA

MNAMUOMBEA MSAMAHA ,REHEMA ,NA BARAKA MAITI ,MAREHEMU MUHAMMAD

ALIKUWA WAPI KUFANYA HAYO AKIWA HAI?

YAAN MTU AFANYE MADHAMBI ,AUE ,ABAKE KATOTO KA MIAKA 9, N.K

AMEKUFA ANATAKA ASWALIWE ,AOMBEWE MSAMAHA ,

NI IBADA ZA WAFU HIZO
we jamaa uko mjinga saaana sijawahi kuona duniani!!ivi inakua aje ulete ubishi na kila kitu usha ambiliwa hapo !!??acha ujinga we kenge !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akuna dua special katika uwislamu acha uwongo na kuwadanganya wezio kama ujui dini ni bora ukae kimya maana nawe utakufuru
dua zote ni sawa kumuombea marehemu kwa M/mungu ampate wepesi kaburi na akhera
Na mwezio kumuhita kafiri hata wewe unaweza kuwa kafiri kwa kuwadanganya wezio kama hivi

Huenda kuna kutokunielewa, sijasema dua yake special ni ya tofauti nimejarbu kumueleza mtu anayeleta ubishi kwanini lazma katika kila swala tumuombee mtume muhammadi, ndio nikajarbu kumuelza yeye twamtaja na jina lake kwa amri kama alivyotumarisha Allah isipokuwa pia nikamueleza ni utaratbu wa waislamu sisi kwa sisi kuombeaana dua za rehma na baraka ama tukiwa hai ama tumekukufa, kuteleza kwangu mimi hakuwezi kuniingiza kwenye kukufuru na kamwe usinifanishe mimi muumin na kafir, huenda nimekosea mahala ni wajibu wako wewe nikupa bayana hakuna mkamilifu zaidi ya Allah hata nisome vipi siwez kupatia katika kila jambo. Naomba Allah anisamehe pale pote ilipoteleza ama kufanya ghuwluu
 
Muhammad ana tofauti gani na wewe ,?

Muhammad kafa na kaoza kama wengine wanaokufa

Wengine wakiombewa Rehema ,msamaha na baraka wakiwa wamekufa mnasema huo ni Ujahili na ukafiri

Ila Muhammad amekufa na madhambi na kaoza, mnasema aswaliwe rehema ,na mnakana sio Ibada za Wafu

Basi mtuambie Muhammad yupo wapi akiwa hai ,maana huwezi kunishawishi nimuombee Rehema marehemu Muhammad ila marehemu Mwingine kuombewa rehema na msamaha ni ukafiri
Kajifunze nini maana ya sala, ibada na maombi, nini maana ya rehema, baraka kwani unaandika vitu havina kichwa wala miguu.Kwani inaonyesha inakuuma sana waislamu wakimsalia mtume na kumuombea rehema na baraka ziwe juu yake, basi in shaa Allah hata Yesu akija atamsalia na kumrehemu mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake na mitume wote wa Allah.
 
Back
Top Bottom